Wazee kwema?
Nina tracks mbili hapa kiuno 36 unyama yani. Light grey(bottega) moja na nyuesi moja (versace). Ziko mbagala hapa.
Quality njema na yenye kupendeza, nguo mpya kabisa
Bei yake ni...
Hapa utapata
Cover 360
Back cover
Charger OG
Memory cards
Flash n.k
Cover kama hizi utapata mpaka kwa 4000 kwa reja reja na kwa jumpa bei inapungua zaid ya hapo.
Samsung
Tecno
Infinix
Itel...
Habari za wakati huu...
Kiwanja kinauzwa Goba Kulangwa...
Kiwanja kipo upande wa kulia kutokea Madale mwisho....
Kilomita mbili mpaka madale mwisho...
Kilomita mbili mpaka Goba njia nne...
kwa anaehitaji saloon ya kiume in a kila kitu mashine za kunyoa 2, vioo 3, viti vya kunyolea vya dukani 2 kiti cha wateja cha chuma vile special vya dukani kinakaliwa na watu watatu 1 ,shelf 2...
Habari ya asubuhi Waungwana, Poleni na Hongereni na Mapambano, Kwa wale wazazi, ndugu pamoja na Jamaa ambao wanahitaji watoto wao kufundishwa nyumbani (Darasa la 1 mpaka wale wanaosoma Vyuo vikuu...
Je wajua hata mtoto wako anaweza kumiliki gari tena Mercedes Benz!
Gari hii Inatumia betri ya kuchaji na umeme,(12v)
Music system (USB,memory card,aux,children songs and tales)
Inafaa watoto...
Habarini Wana JF nmeamua kuwaletea Fursa ya fremu ya Barabarani ambayo Haina udalali Wala nini unawapigia Moja kwa Moja wahusika.
Fremu iyo Kodi kwa mwezi ni laki 5
-Ipo G/mboto kabisa Karibu na...
Nauza Mashine ya kukamua na kuchuja alizeti no 120 ,umeme stree phrase, tani 6.5 per 24.bei 26,500,000 ,napatikana kwa namba 0713503753 tupo dar es salaam
Nauza mashamba na viwanja kwala
Kwala ipo kijiji cha kwala wilaya ya Kibaha Mkoa wa pwani.Kuna bandari ya inchi kavu,karakana ya mradi wa SGR na kongani ya viwanda 200.Kwala ipo km 15 kutoka...
Ni matumaini yangu kuwa wengi ni buheri wa afya na manaendelea vema na majukumu ya kila siku!
Ukweli kuwa wengi wetu tuna mategemeo makubwa kutoka Azam tv tofauti na ukweli ulivyo...
Lengo la...
ANDROID TV BOX YENYE IPTV ACC.. INA CHANNEL ZOTE ZA DSTV ZA MICHEZO, BURUDANI, HABARI, MUSIC.. SUPER SPORT ZOTE LIVE.. KAMA UNA INTERNET NYUMBANI AU OFISINI HAUNA HAJA YA DIKODA WALA MALIPO YA...
Habari wadau . Nimefanikiwa kukopa pesa bank hivyo nahitaji kiwanja kilichokuwq mjini maeneo ya mwanayamala, kinondoni na makumbusho. Ikishindikana kabisa nipate hata maeneo ya kawe
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.