Nauza banda la biashara lipo katika hali nzuri na rahisi kuamishika.
Banda linapatikana Maeneo ya Ubungo maziwa karibu na stendi ya mkoa wa Dar es Salaam au kituo cha mabasi yaendayo haraka kwa...
Nauza Rice cooker aina za GB KING kubwa....
Bei:Tsh65000
Feni aina za USHA (panga boi)
Bei:Tsh70000
Pasi za umeme aina za Philips
Bei:Tsh40000
Mahali: Dar es salaam
Kwa Dar es salaam nakuletea...
Ndugu wadau, tunahitaji kukodi Eicher au Canter tani 3.5 kusambaza soda za chupa plastic Dar na Pwani, malipo kwa siku 60,000/= mafuta juu yetu. Mawasiliano +255653549560
Sent from my DUB-LX2...
Nauza account ya Adsense ambayo ni non-hosted kwa bei poa sana. Nicheki kwa namba 0756888069 au 0718268014.
Bei ni 80,000/= ukitaka na website nakuachia kwa maelewano ili ujiamini zaidi.
Site yake...
Kwa watumiaji wakubwa wa internet au wale wenye hotel, Mabasi makubwa au maeneo yenye watu wengi
300MBS
Dukani 200k mi nakuuzia 120k nakupa na moderm ya voda (sipunguzi bei)
Popote unatumiwa ...
Used for 18 month.
Haina technical problem yeyote,unaeza kuja na fundi.
Hatukuuzii barabarani unaletwa mpaka location usumbufu ukitokea unarudisha.
SPECIFICATION ANGALIA CHINI KWENYE PICHA...
Husika kichwa cha habari hapo juu nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa kwa Kodi ya shilingi 250,000 kwa mwezi.
Public toilet, siting room kubwa, master bedroom 2 kitchen kubwa.
Pamoja na colidol...
Nyumba nzuri na zina mvuto na mwonekano mzuri wa kupendeza zikiwa na vyumba viwli vya kulala, jiko, sebule na mahala pa kula.
Kodi TZS 750,000 kwa mwezi.
Kuziona piga simu au whatsapp...
Je ni zawadi ipi bora kuliko kuilinda familia yako msimu huu wa sikukuu?
Nunua Dispensers 3 za Sabuni na Sanitizers kwa Jumla ya Tsh. 120,000 90,000/= Upatiwe na First Aid Kit iliyojazwa vitu...
TANZANIA WOMEN IN BUSINESS (TWB) Inakuletea mafunzo ya kutengeneza Appetizer na pilipili kwa vitendo na theory.
* Utapata receipts za bidhaa hizo zote za pilipili ya EMBE,ukwaju, na mbilimbi na...
-Nauza nyumba yangu, ambayo bado sijaezeka (boma limeshafika kwenye lenta), ina vyumba viwili (kimoja ni master), pamoja na sebule,
-Nyumba (Boma) Ipo barabarani kabisa, ni umbali wa kilomita 1...
Habari zenu wakuu.
Uchumi wa kipindi hiki naona unabana, kutegemea chanzo kimoja cha mapato unakuwa mtihani mkubwa sana na umri unaenda kasi. Nataka nifanye uwekezaji kwenye ufugaji na kilimo...
kwa wale wote wanaotafuta
1.viwanja vya aina zote
2.magari,pikipiki,bajaji
3.nyumba za kupanga
4.nyumba za kununua
5.nafasi za maofisi
6.Fremu
naomba nifollow instagram kwa jina magaridodoma na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.