Habari mwana jf; karibu ujipatie Kitanda cha chuma kwa bei poa ya laki 180,000.BEI ZETU; 3*6 laki 130,000, 4*6 laki 160,000. 5*6 laki 180,000. 6*6 laki 210,000 izo bei ni kwa upande wa Vitanda...
Feni aina ya Evernal inauzwa kwa bei poa kabisa yani sawa na bure.
Wala aina tatizo lolote lile na kama ukitaji kufungiwa basi utaongeza elfu 10.
Nipo Dar
Mawasiliano: 0652868486
Sent using...
Tv ya Sony nchi 14 ndogo nzuri kwa kuweka chumbani uondokane na kugombania tv kubwa ya sebuleni. au kwa vijana wanaoanza maisha ghetto. TV hii siyo flat screen. Ni zile za kawaida.
Bei elfu...
Habari Natafuta simu aina ya Samsung S6 edge Plus yenye storage yoyote
Muhimu iwe clean na isiwe na shida yeyote ile iwe inapiga kazi vizuri.
Uwe Dar es salaam / Offer Yangu Ni Tsh 250,000/=...
Ndugu Mohamed,
Salaam kutoka Dar es Salaam. Tunatumai uko mzima. Tuna furaha kukujulisha kuwa kile kitabu cha wasifu wa Mwalimu Nyerere tulokuwa tunakiandika sasa kimeshachapishwa. Ndugu Mohamed...
Movie nzuri utakazozipenda zilizotoka mwaka huu:
1.I CAN ONLY IMAGINE - Hii ni Movie yenye historia ya kweli ndani yake ambayo inamhusu kijana mmoja aliyekuwa anatamani kuwa muimbaji wa nyimbo za...
500GB External HDD inauzwa ipo Tabora mjini hapa Ipuli. Ni mpya kabisa imefunguliwa ili kuwekwa movies tu. Bei yake ni 75,000 tu. Mwenye uhitaji aliyeko Tabora anicheki kwa namba 0621448149
Imetumika miezi 5
Lumens 1800
Contrast 2000
Native resolution 480 p
Display screen inch 40" Hadi inchi 170"
Ina zaidi yA masaa 20,000 ( Kama utaitumia masaa 10 kila cku utakaa nayo miaka 12 Bila...
Habari wana JF
Ninauza Gari langu aina ya Suzuki Carry/ kirikuu , Gari ni nzuri sana haina shida yoyote , inaendeshwa na kufika mkoa wowote , haijawai kufunguliwa engine wala gear box.
Ina...
Nauza tv aina ya Moelectro kwa 290, 000/=tu, nipo Kigamboni Dar whatssap au piga 0655547822, haina tatizo lolote used 6 months, nimekwama that's why naiuza
Tunatengeneza na kuuza mashine za kuchoma chuma na kuchaji betri za magari. Mashine zetu ni imara na zina garantii ya muda mrefu. Tuna uzoefu wa kazi hii takriban miaka 20.
Bei zinaanzia 280,000...
Ninahitaji laptop yoyote nzima yenye uwezo wowote ilimradi inaingia net na inafanya kazi, sijali kuhusiana na chaji wala ubora bajeti yangu ni elfu hamsini (50000)
Sent using Jamii Forums mobile app
Nauza Samaki aina ya Sangara kilo shilingi 4200 kwa bei ya jumla wanaohitaji karibuni PM .nipo Dsm ....Maelewano yapo
Sent using Jamii Forums mobile app
Wadau msaada,
Nataka niezeke nyumba yangu ya yenye mtindo contemporary, changamoto niliyo nayo ni aina gani ya bati nitumie. Je, Nitumie bati migongo midogo ama migongo mipana?
Watu wengi sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.