Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Nauza Toyota Brevis bado mpya kabisa Gari anatumia mzungu yupo Arusha Gari iko vizuri sana Full ac Full documents Bei milion 9.5 Nipigie 0719909692 0763166893 Karibuni
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Cover waterproof za simu [emoji93] Haziingizi maji na unaweza kutumia simu ukiwa kwenye mvua au unaogelea. [emoji93]Zinafaa kwa smartphone za aina zote. [emoji93]Bei 8000sh kwa piece moja...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
HIFADHI MAZAO BILA KUTIA DAWA Kwa ajili ya kulinda afya ya mlaji, tumia mifuko ya kisasa (helmetic) kuhifadhi mazao yako. Mifuko inaitwa PICS Na AgroZ. Ukubwa: kilo 100 Bei: 4000 Tutakutumia...
2 Reactions
32 Replies
10K Views
• Umsaidia mfanya biashara kujua changamoto za kiuchumi, tafiti za kifedha na ushindani wa kiuchumi kwa ajili ya kusaidia kukua kwa biashara. • Utumika kama nguzo ya utawala katika kuelekea...
0 Reactions
2 Replies
962 Views
Nyumba ipo Mwenge jirani na Afrika Sana. Anahitajika muwekezaji atakayeingia ubia au kutoa mkopo wenye riba kwenye kuendeleza eneo hilo kibiashara. Nyumba inafaa kuboreshwa ktk maeneo/malengo...
0 Reactions
0 Replies
512 Views
Used from uk 300000 k Kiti 70k 0735036133
0 Reactions
0 Replies
413 Views
Nyumba ya kupanga inauzwa Tabata Reli karibu na ukumbi wa mikutano wa Blue Sky. Sifa; Ina vyumba 10 vya kupanga Ina parking ya Gari 1 ndani special kabisa Ina maji na umeme hati ya nyumba ipo...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Tunafunga madish ya aina zote na pia pia tunafanya kazi za umeme. *Tunafunga madish ya Azam, dstv, zuku, star times na mengineyo. *tunafunga madish ya freesate *Tunafanya wireling ya kwenye...
0 Reactions
0 Replies
786 Views
Nipo Tanga nauza mtungi wa gesi Orxy kg 30 pamoja na jiko lake la kupikia la kioo..tsh 100,000 vyote pamoja 0657999034
1 Reactions
0 Replies
602 Views
Salamu wana jamii, Ninatangaza matengenzo ya plastic aina zote mfano semtank, bumper za magari, viti na meza za plastic pamoja na fiberplastic. Nakufuata popote kama umeme upo sehemu isiyo na...
0 Reactions
0 Replies
373 Views
Simu haina kipengele hata kimoja Ram 3GB Storge 32GB Inch 5.5 Kamera kari Network 4G Bei 230000 Camerq Mp13 kalii, Android 9 , 0716872076 No exchange
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Nauza Iphone 7 Plus 32 GB - USED. Kama mpyaa.. kila kitu funciton as new 95% Battery Health Price: IMESHAUZWA Location: IMESHAUZWA Contact : IMESHAUZWA
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Full Boxed TP Link MR6400 Super fast 300Mbps Support Simcard (All Networks) Can Connect 32 Devices Price: 180K Fixed Location: DSM Contact: 0679029498 Call/Txt/ WhatsApp
0 Reactions
0 Replies
495 Views
Nauza vifaa vya biashara ya chips Meza ya plastic 1 na viti 4 Kabati la kioo na meza ya mbao Majiko 2 ikiwepo na la mshikaki Sahani 11 Karai ya kukaangia chips Vikaangio viwili Jumla 350000...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wana bodi habari za majukumu na poleni kwa msiba huu mzito wa kuondokewa na Raisi mstaafu B.W Mkapa. Kama kuna mwana jamvi atakuwa na connection ya alteza ambayo ipo sokoni naomba aje PM, pesa...
0 Reactions
7 Replies
777 Views
Habari msomaji! Kama kichwa cha habari kinayoeleza ninauza bata bukini wadogo wenye umri wa miezi 6. Idadi yao ni 6 na kati yao madume mawili na majike manne (4). Napatikana mkoa wa Dar Es Salaam...
0 Reactions
16 Replies
42K Views
Habari wana jamii, sisi ni wauzaji na wasambazaji wa fabrics na pia tunauza tshirts aina zote round neck pamoja na polo best quality kwa bei ya kiwandani. Kwa maelezo zaidi tafadhali wasiliana...
3 Reactions
20 Replies
5K Views
Uki _ dial *102*01# ujue salio lako, DAKIKA hazionyeshwi. Wanaonyesha Mb, na SMS. Kwanini dakika hazionyeshwi? Ni system failure au ni makusudi? kama ni makusudi, Wanaficha nini kama siyo...
0 Reactions
9 Replies
979 Views
Nitafute nikuuzie containers za MSC, Maersk, CMA CGM ya 20ft na ambayo yapo katika hali nzuri.. Au unaweza niagiza Conteiner kutoka shipping line unayoipenda wewe. Ntakuuzia kwa bei chee ya Dola...
3 Reactions
7 Replies
5K Views
Ndugu, kama kichwa cha habari kinavyojieleza mmiliki wa kampuni ya ulinzi ya THE NEW MILLENIUM SECURITY SERVICE CO.LTD anahitaji kuongeza share holder wawili kwenye kampuni yake. Kampuni ina...
2 Reactions
5 Replies
886 Views
Back
Top Bottom