Nauza godoro dodoma feet 5x6 lime2mika wik2 bei 100,000 pia ukitaka magodoro mapya kabisa ya feet zote mfano feet 2.5,3,3.5,4,4.5,5na 6 pia godoro nchi 10 na 12 yanaptikan-nipo mwananyamala DaR
Angalia scenarios zifuatazo 👇:
Una Hard disk (HDD) ambayo unatumia kwenye computer lakini unataka ubadilishe utumie Solid state drive (SSD) kwa sababu mbalimbali kama performance, lakini unataka...
Nyumba nzuri ya kisasa ipo Dar Gongolamboto Majohe.
Ina vyumba 3 vya kulala, sebule pamoja na dinning room, pia nje ina flemu 2 za biashara.
Bei mil. 30 punguzo kiasi lipo.
Kwa wafugaji tu.
Nanunua mayai ya kisasa kwa tsh 5400, uhitaji ni wa kwanzia tray 300 ndio nafata shamba ila kama ataleta yeye hata 100 ni sawa.
Kiini kiwe cha njano na yasiwe madogo, napatikana...
Kwa mahitaji ya Badge Quality basi tupo kwa ajili yako!
Tsh 7,000/ Piece 1.
Tunafanya Free Delivery ndani ya Dar es Salaam mikoani tunatuma kwa bus.
Call/WhatsApp +255 658 060 476
Habari wadau, nauza 3G router za internet
AINA YA ROUTER: D-Link DWR-730
SPECIFICATIONS
Integrated SIM card slot
HSPA+ with up to 21.6 Mbps download
Up to 5 hours battery life
microsD card for...
habari wana JF,
Viwanja viwili vinauzwa vyote kwa pamoja 35M;
MAHALI: Tungi Block D , Morogoro.( Mtaa wa pili nyuma ya maonesho ya Nane Nane)
UKUBWA;
Kiwanja cha kwanza: 2713 SQM
Kiwanja cha...
Salaam.Nahitaji water bowser nzuri na imara ya kukodi (miezi 6) lita 5,000 hadi 10,000 yenye 4 x 6 au 6 x 6 au diff za kuweza kupanda milima mikali.Eneo la kazi Geita
Email;alexmpoke@gmail.com
Klinik Ya Ngozi BURE Online Wiki Hii
Dr.Mussa Zaganza nimekuwa kwa muda mrefu nikiwasaidia watanzania ushauri wa kutunza ngozi zao kwa njia za asili.Na Wiki Hii nimeandaa klinik ya ngozi kupitia...
Wadau ninatafuta msichana wa counter kwenye Lodge ndogo ambayo ina mini bar..Lodge iko Morogoro mjini.Atafanya hapo pamoja na reception kama mwenzake atakua off.Msichana awe anajua kazi hii au...
Kama wewe una biashara yenye matawi, hii ni habari njema kwako. Hizi ni zama za kidigitali, Business Digitalization Solution, tumekuja na program unayoweza kutumia kwa simu au computer ambapo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.