STUDIO IPO DAR ES SALAAM, POSTA MPYA MTAA WA JAMHURI, LAKINI SIFA KUU NI KWAMBA STUDIO YETU INATEMBEA KUKUFUATA MAHARI ULIPO. TAFADHARI TUTEMBELEE, AU TUPIGIE 0624 136 775 AU 0785 029 655...
Biashara ya kupanga nyumba na kupangisha nyumba imeendelea kuwa na changamoto kadri siku zinavyoenda.
Nyakisasa Empire Ltd imejaribu kuja na mbinu ambayo itapunguza kero kwa wapangaji na wenye...
Habari zenu ndugu zangu wa humu.Poleni na majukumu ya kila leo!
Nina ndugu anashida kidogo nikasema humu kuna watu wengi na wenye uelewa wa vitu vingi sitokosa jibu sahihi la kumpa(naamini...
Habari wana jf, nauza ving'amuzi vipya vya dstv full set kwa bei ya elfu 89,000 tu popote ulipo dar es salaam utaletewa kisha utafungiwa na pia kifurushi cha mwezi 1 bure karibu tuwasiliane...
eneo la ukubwa wa ekari tano.kila eka moja milioni 4.mtaa wa msangani .
huduma zote za kijamii zipo .
eneo zuri kwa makazi,shule.ufugaji na kilimo
kwa mawasiliano zaidi pm
Natafuta Toyota vitz nzuri.
New model au hata old model ambayo iko vizuri.
Gari isiwe na vipengele/ubovu (nitafilisika/mke wangu atanilaumu)
Bajeti 4,000,000 hadi 5,000,000
Napatikana Kinondoni...
Nauza mashine ndogo za kufulia. Very portable na znatumia umeme wa 220V tu. Ina uzito 4.5Kgs. Mashine ina sehemu ya kuingizia maji na kutolea maji kama picha elekezi hapo chini lakini pia kwa...
Fursa ya Kazi
Jengo la makazi la urefu wa ghorofa zaidi ya 10 linatafuta fundi mwenye sifa zifuatazo
1. Awe fundi umeme mwenye ujuzi, ufundi na ujuzi kwenye maswala ya mifumo ya maji safi na maji...
Wanajamvi ninashida ya kununua friji kwaajili ya biashara ndogo ndogo za juice na barafu, maana Tanzania ya viwanda hii bila kujiajiri maisha hayaendi, nilikua naomba kufahamishwa na wajuzi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.