Habari wadau! Kwa mnaoguswa na tozo kama mimi poleni sana.
Naomba kuutaarifu umma kwamba niko njiani kuingia kwenye biashara ya nguo za mtumba. Nimedadisi kiasi fulani nikaona nguo za mtumba ni...
Solar water pump, zinapatikana kwa bei ya punguzo.
Ili kujua bei na pampu inayokufaa tupe maelezo yafuatayo
-Aina ya chanzo cha maji.
-umbali toka chanzo hadi maji yapohitajika kufika.
-mwiunuko...
Wakuu naleta uzi huu mimi ni mkulima wa bamia nipo Dar es Salaam nauza kwa bei ya shambani kama utakua mfanya biashara wa bamia au unafahamu madalali wa kununua mzigo kwa bei ya shambani au masoko...
MEP Services: I specialize in the Design and installation of Plumbing systems, Fire Protection systems, Kitchen Equipment layouts, HVAC systems, and Fire protection Pumps for residential...
Habari
Kulingana na mahitaji ya furniture za mbao na chuma katika mazingira yetu ya kazi, ofisini, mashuleni, vyuonI, taasi mbali mbali na majumbani
Sisi kama wabobezi na watengenezaji wa haina...
Wakuu kuna dada mmoja anajihusisha na uuzaji wa simu za Infinix ila simkumbuki na uzi wake sijaupata humu jf.
Hivyo kama bado anaendelea na huduma hii naomba tuwasiliane.
Nawasilisha.
Husika na kichwa Cha habari hapo juu ,salamu haikuongezei thamani .
Mwenzenu nipo mkoani Kagera specifically katika mji wa Bukoba mjini ,popote mlipo mnaojua mnakodisha magari madogo kwaajili ya...
Viwanja hivi vimeshapimwa na vina bikoni vipo Jijini Dodoma, wilaya ya Dodoma mjini kata ya Nara karibu kabisa na barabara ya Mwanza
Vina ukubwa kama ifuatavyo
25 x 30 = Tshs 3,500,000
25x56=...
Vidokezo vya Kina vya Matunzo ya Gari kutoka Al Husseiny Auto Parts Tanga - 0713 276892
Kuwekeza muda na juhudi kwenye matunzo ya gari lako ni njia bora ya kuhakikisha kuwa linafanya kazi vizuri...
Mimi ni kijana nimeo nina mke mmoja na mtoto mmoja
Sasa tangu nimeoa mke wangu Nimekuwa kama mtu ambaye ametupiwa Pepo la uzinzi Yaani siwezi kupitisha siku mbili au moja na nusu bila kufanya...
Tunauza vipuri vya magari yote ya Japan, Uingereza, Singapore. Pia, magari madogo, makubwa kama fuso, canter, tata , n. k.
Tupo barabara ya 20 Tanga. Piga simu namba 0713276892.
Usisime spare...
Kwa mahitaji ya spear used za magari ya Europe iwe Audi, BMW, BENZ,Vw, Ranger rovers
Iwe fundi & tajiri kwa mahitaji yeyote ya spear parts used na bora wasiliana nasi 0613010190
Nauza chainsaw
Model ni 272
Bei ni Million 1.3
Zipo mbili zote ni mpya
Panga lake ni inch 24
Linakata miti milaini na migumu yote na kupasulia mbao
Bei ya kila moja ni Million 1.
Hizi ni baadhi ya aina za Writeups kwa ajili yako mpambanaji:
1) A business plan for a startup farming business
(Mtaji kuanzia 2ml to 20ml), gharama zake sh 350,000
2) A business succession plan...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.