Kwa Wasomaji wa Kiswahili
DSTV Tanzania Kushusha Bei ya Vifurushi Kuanzia Tarehe 1 Septemba 2019
Bei mpya za vifurushi vya DTSV vitakuwa ni:
Jina la Kifurushi
Idadi ya Chaneli
Bei ya Zamani...
Wakuu nauza TV aina aborder
Ina double glass yani vioo viwili,,cha nje kikivunjika kinabaki cha ndani
Ina msitari kidogo tu hapo chini
Bei ni 230000
Dar es salaam
0762693368
"Bado nasisitiza kuwa tusithubutu kufanya lolote kabla ya kuhakikisha kuwa Joram Kiango ni marehemu..."
Ndivyo anavyosema mshiriki mmoja katika kikao nyeti, chenye usiri mkubwa. Kikao...
Habari ndugu zangu,
Natafuta kibanda au frame ya biashara ya genge au vitu vya sokoni.
Frame iwe maneno ya Sinza, Tabata, Kinondoni, Kigamboni..
Mwenye nayo tuwasiliane DM
Ninauliza soko la ndimu na ndizi mzuzu. Kuna mzigo upo mbioni kukomaa; kama wewe unajishughulisha na upo interested tuongee biashara vikiwa tayari nikustue ila nijue bei yako kwa plastic ya ndimu...
Hii ni namna ya kisasa ya kuwapa kuku maji na inafaida zifuatazo.
1.kuku hawawezi chafua maji hivyo kuepushwa na magonjwa.
2. Huitaji kubadili maji mara nyingi ndani ya siku kama ukitumia aina...
Habari wana Jf, nimefungua huu uzi wangu ni maalumu kwa ajili ya kufanyia mauzo ya vyombo vya ndani Vipya,ni vyombo tofauti tofauti kuanzia hotpot,Oven,blenders,sahani,mabakuli,glass na vyombo...
Kama kichwa cha habari kilivyojielekeza ndugu Watanzania wenzangu.
Mimi Ni fundi carpenter na pia Ni mtaalam wa Scaffolding za aina zote iwe ya mirunda,bomba (black pipes) au (Scaffold...
Salama ndugu zangu ,licha ya changamoto nilizopitia katika ufungaji maana walikufa ngombe wawili kwa ugonjwa lakini sijakoma kufuga ...natamani na napenda Sana kufuga.
Nataka ninunue either mtamba...
ICS GROUPS tunauza milango ya mbao za mninga au mkurungu bora na kwa bei nafuu katika mkoa wa Dar es salaam. minimum order ni milango minne kwa design unayotaka . Kwa mwenye kuhitaji tuwasiliane...
Habari zenu wadau.
Well, naulizia chumba kwa maeneo ya karibu na Chuo cha Nelson Mandela NM-AIST naweza kupata kwa bei gani wadau...?
Ningependa kiwe ndani ya fence coz kuna uwezekano wa kuwa...
Habari zenu wakuu kwanza napenda kuwapa hongera wote kwa ushindi mno wa 22-0 japo wengine hawapewa kombe lao.
Pili napenda kupongeza Harmonize kwa show kali kafunika japo kuteleza sio kuanguka...
Habari wakuu?
Mimi ni mkulima wa zao la ufuta mkoa wa manyara. Soko la ufuta lipo vipi mwaka huu 2020?
Kilimo cha zao la Ufuta: Masoko, Mbinu na Ushauri toka kwa wadau - JamiiForums
Sent using...
Pwani Real Estate tumekuwa kwa muda wa miaka 4 mfululizo tunazalisha tofali na kuuza material ya ujenzi kwa cash na malipo ya awamu awamu. Lakini kutokana na wateja wetu baadhi kulipia materials...
Dalali yoyote mwenye vyumba vikali (vina maji,umeme, security,gypsum/selingbod nzuri, karibu na barabara) maeneo ya ubungo external, mwananchi, Tabata na sehem yoyote iliyopo karibu na centre ya...
Nimefurahi at least watu wenye idea nzuri za matangazo wamepata nafasi ya kufanya kazi.
Tangazo linatakiwa kuwa more than just tangazo, linatakiwa kuwa kiburudisho ambacho hata kikijirudia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.