Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Kwa mahitaji ya circuit digital , microckntroller programming na ushauri juu ya design nione nikufanyie kazi kwa gharama nafuu kabisa huku ukipata wasaa wa kujifunza design yako. Nta design...
1 Reactions
3 Replies
653 Views
Nyumba inauzwa Mwanza Magu yenye sifa zifuatazo; vyumba 2 vya kawaida vya kulala Vyumba 2 vyenye master bed room Chumba cha study room Sitting room Dinning room Kitchen Nyumba imejengwa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Travota boot Size:41-42 Price:35,000 Raba Nike Size:40 Price:23,000 Ladies shoe Size:37-38 Price:22,000 Sandals Size:38 Price:20k Tunapatikana karume Dar es salaam 07646880-wasap or normal...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari wadau, nauza laptop Aina ya HP Specifications Hard disc 1TB Ram 8gb Processor 2.0ghz Core i 3 DVD /CD rwr BEI Tsh 350000/= Mawasiliano 0783696253 Haina tatizo lolote
0 Reactions
4 Replies
1K Views
HAYA SASA KUMEKUCHA ACHANA NA KUTUMIA MADAWA YA KUPUNGUZA UZITO,KITAMBI,NA UNENE NA YA KUTENGENEZA SHAPE MAANA SIO MAZURI KIAFYA.. JIPATIE KIFAA AMBACHO KITAKUWEZESHA KUPUNGUZA UZITO,KITAMBI,UNENE...
0 Reactions
9 Replies
6K Views
Maana ya BULK SMS: Tunapo zungumzia Bulk Sms tunamaanisha huduma ya kutuma ujumbe mmoja wa maandishi kwa watu wengi. Mfano kutuma sms moja kwa watu zaidi ya 10000 kwa wakati mmoja. Bulk sms...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Iphone 11 128Gb duos 1.85M PURPLE 💜 Apple warranty available Call/whatsapp:::0715767420 Delivery mpaka mikoani
0 Reactions
1 Replies
550 Views
PRICE 700,000 RAM 10 GB SCREEN TOUCH LIGHT BUTTON INA WIKI TATU NA RISITI ZAKE ZIPO ANAEUZA ANA MATATIZO 0678096545
2 Reactions
7 Replies
731 Views
Kama huwa unaangali level ya ATF kwenye gari yako kama unaangalia Engine oil basi unakosea sana. Hata mimi nilikuwa na mawazo kama hayo mpaka nimekuja kujua kuwa kumbe huwa nakosea. Kwa asilima...
7 Reactions
8 Replies
5K Views
Wakuu katika kutafuta kipato nimepata sait ya kuchomea hivyo. Natafuta Mashine ya kuchomea uwezo 400 au 500A. 0620618966 Nipi Kilimanjaro Rombo.
0 Reactions
0 Replies
550 Views
Habari viongozi ✋ Natafuta nafasi(space) ndogo kwa ajili ya kujenga frem au kuweka banda kwa ajili ya biashara.. Sehemu yeyote kwa Dodoma mjini (sio katikati ya mji) ila sehemu yeyote yenye...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wananzengo. Natafuta kiwanda kinachotoa ngozi za karanga yaani karanga zinatolewa ngozi yake Ile ya juu na kubakia nyeupe/skinless. Karanga ambazo hazijakaangwa yaani mbichi hizi za...
0 Reactions
9 Replies
991 Views
Wakuu! [bado nipo katika biashara ya kuuza Muda] Kwa sasa nipo Iringa unaweza kunitumia kwa kazi yako yoyote halali katika mkoa ambao huwezi kufika kutokana na majukumu yako kua mengi. - Ikiwa...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Gauge 30 Migongo mipana (IT-5)> 23,500/= Gauge 28 Migongo mipana. (IT-5)> 33,000/= Migongo vigae (versatile)> 36,000/= Pia tunakata kwa mita (special meter). Kama wewe ni muhitaji wa bati...
2 Reactions
25 Replies
7K Views
Wakuu mambo vipi, Naomba kuuliza, kwa Dar es Salaam soko la kuuza mazao ya nafaka kama mahindi, maharage etc. Hilo soko lipo sehem gani? Kwa mfano, nataka kununua mazao kwa wakulima , na kuja...
2 Reactions
1 Replies
4K Views
Kwa jina naitwa Alpha arts🐾, mimi ni professional artist wa kazi za penseli na acrylics painting napatikana pia nafanya foundation art and also live portraits, , napatikana jijini Arusha.... Bei...
1 Reactions
0 Replies
419 Views
KIMROS PRODUCTS inawaletea pilipili nzuri na zenye ladha ya kuongeza mvuto wa mlo wako. Tunazo pilipili aina mbili 1.Pilipili ya Embe (Mango chutney) 2.Pilipili kali yenye viungo (Hot spiced...
2 Reactions
10 Replies
3K Views
Bei 235000 Sifa zake Bluetooth Fm radio Usb Aux cable Remote control Warranty mwaka 1 Usafiri bureeee Wasiliana nasi 0714092524》》0769101045 WhatAssap 0714092524 Tupo Magomeni Mikumi
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wanajamvi, Kampuni yetu ya SASIL LTD inatafuta wateja wa kokoto bora kabisa za kujengea barabara, madaraja,majumba nk. Bei ni maelewano na ni nafuu sana. Kwa maelezo zaidi tuwasiliane kwenye...
2 Reactions
13 Replies
4K Views
Computer Desktop Dell Optiplex Intel Core i3 2120 Processor Speed 3.4 Ghz Ram 8GB HDD 500GB Nvidia GTX 660 2GB Monitor 20 inches Wide screen Support Heavy Games (FIFA 20, 19, PES 20, 19, GTA V...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Back
Top Bottom