Nyumba self contained four bedrooms inapangishwa morogoro kihonda kwa chambo jirani kanisa na stendi kuu ya mwendokasi wa SGR. Umeme, fence, maji vipo. Nyumba ina tiles gipsum and aluminum...
MAKE: BMW
MODEL: X3 E83 2.5i
ENGINE: M54B25 (2494cc)
MILEAGE: 59,398
YEAR OF MANUFACTURE: 2005
FUEL: PETROL
COLOR: WHITE
TRANSMISSION: STEPTRONIC AUTOMATIC
OPTIONS: PANORAMIC MOONROOF...
Natafuta mfugaji mwenye mayai ya kuku wa kisasa aliepo Dar, Mlandizi, Chalinze, Kibaha.
Bei 6500 ndo nnayo nunulia nnahitaji tray 200, mawasiliano 0625602775 napataikana Dar es salaam ilala amana
Habari zenu wakuu
Poleni na majukumu ya kila siku,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,
Azam king'amuzi
Dishi lake
HDMI
offer yangu 110,000 ,nipo Dodoma.
Tarehe 25/8/2020 serikali imefungua maombi ya kuanza kuomba kujiunga katika vyuo vya ualimu kikiwemo PATANDI....
Kimsingi vyuo vyote vya ualimu vitaanza kutoa STASHAHADA baadala ya ASTASHAHADA...
Habari wana Jamii Forum. Naitwa Daudy napatikana Arusha najihusisha na ufundi umeme wa magari, lolote linalosumbua kwenye gari yako kwa upande wa umeme wasiliana nami kupitia namba:
+255767944367...
Kwanza tupeane pole na hili janga lililovamia dunia yetu. Lakini hatuna budi kupambana nalo litoweke hapa duniani kwa kufuata yale ambayo wataalamu wametuambia.
Mbali na hapo, ninapenda...
Ni Viwanja 'pacha' kwa Matumizi za Shughuli za makazi.
Vinauzwa vyote kwa pamoja au kimojakimoja.
Eneo: MBWENI-Maputo,
Maarufu kama Kwamasista.
Ukubwa:
Kimoja ni SQM 1227,
Kingine ni SQM 1234...
Kwa wale wapenzi wa riwaya za Hayati Ben Mtobwa, ambaye mpaka sasa tumeweza kufikisha riwaya aina 15 zikiwemo riwaya za kipelelezi zinazombeba Joram Kiango kama mpelelezi hodari anayeweza kufumbua...
Wadau tunazitambulisha kwenu kambi popote mashine ya kusaga na kukoboa ikiwa na matairi popote unaenda nayo hizi mashine zina bei kutokana na ukubwa wake au size za vinu
Mashine ya kusaga kinu...
Habari,
Kama nilivopokea (As received)
Nimeokota vyeti vya *SAMSON Y MWAMBWIGA*
1. Result slip ya form four
2. Result slip form six
3. Cheti cha kuzaliwa
4. Cheti cha kifo cha mzazi
Anitafute...
Ndugu Watanzania wenzangu Mimi vijana wenzangu tumeamua kwa pamoja kuunganishwa mawazo yetu na nguvu zetu kwa pamoja!. Tunashughurika na kazi tajwa hapo juu pia tunafunga gpsum board aina zote na...
Onyesha uzalendo pigia vivutio mbalimbali vya utalii vya Tanzania kwenye link hiyo hapo chini tusaidie kuvutia watalii nchini kwetu.
Ni rahisi tu. Wakenya huwa wanatupiga bado eneo hili. Tupende...
Meza ya saloon ya aluminiam ina box moja 50000
Vioo viwili ukubwa futi 6kwa futi 4 upana 160000VIMEZUNGUSHWA aluminium
mlango mkubwa wa flem wa aluminium futi 7kwa 6 300000
nipo buza temeke...
Napunguza baadhi ya vitu ndani kwangu naanza na kabati la nguo ni la milango mitatu halina shida nimeamua tu kuliuza baada ya kununua jingine kama utakuwa interested nicheki PM nitakupa namba na...
Wakuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza ,nauza kabati la nguo la milango miwili limetumika miezi sita tu ,sababu za kuuza nahama mkoa.kabati lipo dar bei ni 180k maongezi yapo,nipm namba yako...
Habarini za usiku wakuu, bila kupoteza
Muda napenda kwenda kwenye mada
Ambayo inausiana na ujenzi wa nyumba na
Umaliziaji nyumba ,
Kwa mawasiliano zaidi piga 0688802481
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.