Details
Price: negotiable Yes
Condition: Used Abroad
Current location: In Tanzania
Import duty paid: Yes
Transmission: Automatic
Descriptions
Toyota IST unregistered or chassis number for sale...
Nyumba inauzwa eneo la Luguruni, ni maeneo ya karibu na majengo mapya ya manispaa mpya ya ubungo Sasa opposite, Vyumba vya kulala vinne
Ukubwa wa eneo ni robo ekari
Nyumba ni mpyampya
Pazuri Sana...
Wakuu habariniii,
Kama mada inavyojielezaa nahitaji Mbuzi wa maziwa kwa wale wauzaji na wakazi wa mkoa wa Mara ,Naomba tujulishane. Kama upo sehemu yoyote au mikoa jirani.
Msaada tafadhali...
Habarini,
Nimehamia hapa Dodoma natafuta sehemu gani ambayo ninaweza kununua fenicha za ndani nzuri yaani namaanisha quality kwa hapa Dodoma.
Vilevile duka gani wanauza vyombo vya ndani kama...
Husika na mada tajwa , ninauza ukwaju kwa bei ya 1000 kwa kilo,inaweza pungua, utauchukulia shinyanga mjini, kwa wale wa zanzibar,dar au popote tujuzane, pande za azam bei iko vipi? msimu tayari...
Habari waku,
Bila kupoteza muda wala kupepesa macho, let's get down to business.
Radio ni Technics
Inataka 280,000 tu..kujitetea kidogo ruksa.
Laptop
Hp elitebook 8460p
HDD 500GB
RAM 4GB...
FAMILIA YA JITAMBUE FAJI
SEMINA ZA ELIMU YA UTAMBUZI
Familia ya Jitambue (FAJI) ni Umoja wa Wananchi wa Tanzania wanaojishughulisha na maarifa ya utambuzi. FAJI ni Taasisi iliyosajiliwa...
Karibu tunauza video games kwa ps na pc games na mabasi yana mwonekano wa mabasi ya Tanzania tunakuletea popote ulipo Dar es salaam na mikoani tunatuma pia tuchek
WhatsApp
0621610096
Bei ni...
GX INVESTMENT ni kampuni inayouza Bajaji za Tvs King na Haujue kwa bei rahisi sana Tanzania. bajaji za tvs matumizi yake ni kidogo mafuta tripu nyingi kwa siku,lita moja kwa kilometa 30 imara na...
1. Tunaunda inverter za aina zote.
2. Tunaboresha mifumo ya inverter zilizo tengenezwa tayari.
3. Tunaweka mifumo ya inveter charger,ili iwe inajichaji pale umeme unapo kuwepo,kama haina mfumo...
Urembo wa kisasa wa kupendezesha nyumba yako kwa bei nafuu hata kama nyumba yako imechakaaa wasiliana n fundi Watssap# 0759 327432 or PM Call 0756 017036.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mahitaji ya malori used aina ya Fuso na Canter kutoka Japan karibuni sana.
Tuna
Tipper trucks
Cargo trucks
Tandam
Water Bowser
Vacuum truck
Crane trucks na
Freezer van
Kwa maelezo zaidi piga...
Nauza asali mbichi napatika Dar es salaam eneo la Buguruni Sheri.
Bei yake ni
Robo lita 3000
Nusu lita 6000
Lita moja 12000
Lita 5. 55000
Lita 20. 200000
No 0746696878
Jifunze au Andaa Tender Documents zenye kukubalika serikalini
Bajeti ya Tanzania ni zaidi ya trilioni 22. Na mwaka kesho inaweza kupaa hadi trilioni 30 au zaidi.Fedha nyingi kati ya hizi hutumika...
Za muda huu waungwana.
Mimi natafuta chumba cha kupanga single kwa maeneo ya Dar
Najua Dar ni kubwa. Popote panapopatikana sawa, nitaangalia sehemu ya kwenda
Kiwe na Cements, kuhusu umeme sio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.