Property Investors Company inakuletea viwanja Karibu na fukwe ya Bahari ya Hindi
Eneo: Kigamboni (Gezaulole)
Fukwe: Bamba beach
Bei: 32000 kwa mita mraba (squaremeter)
Umbali: 3 km kutoka...
Kama umepata shida yoyote kwenye gari yako usiangaike wasiliana nasi kwa msaada wa haraka.
Tunapatikana Tabata Magengeni
Mawasiliano
0693536083
0716505153
Sent using Jamii Forums mobile app
AS-SALAAM ALAYKUM MARAFIKI ZANGU HAMJAMBO?
Mimi ninauza vikapu vya kwendea Sokoni jamani kwa mtu mwenye kuvitaka kila kikapu shilingi Elfu 60 za Tanzania.
Kama kuna mtu anahitaji hivyo Vikapu...
Inahitajika feni iwe na upepo wa kitosha na nzuri, nipo Dar.
Budget yangu ni 20k yaani 20,000.
Uwe Dar
Nicheki pm
Asanteni
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Hello habari zenu poleni na mihangaiko ya hapa na pale.
Ngoja niende kwenye mada moja kwa moja kwa anaefahamu wapi hapa dar naweza pata CPU cooler ya kawaida tu naomba anipe mwongozo.
Socket...
Natafuta matank ambayo hutumika kuifadhia mafuta kama petrol , diesel au mafuta ya taa. Unaweza kuwa nayo wewe, rafiki yako, jirani au sehemu yoyote unayojua naomba uniunganishe, yanaweza kuwa...
Kutokana na hali kuwa ngumu, nauza meza yangu ya Glass, inafaa kuwekea Tv flat hadi Inchi 60. Imetumika miezi mi4, Kioo chake ni kigumu na bei ni 140,000/=.
Gari inapatikana Dar
Gari nzuri sana imetunzwa mno
Bei million 30
mazungumzo yapo
Namba ya simu piga au
text whatsapp
0719909691
0763166893
0787107395
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyumba ya vyumba 3 na sebule ilijengwa kwa tofali za kuchoma . Imekamilika ukamilifu wa kawaida, ina eneo la kuweza kujenga vyumba 6+. Ipo Dodoma-Hombolo (karibu na chuo cha serikali za mitaa...
Pata kiwanja chenye ukubwa 40 kwa 50 kwa bei ya milion 5 kinafaa kwa project kubwa kiwanja kipo Mbagala kongowe mlamleni. Mazungumzo yapo.
Kiwanja kipo mbezi malamba ( mzalendo) kina ukubwa 15...
Habari wana JF!Nina apartment nazipangisha zipo full mpaka AC ndani na ulinzi wa kutosha pamoja na parking kubwa bei zinaanzia 600,000/= kwa mwezi ,kuna mpaka za 3M kwa mwezi.
Kama upo interested...
Specification;
Touch with high sensitivity
Battery hudumu Kwa masaa kumi Na mbili ikiwa na data on
Muonekano ni kama Samsung S7 edge
Haina tatizo lolote Kwa anaeitaji anicheki Kwa namba 0755979943...
Breed: Maltese
Bei/price: 300,000
Vaccine:Yes [emoji818]
Age: 2 months
Location: Dar es salaam
Contacts: call/whatsup 0719708708
Sent using Jamii Forums mobile app
Bado kipya
Ni kile cha Dish ambacho kifurushi kikiisha zinabaki free chanel kipya pale Startimes wanauza 136,000.
Mimi nauza 98,000.
0678096545
Sent using Jamii Forums mobile app
gage30 sh. 20,000 kwa pc
gage28 sh. 26, 500 kwa pc
gage 32 sh. 15,500 kwa pc
VESSAL sh. 10,500 kwa mita
LUGOBA sh. 10,500 kwa mita
misumari(rangi) sh. 9,000 kwa kilo
kofia sh. 10,000 (futi 10)...
Tunauza vitabu, na Daftari Jumla na rejareja
Primary e. g M.E.P, Bantu, Kyando bp., Adamson. Oxford etc
Secondary e. g TIE, Oxford, Fundamentals, NNP(nyambari), CSBM(msemwa) ATLAS, BURNET...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.