Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Habari, viwanja kiluvya makurunge bado vipo, karibuni mujionee na kuweza kujipatia chako, vipo vya location tofauti tofauti. Location - Kiluvya kwa muhindi- bei ni milion tatu. Kiluvya majumba...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Wakuu habari zenu, nimepatwa na shida inayohitaji kupata pesa ya pamoja hivyo nimeamua kuuza bajaji yangu iliyopo Kigamboni jijini Dar es salaam. Bajaji ipo katika hali nzuri, ruksa kuja na fundi...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Shuky's Tender Solutions We are professional in preparation of Bidding (Tendaring) Documents for all your Business Tendering needs. We insure details and high accuracy for proper guarantee of your...
0 Reactions
1 Replies
470 Views
Bajaji inauzwa Tsh 3,500,000 TVS Location: ARUSHA Contact: 0745483004 Maelewano yapo
1 Reactions
1 Replies
934 Views
SamsungA20 specifications: -3 GB RAM -32 GB internal storage -4000 mAh battery -Dual (13MP 5MP) rear | 8MP selfie cameras -6.4 inches inch screen -Android v9.0 (Pie) OS -condition used few...
0 Reactions
2 Replies
922 Views
Wakuu salaam. Ninaunza gari yangu Toyota Harrier model ya mwaka 2001. Vvti injini, CC 2360, rangi yake silver. Gari nimeitumia kwa mwaka mmoja na wiki mbili sasa. Gari ni imara. Nimeitunza...
2 Reactions
16 Replies
4K Views
[emoji839]IPhone xs max GB64 Tsh 2,200,000 [emoji839]IPhone xs max GB256 Tsh 2,400,000 [emoji839]IPhone 11 GB64 Tsh 2,600,000 [emoji839]Iphone 11 GB256 Tsh 2,800,000 [emoji839]IPhone 11pro GB64...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Brand new electro master weighting scale (mzani wa kupima binadamu)...@ 55,000/= Tutafute; 0718 48 00 49,call sms or whatsap Free delivery, mikoani tunatuma na tunauza kwa bei ya jumla...
0 Reactions
0 Replies
700 Views
ELECTRO MASTER OVEN LITER WITH GRILL AND PLATES.... TUTAFUTE; 0718 48 00 49 call,sms or whatsap. 22 Litre 175,000/= 35 Litre. 225,000/= 45 Litre. 295,000/= 50 Litre 350,000/= 60 Litre. 385,000/=...
0 Reactions
0 Replies
707 Views
hallo Nahitaji Websites nzuri yenye mpangilio na mtiririko Mzuri Please call me immediately +255682916351, +255678389075 Urgently !!!
0 Reactions
1 Replies
508 Views
Vitz 5m Passo 4.5m Location: Sinza Meeda Mawasiliano/ Whatsapp: 0738 783 625 Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
906 Views
Inapatikana sinza meeda year: 2005 cc: 1290 mileage: 90s km rim kali price ;7.2 m Contact : 0765 494 548 Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
4 Replies
967 Views
Habari zenu ndugu zangu,nimemaliza degree ya procurement and supply,kutokana na ugumu wa ajira kua ngumu nimeamua kujiingiza katika biashara,ninachukua ubuyu zanzibar na kuuza hapa dar es salaam...
0 Reactions
6 Replies
10K Views
Moja kwa moja Deep freezer Kampuni ya Mo lenye ujazo wa lita 306 linauzwa. MDA WA KUTUMIKA: Limetumika kwa miezi miwili na nusu (hadi wakati huu ninavyoandika. CONDITION: liko vizuri sana...
1 Reactions
18 Replies
38K Views
Eneo kilipo: BUNJU B njia mwabepande umiliki: Kina hati( full titled) ukubwa: Sqm 1600 (53 kwa 30) bei: 35m (maongezi kidogo yapo) hakuna longolongo mawasiliano: kawaida : 0765 494 548 wasap...
0 Reactions
0 Replies
950 Views
1. Shamba la miti ya cypress lipo; Mkoa: Geita Wilaya: Geita Kata: Bukondo Kijiji: Lulama Ukubwa: hekari 4 yenye miti ya miaka mitano Bei:Tsh. 18,000,000/= Eneo lote la shamba linafaa pia kwa...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
As Salaam alaykum Ninatafuta patner kwenye Kilimo kuwekeza na kufanya kazi nami Tanga. Tutafikiri pamoja mazao gani yatalipa. Na eneo ya kuuza. Baadae tutafuta shamba na wafanyakazi husika. Kwa...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
+Vyumba vinne (viwili master) + Plot sqm 500+ + Ilazo Dodoma +Bei 55M (negotiable) + If you're interested karibu DM Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wadau,anayefahamu duka au mtu anae uza disposable glass with lid,dome shaped lid kwa hapa Dar es salaam,pamoja na price yake wholesale price. Naomba anisaidie Natanguliza shukran....
0 Reactions
18 Replies
5K Views
Habari wana JF, Natafuta mbwa wa kununua, aina ya ROTTWEILER au DOBBERMAN mwenye umri wa miezi 10 hadi mwaka mmoja na miezi mitatu. Awe na card yake inayoonyesha amechomwa chanjo. Kwa...
0 Reactions
27 Replies
5K Views
Back
Top Bottom