Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Habari wadau, hope you are all doing well. Nauza mayai ya kisasa kwa bei ya jumla trei Tsh 6,000/= (Kuanzia trei 20). Location: Dodoma Mjini Karibuni wadau. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
3K Views
  • Poll Poll
Wazalishaji wa Mabati ya Rangi ya kisasa kwa Muumo wa Kigae, Migongo mipana na Migongo Midogo Ofa ya usafirishaji bure kwa wateja wetu wa ndani na nje ya Dar es Salaam. Wasiliana nasi:0764183844
0 Reactions
9 Replies
882 Views
Habari wanajamvi....naomba msaada kujua wapi ninaweza nikauza silver maana nimejaribu kuzurura posta ila wote wananiambia hawanunui silver.Yoyote anaejua wapi wananunua silver naomba anisaidie...
1 Reactions
12 Replies
743 Views
Habari wana jamvi. Naomba kuuliza je mabati bora yasiopauka kwa haraka ni kampuni gani. Na shilingi napi kwa meter
0 Reactions
21 Replies
7K Views
Laptop DELL HDDC 232.88GB LAM 2.00GB Intel(R).core(TM)2@2.66GHz System type 64-bit Windows 10 Location sinza madukani WhatsApp no.0683292291 Bei sawa na bule Tsh. Laki na 70 Tu TSH.170,000
0 Reactions
7 Replies
713 Views
Kwa wale wadau wa sanaa ya mapigano karibuni sn leopard ujifunze jinsi ya kujihami dhidi ya adui wa aina mbalimbali. Ukiwa leopard utajifunza kuchezea fimbo & cheni, kisu & panga, technic zote za...
1 Reactions
7 Replies
741 Views
Habari zenu wananzengo, kama tangazo linavyosomeka hapo juu, natafuta gari ya kununua iwe TOYOTA Vitz old model, Passo Piston 4 au Starlet. Namba Ianzie B,C au D Iwe Kwenye hali nzuri nikiwa na...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Ninaomba kama kuna mwenye machine ya FAMOCO aniuzie nina shida nayo nipo Dar. Mwenye nayo nitafute WhatsApp 0769946412
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Pata huduma za graphics design kwa bei nafuu, Huduma zetu ni: 》Logo design 》Flyers design 》Business cards design 》Simple motion graphics 》Banner design 》Sticker design 》Online Poster design Bei...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Hp Laptop RAM 4GB 500 GB HDD WLAN &BLUETOOTH Ni mpya kabisa BEI 280,000/= Whatsup 0765764961 #NipeniDili. Nipo DSM Mbezi ya kibamba
1 Reactions
2 Replies
632 Views
BEI NI :100,000 tsh Simu haina shida ina miezi mi chache toka itoke dukani kama ukinunua basi wewe unakuwa mtu wa pili baada ya mimi. Nipigiee kwa ;+255 629 082 902 au +255 678 807 707 Ina...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
CROWN ATHLETE No.DRW cc 2490 Mileage covered 117222 Location Dar es salaam Posta. Bei ni 12M, maongezi yapo piga simu 0688351006
0 Reactions
19 Replies
3K Views
sofa inauzwa bado mpya imetumika kwa miezi miwili, Nipo morogoro kwa anehitaji anicheck pm.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari ndugu, - Namtafuta serious buyer, gari lipo fresh kabisa. - ninaliuza milioni nne tu. 4M. - lipo banana ya ukonga,ukifika stendi ya banana nipigie simu 0744505170.
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Kiwanja Kinauzwa ukubwa miguu 30 kwa 30 chenye vyumba viwili double self.Bei ni Milioni 10.5 mawasiliano 0757048829 Karibuni Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Tunatengeneza Computer za aina zote na kurudishia katika ubora Wake,, Pia tunazo Software / Program Za Computer Tupo DAR ES SALAAM WASILIANA NASI 0628 880 380
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari kwa mahitaji ya kudizainiwa na kuchapishiwa sticker au lebel za bidhaa mbalimbali zikiwemo za wajasiriamali ...!! Design 18,000/=,ofisi ipo k.koo mtaa wa Narung'ombe.kwa mawasiliano zaidi...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Hello! Kwa mahitaji ya viungo vya chai na pilau vilivyosagwa Na kupakiwa vizuri ,vyenye kuleta ladha na harufu nzuri mwenye aidha chai ai pilau lako wasiliana nasi kwa simu no 0653 970 936 Bei...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Habari kwa jina naitwa Khadija ni afisa masoko ktk kampuni ya FEKAS GENERAL SUPPLY tunajihusisha na kudizain pamoja na kuprint ticket za mabasi, cargo receipt, invoice, mainfest Bei Full color...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Jamani wana JF nahitaji kujifunza udereva wa magari kwa mda mfupi kutoka Dar es salaam kwasababu mm mwenyewe nipo dar es salaam, nahitaji mnitajia mda wa kumaliza hayo mafunzo ndani ya kipind...
0 Reactions
6 Replies
23K Views
Back
Top Bottom