Hi Rafiki,
Karibu tupeane support kwakuungana mkono ujasiliamali mdogo mdogo, hapa nitakuwa nakupostia frame mbalimbali za miwani ya macho,sun glasses (shades). Ambazo Ni comfortable hazibani kwa...
“If you haven't read hundreds of books, you are functionally illiterate, and you will be incompetent, because your personal experiences alone aren't broad enough to sustain you.” ― Jim Mattis...
Habari za jioni viongozi na poleni kwa majukimu.
Ninaomba msaada kwa yeyote anaefahamu wapi naweza pata hivyo vitu ainishwa hapo kwenye picha.
Mimi ninapatikana Dar es salaam,Tanzania.
1.Siemens...
Habari wakuu.! Kama kichwa cha habari kinavyosema, tunashonea seat za magari zilizoharibika, dashboard zilizoharibika, roof za magari aina zote, kwenye milango ya magari.
Tunapatikana...
Habari?
Kwa yeyote anayehitaji huduma yeyote inayohusiana na nyuki
Mfano,
1.Magogo ya wadogo/wasiodunga.
2.Kutolewa nyuki kwenye Majengo na sehemu hatarishi.
3.Elimu ihusuyo ufugaji nyuki...
Lenovo K5 PRO BLACK *BRAND NEW*
Qualcomm Snapdragon 636
64 GB Space
4 GB RAM
5.99 inch screen
4050 maH Battery
Double Line and supports 4G all networks.
4 Cameras - 2 Back cameras...
Habari Wakuu, nahitaji freezer la kununua kuanzia size ya kati wastani wa futi 3.5(105 cm) au Lita 300 na kuendelea. Liwe second hand na bei ifananie hapo. Ni kwa ajili ya biashara hivyo liwe...
Natamani nifanye hiyo ila sijui pa kuanzia
1 mitandao inayouza
2; gharama za usafiri na kodi mpaka kufika nchini
3: namna ya kupata mzigo
4: mengineyo ya muhimu mnisaidie
Nataka nguo za watoto...
Habari zenu wakuu,
Katika pitapita zangu kwenye mtandao wa Instagram ninekutana na tangazo la Mr Kuku la kukaribisha wawekezaji, ambapo kiasi utakachowekeza utapata mara mbili yake baada ya...
Tunatoa huduma ya kusuka motor za aina zote
Tunafunga mashine za umeme za aina zote
Turepair na kutroubleshoot mashine zote
Ushauri
Mawasiliano:
0753946107
+255 718 185 096.
Dar es salaam Tanzania.
Nyumba inauzwa ipo tanga mjini maeneo ya usagara ipo karibu na barabara.
Ina vyumba sita (6)
Sebule
Choo ndani
Fremu moja ya biashara
Maji + Umeme
Total Square meter (660)..Bei ni milioni...
Lake Victoria Fisheries Organization (LVFO) is an institution of the East African Community (EAC) charged with the management and development of fisheries and aquaculture. It was formed by a...
Habari wana JF wote,
Leo nimewaletea bidhaa bora kabisa kutoka pwani kama kichwa cha habari kinavyojieleza.
Tunauza kwa jumla na rejareja pia kwa bei zifuatazo :-
1 kg @ Tsh 6800 jumla
1 kg @...
Wakuu zipo hizi Radio za LG BRAND NEW
Zina
HDMI
BLUEHOOTH
USB
DvD
FmRadio
Zina Mziki muzuri sana usio kera kwa getho au sebule yako.
Nakuoa warranty ya mwaka mmoja
Bei ni 300,000
Kwa Dar es...
Najidakia store & General supply Tunakuletea
Mashine za juisi ya miwa Kwa million moja na Laki mbili hii inakamua na kuchuja yenyewe
Pia local made za hapa hapa zipo
Mashine za ice cream...
Habari ndugu,
Mimi ni kijana niko katika harakati za kujenga maisha japo kwa kujitutumua sana natafuta kiwanja kisichozidi bei ya 5mil Tsh maeneo ya Tabata au Kinyerezi, kiwanja kilichopimwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.