Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

JF Prefixes:

Sikupi chimbo, nakupa maono! Nakupa code! Nakupa madini Kama hutaki bas mzee usinichoshe, tusichoshane.. Kuna watu wanavaq brand kali sana wanapenda kung'aa. Leo natak nizingumzie code ya...
16 Reactions
106 Replies
7K Views
Nina jumla ya uzoefu wa miaka 7 (saba) kwenye masuala ya kibenki na utoaji na upembuzi wa mikopo. KWa uzoefu wangu huo, ninaelewa mbinu na namna bora ya kufanya ili usisumbuke kupata mikopo...
0 Reactions
1 Replies
211 Views
BODA SALAMA BimaJanja kwa Boda Mjanja! ACCLAVIA INSURANCE GROUP ni kampuni ya bima inapenda kuwatangazia wamiliki wote wa pikipiki bima ya boda salama. Unakata bima kwa Tshs.56,000/= (Elfu...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
KUPITIA SISI KUMILIKI TV NI KITU RAHISI JIPATIE TV KWA BEI YA KIWANDANI KUTOKACHINA KAMA IFUATAVYO SPECIAL BIG ODA TV SMART BRAND:SAMSUNG / LG 💫32@160000 💫43@300000 💫50@480000 💫55@500000...
8 Reactions
77 Replies
3K Views
• Direction: Mailimoja Mkoani, 500 meters off Morogoro Road • Facilities: 4 bedrooms, 2 washrooms • Condition: Good • Plot Area: 6,000+ sqm (1.5 acres) • Document: Title deed • Price: TSH 150...
2 Reactions
9 Replies
438 Views
Laptop used lakini bado iko kwenye hali ya upya inauzwa bei nafuu Sana. Bei 850000/= maongezi yapo. Mawasiliano 0744220051 Iko Dar es Salaam
0 Reactions
4 Replies
282 Views
Uko tayari kuanza safari? Kodi gari kwetu kwa safari isiyo na usumbufu, iwe ni safari fupi au ya mbali! Weka nafasi sasa na uendeshe kuelekea uhuru wako +255 655 633 302
0 Reactions
0 Replies
138 Views
Machine ya kutengeneza bisi popcorn machine inatumia gas inauzwa sh 500,000 inauzwa na stand yake yenye matairi free delivery 0747 367681
2 Reactions
1 Replies
171 Views
Wakuu habar zenu Natafuta Mtu anaweza kutengeza content za youtube Aina ya content ni zile zinazohusu Simuliz mbalimbali za kimaisha Simulizi ziwe interesting na za kusisimua Sharti uyo mtu...
1 Reactions
3 Replies
196 Views
Wale mlikokuwa mnahitaji container Kwa bei nafuu zaidi sasa imebaki moja Utapata Kwa 3.6 mil Kuna hii tu nyingine bei zake zipo juu kidogo. Tupo kurasini DSM Call and WhatsApp 0625 085 224
0 Reactions
1 Replies
178 Views
Tools pitia picha chini
1 Reactions
9 Replies
368 Views
Jaman mimi ni bint nimemaliza chuo na ni laboratory technologist proffesional naomba msaada wa connect ya kazi plz jsman nipo Dar es salaam mbezi Magufuli. Pia nina huduma hizi kwa waliopo...
6 Reactions
7 Replies
426 Views
Karibu JSL COURIER kwa huduma bora ya kuhama na kuhamisha vitu kutoka mtaa A kwenda mtaa B na kutoka mkoa A kwenda mkoa B. Huduma zetu ni nzuri, nafuu na uaminifu ni mkubwa mno. Usisumbuke tena...
2 Reactions
100 Replies
3K Views
Habari za weekend; Kwa wali wanaosalia najua mmewahi kumuomba Mungu awapatie Mkate wenu wa Kila siku. Leo nataka tuzungumzie kuhusu TENDER au kwa Kiswahili TENDA.Tenda huwa zinakuja kwa lugha...
2 Reactions
5 Replies
3K Views
Nyumba inauzwa madale mivumoni karibu na kaseke primary school Ina eneo la ukubwa wa 487 square meters Ina vyumba 3 master na choo cha public na jiko Inatank la maji la lita 3000 Bei ni 170M...
0 Reactions
11 Replies
482 Views
Ushauri kwa wafugaji wenzangu mliopo humu Kuna App ya ufugaji itakusaidia mambo kadhaa. Itakusaidia katika ufugaji wako. 1. kuandaa fomula za vyakula vya kuku kwa kiasi utakacho na kuku wa umri...
1 Reactions
0 Replies
514 Views
Tunatafuta matairi yaliyotumika ya mabasi makubwa na Scania. 💸 Tunatoa TZS 3,000 kwa kila tairi moja! ✅ Kiasi kinachohitajika: Tunapokea matairi kuanzia 50 au zaidi. 📍 Eneo: Upo Dar es Salaam...
0 Reactions
3 Replies
263 Views
Karibu Nipigie hapa kama unahitaji 0775823513 Bei ni 650k fixed. Inapatipatikna Mbezi Beach- karibu na shule ya JK NYERERE. IMEUZWA TAYARI
1 Reactions
8 Replies
403 Views
Hello guys Mm ni muhitimu wa chuo nikaona kukaa tu sio poa niko Dar hapa kuna vyuo vingi natafuta mdada ambae yuko tayali tuanze kupita vyuoni kutafuta wateja na kuuza nguo kwenye hostels tunaenda...
6 Reactions
27 Replies
632 Views
Habari wakuu, Natafuta soko la uhakika la mayai ya kienyeji pure kwa dodoma jiji. Ninauza tray 17,000. Pure kienyeji. Karibuni sana. Ninapatikana Dodoma Mjini.
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Back
Top Bottom