Dear wanajamvi, natafuta nafasi kwenye haya majengo makubwa/marefu nafasi ndogo tu kwaajili ya ofc ndogo tu, nataka approx to 20 qsm metres au chini ya hapo,iwe along sam nujoma, from mwenge to...
Wadau,
Heshima kwenu.
Natafuta jengo zuri Kwa ajili ya kuweka office ya kampuni inayojihusisha na mambo ya usafirishaji.
Maeneo yoyote ya Kinondoni ama mjini Kati yanayofikika Kwa urahisi na...
Njoo Mwenge sokoni nyuma ya hotel ya jamilex ambapo kuna benk ya ECO BENK na AZANIA BENK utaona bango pita njia tokea barabara ya nyuma utaona jengo la gorofa moja juu kuna utaona bango la SUMSANG...
Habari wanajukwaa.
Tunatoa huduma inayorahisisha zoezi la upigaji picha na kuzichakata km inavyohitajika kwa ghrama nafuu popote ulipo.
Gharama
Picha moja utachangia sh. 100 tu
Kazi...
Ni mabingwa wa kutengeneza simu za aina zote, iwe software /hardware zote tuna deal nazo.
Tunapatika Kariakooo mitaa ya Lindi na shauri Moyo stand ya Mwendo kasi GEREZANI.
Kwa huduma bora na...
wakuu, nauza water dispenser ndogo,
ni nzima kabisa haina tatizo lolote
BEI: laki mbili tu
LOCATION: Moshi Mjini
SIMU: 062 472 9398
Sent from my iPhone using JamiiForums
Wadau wa JF nawasalimu,
Nimevunja kioo cha PC yangu aina ya Mac ya mwaka 2012. Nimeambatanisha picha ambayo inaweza kusaidia specifications zake. Kama unayo wasiliana nami kwa namba 0622 328 549...
Habari zenu wakuu, natafuta chumba na sebule choo ndani maeneo ya kawe had msasani au maeneo ya karibu na hayo, bajeti yangu ni tsh 100,000/=namba yangu ni 0686591570. Natanguliza shukrani
Vitu Used (ila kwa hali nzuri karibia na upya) vinauzwa!!!!!
Mahali: Shinyanga Mjini
Sababu ya kuuza: Nahama Mkoa
1/Dressing table (inahitaji kioo, rangi na vitasa)-mbao
2/Pasi ya umeme...
Kwa utafiti mdogo niliofanya kuhusu mwenendo wa biashara katika soko la kariakoo nimeona kuna fursa ambazo zinaweza kusisimua zaidi biashara na kuwezesha kukuza mauzo ya wamiliki wa maduka ya nguo...
OFFER kabambe kutoka D-TECS Group! Chagua huduma unayohitaji kati ya zifuatazo tukufanyie kazi nzuri na TUKUPE ZAWADI kutoka restaurant ya kisasa ya mihogo inayobamba hapa town ya NEYSCASSAVA...
Karibu Karibu Karibu
Karibu upate Viwanja eneo la Vikawe.
Eneo: Vikawe (Baobab Shule)
Umbali: Km 3 kutoka Bagamoyo road
Bei: 13000 kwa mita mraba
Umeme na maji vimefika eneo la mradi...
Habarini wapendwa naitwa fadhila Dadi napatikana Masasi mjini nina Tani 18 za njugu mawe natafuta mteja wa Nafaka hizo bei ni maelewano lakini bei elekezi ni 2000Tsh Kwa muhihitaji anione kupitia...
Habari yako mwana jamii.
Naiuza camera aina ya 7d Plain pamoja na lens standard ya 18-55 mm kwa Tsh 1,200,000.
Camera bado ni mpya sana, tangu inunuliwe dukani imefanya kazi mara mbili tu na ina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.