Samahani wakuu, naomba kujua duka zuri la chainsaw original kwa Dar na bei zake zikoje?
Specification zake za chainsaw iliyo bora kwa ukataji wa miti mikubwa bila kukwama.
Habari wakuu, nahitaji muuzaji wa Mixer ambayo ni powered itakayokuwa na uwezo wa kuendesha box speaker 4 za watt 300 yenye njia kama 12 au zaidi. Njoo na bei yako kwenye comment, pesa ipo tayari...
IFANYE TV YAKO YA KAWAIDA (LED) KUWA SMART TV
PUNGUZO LA BEI
MXQ PRO ANDROID TV BOX
PATA APPLICATION MBALI MBALI HASA KWA WAPENZI FIALAMU/MICHEZO/GAME ZA WATOTO.CHANNEL MBALI MBALI ZA TV ZA...
Canon 600d
Ipo katika hali nzuri
Lens 18-55
Ina chagi yake na betri 2
Bei laki 6 maongezi yapo
Na lens kubwa ipo 55-250(bei laki na nusu).
+255 757 936 699.
Je mwili wako unauchovu? Haujisikii vizuri kutokana na misuli ya mwili kukaza? Je unajisikia viungo vya mwili wako havipo sawa?
Umekuwa na matatizo ya maumivu ya mgongo mara kwa mara, misuli...
Kiwanja kinabadilishwa kipo Mkurumuzi Tanga km 4 kutoka stendi mpya
Urefu 27m
Upana 22m
Exchange inafanyika kwa gari ndogo au bajaj viwe katika hali nzuri.
Kiwanja bado hakina hati lakini kwa...
Nauza gari aina ya Honda FIT
Mwaka ilipoundwa: 2007
Ukubwa wa injini: CC 1330
Rangi: Dark Blue
Imetembea: km 123,000
Imelipiwa kila kitu na haijawahi kupata ajali
Bei ni 7.8 milioni, maongezi...
Air Jordan size 9/44 35K
Sandals size 42 brown 20K
Sandals size 42 dark brown 25K
Rubber(pink) Size 42 30K
Call& WhatsApp 0692058709
Dar es salaam
Mkoani tunatuma
50kg chrome barbell ikiwa ndani ya bag yake kama ilivyo
Set hii ina consist Dumbells, Fimbo/Barbell pamoja na plates kuanzia 5kg kushuka chini ambayo yote kwa ujumla tunapata set ya 50kg
Ni nzuri...
Kiwanja kipo Kimbiji kwa Moriss,km30 kutoka Kigamboni.Ukubwa ni mita20 kwa 20. Kipo jirani na barabara kuu lakini nje ya mawe ya hifadhi ya barabara.Kipo jirani na ufukwe(beach).
Panafaa kwa...
gari inauzwa ipo DAR, ni Toyota land cruiser GX, model 1993, 1hz engine, dalali hakuna coz bei imeeleweka hapo million 12/=.......inahitaji matengenezo ya body kidogo kwa kua maji ya chumvi...
GARI tajwa hapo juu inauzwa;
Toyota landcruser old model
Cc 3970
Diesel
1993
Vibali vimelipiwa
IPO DSM
Nzuri kwa kazi nzito
Inatembea
Nzuri kwa barabara zote.
Imewekwa siti nzuri hadi nyuma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.