Usikubalii kupitwa na hii Ofa, wanaozijua wazichukua kila Leo.. TUNAUZA PIKIPIKI MPYA KABISA AINA YA HONGHA BEI NI 1,600,000Tsh
Aina ya pikipiki ni HONGHA, CC 125, ina gia 5, speed yake ni...
Habari wanajamvi,kuna viwanja (havijapimwa bado -shamba) ekari 2 vinauzwa vyote kwa pamoja.
Ekari moja inauzwa kwa Tsh 10,000,000.
Vipo Nkuhungu karibia na mnadani - mita 200 kutoka barabara ya...
Kama upo na ujuzi huo naomba tuwasiliane ili tuweze kutengeneza kitu. Hii ikiwa na maana kwamba tunaanzisha ofisi kwa ajili ya kuendesha shughuli hiyo iweze kutupatia angalau kipato.
Naamini...
SIFA: Iwe haijakamilika (half-built). Iwe ina vyumba vinne vya kulala. Iwe imejengwa katika kiwanja ambacho kimepimwa na kina hati miliki. Kiwanja chake kiwe na ukubwa usiopungua mita za mraba...
Yeyote anaetaka kuendesha biashara ya Carwash awasiliane na mimi. Sehemu iko tayari na ina facilities zote na fremu kubwa ya biashara ya spare/lubricants, pembeni kuna gereji pia.
Karbun kwa kaz saf na za kisasa za nyumba kwa rang za kawaida au material ya kisasa Kama travetex dekor, decoo, 3dwall panel, wall moulding, wall master ,wall paper,conmix ,stucco,pearl,palace...
Fursa ya biashara kwa mtu anayemiliki basi kubwa au Tata,kuna njia ambazo zinauhitaji wa magari ya abiria kama sumbawanga_kigoma(500km),mwanza_tabora_sumbawanga(953km) na...
Habarini WanaJf,
Naomba ushauri wa kufahamishwa kuhusu tiles nzuri za kuweka kwenye nyumba ambazo hazipauki na zenye gharama reasonable.
Nimeona kuna tiles za kampuni ya Goodone, Goodwill na...
Wakuu,
Nauza power cable za computer na VGA kwa jumla @3000 kwa PC
Napatikana Segerea mwisho. Zipo nyingi sana; pc zaid ya 10000.
Karibuni
Mawasiliano: 0765544397
Nyumba ina Hali Nzuri na Eneo ukubwa miguu 25 kwa 20, Pia ipo karibu na barabara Kuu.
Ina Sebule kubwa, dinning room,jiko,vyumba 2 vya kulala,choo na bafu..
Na pia ina Banda la nyuma lenye...
Jeki ya umeme na spana ya yake ya umeme ya kufungulia Tyres za gari inatumia umeme wa gari Zinauzwa aina ya lcav bei 250000 zipo dar es salaam pia zipo drill mpya Zinauzwa bei 60000
Ukihitaji...
katika vita ya kuendelea kupambana na corona kuna mashine tunazitengeneza (disinfectant walk through ) kama inavyooneka hapo chini kwenye picha na video .tushirikiane kupambana na janga hili kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.