Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Nyumba ya wapangaji inauzwa, ina wapangaji 5 ( 3 ni single rooms, 2 ni chumba na sebule) wote kwa pamoja wanalipa 450,000 kwa mwezi na kila mmoja ana Luku yake. Ina vyoo 4. Maji Dawasco na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
When we talk about powervu, we are talking about a technique used in encrypting certain channels. It is a CAS like dstv channels, canalplus channels, beinsports channels. Just like dstv channels...
0 Reactions
25 Replies
14K Views
Nyumba bora za ghorofani, zinavutia na za kisasa. Nyumba zipo eneo tulivu la mbezi juu, wapangaji wanne wa kwanza watapangishwa katika nyumba ambazo ukiwa sebuleni au katika varanda unatazama...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Anatakiwa fundi wa Inverter anaye weza kurekebisha Inverter yenye ukubwa wa 5KVA/48VDC. Aliyepo hapa Dar es Salaam awasiliane nami inbox.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Natafuta mayai ya kisasa kwa wakazi wa Dar au maeneo ya karibu na Dar, yawe hayajakaa muda mrefu na size iwe nzuri. Shamba nafata mwenyewe bei ya mfugaji sitaki wauzaji wa jumla, mfugaji awe na...
0 Reactions
0 Replies
934 Views
Heshima kwenu wana JF, Kwa heshima kubwa tunawakaribisha na kuwaarika wadau wa samaki kua tunapokea order na kutuma samaki wabichi waliogandishwa kutoka Mwanza aina ya Sato na sangara. Bei zetu...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Wadau salam! Katika pita pita yangu Jumia, nimeona mafriji ya bei nafuu ambayo sio ya kifamilia nimekuta mengi yake ni brand ya Boss! Hata muonekane wake, hususani yale ya double doors naona ni...
0 Reactions
27 Replies
5K Views
Tunatoa huduma ya kukodisha magari(Private) Aina ya kazi: 1.Tours 2.Harusi 3.Sendoff 4.Kusafirisha Misiba 5.Picnic N.K Location.Ubungo external Call us 0784/0753/0715/0622 955 900
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Sifa 1. Rangi ni gold 2. Namba za usajili ni T244 DPS 3. Ukubwa wa injini ni 1490cc 4. Idadi ya km ilizotembea ni 77,000 kms mpaka Sasa 5. Inamwaka mmoja tokea imenunuliwa 6. Inabima kubwa...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
BOSS LED 2019.. 32inch new kabisa imebaki moja tu..kwa bei sawa na bure 370k... Picha clean[emoji1491] Guarantee 2 years, screen protector + risiti. [emoji736]
0 Reactions
4 Replies
1K Views
USIMAMIZI WA RUTUBA YA UDONGO KATIKA KUONGEZA UZALISHAJI WA MAZAO Engineer Octavian Lasway Sehemu ya 01 Malengo ya makala hii kwa mkulima Kufahamu aina za udongo zilizopo na sifa zake...
2 Reactions
2 Replies
8K Views
Habari wakuu? Kama kichwa kinavyosema hapo juu. Kwa sh. Laki tatu tv flat screen 32 inaweza patikana dukani? Je ni kampuni gani hiyo kwa hicho kiwango cha pesa? Nitashukuru kwa michango yenu...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Dawa za nguvu zakiume. Kansa cd 4 za ukimwi..hepatitis b moyo ...ugumba uzazi.kubana uke..kuondia uchafu na maji ukeni..kurefusha nakunenepesha uume..kuzuia bawasiri.kukuza hips na makalio.congo...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari za muda huu wana JF. Nahitaji kujua bei ya viwanja Burka Estate na utaratibu wa kuvipata ukoje. Asanteni.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Update: Biashara haipo tena!! Wakuu habari! Nina plot yangu yenye maelezo yafuatayo naiuza.
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Brand new A5s STORAGE[emoji666]️32 GB CAMERA[emoji666]️13 MP + 2 MP BATTERY[emoji666]️4230 mAh DISPLAY[emoji666]️6.2" (15.75 cm) RAM[emoji666]️2 GB Bei. [emoji666]️400,000tsh Warranty miaka...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Salam wadau!! Ninahitaji kununua truck kwa ajili ya kubeba mizigo maeneo ya mjini na wilaya za karibu ambazo kwenda na kurudi haizidi 200kms. Mizigo ninayotarajia kubeba ni tani 4 mpaka 5...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Habari za majukumu wapendwa wana JF Nina Hekari 10 nazikodisha, eneo la Mkoa wa pwani, karibu na Kibiti, eneo ni zuri kwa kufanya shughuli za kilimo kwani rutuba yake ni nzuri kwa kustawisha...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Back
Top Bottom