Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Ni Mpya haijawai kutumika Ina kadi yake mpya kabisa Ina wire wa kuunganisha dishi Ina dish lake. Inapatikana Mbezi Luis Wasiliana nami: 0789 830396
2 Reactions
1 Replies
3K Views
Ukubwa 400 mita za mraba Bei tshs 3.5milioni. Skwata, mwenye kiwanja kajenga jirani Gari haifiki.. 0686648630
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari Kwa wale ambao wanahitajikuingia Katika biasharaa ya vituu vya kike Na ushaulu Katika biasharaa hii Nina uzoefuu wa mdaa mrefuu Kwa wale waliopo dar es salaam .Ukipata mdaa ndakutembeza...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Vitu vifuatavyo vinaweza kuharibu battery ya gari yako. 1. Kuweka battery yenye low capacity ukilinganisha na battery ambayo imekuwa recommended kwenye Specifications za manufacturer Baadhi ya...
6 Reactions
13 Replies
6K Views
Habari zenu wanajanmvi, Natafuta soko la ubuyu kwa bei ya jumla. Yaani mimi natoa shamba na unakuwa bado haujaandaliwa kwa ajili ya kuliwa. Kwa aliyetayari tuwasiliane kwa namba 0755979447
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ni ya mlango mmoja Ni nzima ina pooza vizuri BEI NI TSH 250,000/= Ipo Mbezi luis/ Mbezi mwisho Wasiliana nami; 0789 830396
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Tafadhali msaada kujua ubora wa TVs tajwa hapo juu ipi ina ubora mzuri. Ubora wa picha, uimara, bei, n.k nimeitoa LG na Samsung kulingana na bajeti yangu. Nataka kuchukua nchi 43. NB: Don't mind...
0 Reactions
18 Replies
6K Views
Rafiki yangu kanipigia kanambia walikua wamepanga lufungua dispensary mkuranga Ila kuna issues zikatokea yeye na partner wake waka sitisha project Wameamua kuuza vifaa vya kazi Na uimebaki...
0 Reactions
1 Replies
538 Views
Toyota harrier (tako la nyani) Gari imetunzwa Haijarudiwa rangi Full ac Full documents Bei ni 19M Tunakusaidia kuissue transfer of ownership Piga simu 0688351006
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Habari za jioni wakuu, kama kichwa cha habari kinavyosema. Natotolesha mayai ya kuku 10000 kwa trei, tunauza vifaranga vya kuroiler na pure kienyeji, pia nakukua wanyama 200 wako tayari kwa...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari za jioni wakubwa na wadogo. Naomba kuzamia kwenye mada Nahitaji gari kwa ajili ya mizunguko ya hapa na pale kwenye mkoa wa Singida si unajuwa tena kipindi cha kampeni, gari hiyo...
0 Reactions
50 Replies
4K Views
Habarini wadau, moja kwa moja kwenye kichwa cha habari,JAMANI WAPI NAWEZA PATA SERVICE YA BODY TO BODY MASSAGE kwa hapa dar es salaam!
2 Reactions
201 Replies
86K Views
Ina partitions mbili kubwa Choo ndani Luku yako ipo nje Maji yapo Parking ipo Office ipo ada estate opposite na dar free market pale kwenye maghorofa yaliyokuwa ya nhc, kodi 380,000 kwa mwezi...
0 Reactions
2 Replies
861 Views
Kiwanja kinauzwa au kinabadilishwa kipo Kange Mkurumuzi Tanga Urefu 27m Upana 22m Exchange inafanyika kwa gari ndogo au bajaj viwe katika hali nzuri. Kiwanja bado hakina hati lakini kwa sasa kuna...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wadau! Kama kichwa kinavyosema, ninatoa huduma ya hosting bure kabisa kwa miezi 6 na pia kama unahitaji kua na website au mobile application (ios & android), pia utapatiwa kwa gharama nafuu...
0 Reactions
0 Replies
643 Views
Eneo: Mtaa wa kwa wa mbili - Zogoali Bei: Tsh. 1,300,000/= Umeme Upo na maji yapo Ukubwa : mita 13/13 au miguu 18 kwa 18 Hakuna Dalalii Piga namba 0627864823
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Wakuu habari za mida, kama kichwa kinavyo jieleza, nahitaj passo. Namba C au D, iwe imenyooka.
1 Reactions
37 Replies
4K Views
- Ni aina ya CANON SELPHY (CP1000). - Size ya paper ni 4×6. - Inatumia umeme na betri pia. - High quality printing. - Iko safi kabisa. BEI NI 150,000/- Simu: 0786 737923, Bagamoyo. Picha za...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari zenu, naitwa Fahad napatikana Ilala Dar es salaam nilikuwa nahitaji mfugaji anaeweza kunsupply mayai ya kisasa tray 300 kila baada ya siku 3, bei isizidi 6200 na usafirishaji wa mayai ni...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
nauza vifaa vyote vya mziki na studio, vifaa vyangu ni mtumba toka uk /us /dubai na sa. nina speaker za mid na bass, busta, mixers, mic, monitor speaker, sound card na vinginevyo vingi...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Back
Top Bottom