Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Natafuta chumba na sebule cha kuishi maeneo ya Ubungo Kibangu, Riverside, Hostel visizidi 70,000/= Viwe na maji na umeme, kama maji yakipatikana kwa jirani sio mbaya. Please mwenye taarifa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
TOYOTA ALPHARD (DLN) Manufacture Year: 2007 Engine Capacity Cc: 2360cc Mileage: 105,000km+ Fuel: Petrol Standard features: Transmission: AUTOMATIC Asking For: 11.3M For more details kindly...
0 Reactions
1 Replies
710 Views
Ya kununua nina laki na nusu. Napatikana Banana/ DSM 0659 190 552 txt
0 Reactions
0 Replies
409 Views
Nina laki na nusu jamani ninashida na laptop walau iwe ina support windows 8. Napatikana banana/airport/dsm 0659 190 552 sms tu.
0 Reactions
0 Replies
471 Views
HD Kali Sana Ni LED MODEL : Vankyo ina kila kitu chake HDMI .USB. VGA. .AUX .VIDEO OUT .RESOLUTION 1080 HD Unaweza kuunganisha Laptop, kingamuzi, Pc , CM yako na Tv Box unakaifanya pia kuwa smart...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari wana JF. Mimi ni mchimbaji mdogo, nimepata site nzuri ya kuchimba na kutengeneza ore ya madini ya dhahabu kwa ajili ya uchenjuaji, mtambo wa kusagia mawe kwa maana ya crusher machine ninao...
0 Reactions
24 Replies
5K Views
Nauza boma lipo Majohe Kichangani Ukubwa wa kiwanja ni 31×30 Nyumba ina vyumba 3 kimoja master Pia pembeni nyumba in frame 4 za biashara Ni mjini sana na umeme, maji na barabara vyote vipo na...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari ndugu msomaji! Je unataka kujiajiri? Unataka kufungua kijiwe/ofisi yako? Jibu ni rahisi kabisa. Njoo ofisini kwetu tukuuzie mashine ya kuunganisha vyuma ( welding machine) ili ufungue...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Kama unatarajia kufunga ndoa karibuni chukua nafasi ya punguzo la bei kwa safari za utalii lililosababishwa na na janga la CODID-19 kula fungate (honeymoon)kwenye mbuga maarufu duniani ya...
1 Reactions
1 Replies
792 Views
Husika na kichwa hapo juu kwa yeyote mwenye kuhitaji shamba la kilimo lenye maji na miundo mbinu mizuri yaani barabara umeme upo shamba liko barabarani linafaa kwa kilimo cha vitunguu mpunga...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Shamba lenye ukubwa wa ekari 40 zenye miti zaidi ya elfu thelathini linauzwa Geita eneo limepimwa na limekatwa viwanja na maeneo mbalimbali huu mradi unaweza kuamua kuuza miti yote ukaa chaeneo...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kiwanja kizuri kipo barabarani kabisa huduma za kijamii Kama maji umeme vinapatikana kizuri zaidi mawe yanapatikana Hapo hapo kwa wale wanaopenda kupigwa upepo hapa ndo sehemu sahihi. Kiwanja...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Ipo kwenye condition nzuri Inapatikana Dar Aina ya DELL HDD 320GB RAM 4G Intel core i5 Kwa mawasiliano piga 0757 260288 Bei: 350000
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Canter Tani mbili isiyosajiliwa, iwe imetembea kilometres chache, iwe box body, budget 18 million shillings, Call or text 0653549560
0 Reactions
1 Replies
392 Views
No.1 Chumba Sebule na Choo, Ipo salasala. Kodi 120,000/Mwezi, Miezi6 inatakiwa. Wasiliana: 0713226191//0752953860
1 Reactions
9 Replies
7K Views
Viwanja vimepimwa, vipo ukubwa tofauti tofauti. Kuna Kiwanja cha 450 sqm , 500sqm, 700sqm n.k Ukinunua unasaidiwa kupata hati miliki. Bei Tsh 18,000 Kwa Mita moja ya Mraba.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
MZIGO MPYA USHAINGIA MJINI!!! Jipatie Waterproof Bags za simu. [emoji835]Haziingizi maji na unaweza kutumia simu ukiwa kwenye mvua au unaogelea. [emoji835] Zinafaa kwa smartphone za aina zote...
0 Reactions
0 Replies
782 Views
ID: V105/20-DMAS PUBLISHED: July 06, 2020. Please feel free to contact us, for more details... Our contacts: _ Tel No: +255 742 302266 Email: Versairentalsolutions@gmail.com
1 Reactions
26 Replies
2K Views
Back
Top Bottom