Wana jukwaa nipo chalinze,naomba mwenye ufahamu na bei ya cherahan cha kawaida,mashine za kudarizi vitambaa na mashuka pamoja na mashine zingine zinazohusiana na ushonaji,lakin pia yanakopatika...
Nahitaji Spacio kwa milioni saba (7,000,000).
Vigezo;
1) Iwe imetembea chini ya KM 100,000
2) Isiwe na shida ya aina yoyote kiufundi wala namna nyingine.
3) Full AC
4) Ukinitafuta hakikisha...
Drone Logistic tumekuwa tukiwasaidia watanzania ushauri bure juu ya bidhaa bora toka nje ya nchi na jinsi ya kuziagizia kwa ufanisi. Safari hii,tumeamua kukuletea Computer kwa bei nafuu. Kwa sasa...
Habari zenu Wana JF , Natumaini ni wazima.
Nilikuwa naomba msaada wenu , niko na vito aina ya Green Garnet (Tsavorite), Sasa Nlitaka kujua Napataje soko la kuuza hivi vito ! Maana viko vingi...
Kichwa cha habari chajieleza.
Naomba mwenye gari used but in mint condition kwa ajili ya matumizi ya familia naomba tufanye biashara kwa kiasi nilichokisema hapo juu yaani 7.2M.
Napendelea Brand...
RAM 4 GB, ROM 64 GB, ANDROID 11, BEST CLASSY CAMERA 12 MP, ( PORTRAIT, NIGHTSIGHT, 4K VIDEOS ) VERY CLEAN 97% NEW INAKUJA NA CHARGE TYPE C, COVER NA SIM EJECTOR, SIFANY EXCHANGE, NIPO SINZA , BEI...
Jamani!
Nipo natokea Tabora naelekea Kisumu Kenya ila natarajia kununua samaki wa kwenda nao huko. Kwa wenyeji naomba mnipe mwalo wa kupata hizo samaki kwa bei ya jumla
Jipatie Huduma ya Web Design/ Blog & domain names sawa na Bure kama .com, .net, .org, .co.tz , .ac.tz, kwa Tsh 30,000/ year. Ambazo ni chip sana ni .tk, .ca, .ga, kwa Tsh 15,000/ kwa mwaka mzima...
Kwa huduma safi na salama kwa maitaji ya matengenezo na ufungwaji wa viyoyozi vya aina zote za majumbani na ata maofisini na Viyoyozi vya magari kutengeneza wasilina nasi kwa namba 0752 44 37 77...
Kwa yeyote anayeuza gari aina ya Toyota Wish au Toyota Volt basi mteja ushampata.
No C/D
Wasiliana na mimi kwa sms/whatsapp/ call 0699494650
DSM
Update1
*Nahitajii raum au ist namba d offer ya...
Nimeipenda sana hii teknolojia ya hizi tofali,nimeifatilia lakini bado sana kitanzania haienea.
Nataka kujenga kwaio nazitafuta na mafundi wake pia. Mwenye kujua karibuni tujuzane
Kampuni ni Kampuni; Kunazo faida kibao za kumiliki Kampuni.
Usipate taabu sana Tutakufanyia kazi yako kiurahisi, ni ndani ya masaa ama siku ama wiki tu kampuni itaanza kukuingiza pesa. Inategemea...
habari ya wakati huu wadau. ninatumia Samsung J2 Pro kwa miaka mitatu sasa. lakini sasa betri yake imechoka. ikiwa na asilimia 30 simu inazima pia betri yake imevimba. Naombeni mnijuze wapi naweza...
Toyota Sienta # D
Year, 2004
Engine, 1400cc
Milage, 100,000 km
Kuna jamaa anataka kuniuzia kwa 8.0 mil. Naombeni uchambuzi wenu ktk uimara wa gari hii, unywaji wa mafuta, safari ndefu mfano...
Toyota E 100 Gari nzima mnoo Imeridiwa rangi mara moja A/C ya kujaza Gas & Miguu haigongi Milioni 3 .
Engine 5A,Cc 1490 Location:Mtoni Kijichi
Sms/whatsapp 0699494650
....Millango iliyotengenezwa na Mbao aina ya Mininga ambayo haina kovu wala doa inauzwa... Bei yake ni 350,000 Ipo hamsini(50).. Urefu ni Cm 220 na Upana ni Cm 90. Ni mizuri sana kutokana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.