Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Habari za wakti huu. Hii ni very urgent.Kama wewe ni Dalali uliyepo Morogoro Mjini au zaidi Maeneo ya Kihonda basi tuwasiliane PM nikupe Biashara unifanyie Chap. Ni biashara ya kuuza eneo la...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kichwa cha habari chajieleza, niko Dodoma mjini natafuta pikipiki used iwe boxer au Tvs Budget yangu milioni moja cash. Ikiwa uko hapa Dom au mikoa ya jirani itapendeza. Uzi tayari. Sent using...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Heshima kwenu wakuu, Natafuta frem ya biashara maeneo ya Ubungo au Tabata. Bei isizidi elfu 50. Mwenye kuwa nayo tafadhali anijuze.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari za kazi wakuu, Natafuta Butcher ya kukodi jijini Dar es Saalam, kwa yeyote anaeweza kunisaidia kwa namna moja au nyingine namkaribisha tafadhari. Butcha inaweza kuwa mtaa wowote, naona...
0 Reactions
4 Replies
976 Views
Kuna mtu alipost tangazo kuwa ana nyumba mbili Chanika na moja banana ilikuwa kama week mbili nyuma. Nahitaji namba yako nimetafuta thread sijaipata.
0 Reactions
1 Replies
937 Views
Engine motor zilizotumika kidogo zinauzwa. Ya petrol na diesel. 6.5HP @ 3500 rpm na tank la lita 3.5 zipo Dar. Tsh 250,000 each Zimetengenezwa na kampuni ya kimarekani Briggs & Stratton. Ni...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu habari, Nilikua nahitaji nyumba ya kupanga maeneo ya Africana, makongo au kigamboni vigezo:) iwe self contained yani chumba kimoja na choo ndani kwa ndani ii) pasiwe na msongamano wa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari za muda huu wadau, nahitaji viti vya plastic 10 na meza za plastic 3 kwa mwezi mmoja, location MWANZA 0783761235. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wakuu!! Naitwa Enock, napatikana Mbezi, Dar Es Salaam, Tanzania. Mimi ni fundi wa kutengeneza na kukarabati sofa. Bei za sofa: Love seat 200,000/= - 250,000/= kulingana na kitambaa Set ya...
1 Reactions
7 Replies
7K Views
Nauza Redmi 8 Sapphire Blue. Brand New Sealed and straight From Xiaomi Global Version (Ina full google apps pamoja na google playstore + ni multilanguage) ROM ni 64GB RAM 4GB Line mbili na...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Brand: Dell Condition: used for 1 yr. RAM: 8gb Memory:1tb core i 5 7th gen Intel graphics 4gb & radeon graphics 4gb price 890,000 (negotiable) This pc is sutitable for games and graphics...
0 Reactions
0 Replies
690 Views
BEI YAKE NI 20000 TU Kuna: Chupa ya Chai Hotpot Sahani 2 Majagi 2 Bakuli 2 Kopo dogo Glasi 1 Kwa kifupi vyote unavyoviona hapo 20000 tu. Vipo Mbagala Zakiem Piga simu: 0623717049 Sent using...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Hey, Hey, nahitaji accssories Memory card 4gb Flash 8-10 GBBei ya jumla
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Shamba linahitajika Ikwiriri au kibiti Ekari 100 kwaajili ya kilimo cha kunde. Njoo na ofa yako Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
550 Views
Nyumba ya vyumba 3 na sebule ilijengwa kwa tofali za kuchoma. Imekamilika ukamilifu wa kawaida, ina eneo la kuweza kujenga vyumba 6+. Ipo Dodoma-Hombolo (karibu na Chuo cha Serikali za Mitaa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kwa mahitaji ya umeme wa upepo kwa matumizi ya nyumbani,mashambani na viwandani gharama ni kama ifuatavyo Watt 100 700,000/- Watt 200 1,300,000/- Watt 300 1,600,000/- Watt 500 2,000,000/- Watt...
2 Reactions
43 Replies
5K Views
Hiki ni kitabu kizuri Sana kinauzwa elf 10000 tu
0 Reactions
5 Replies
8K Views
Ndugu zangu kwa wadau wote wenye shida ya matengezo ya Bomba majumbani na maofisini, Mifumo mipya na kurekebisha Mifumo ya Zamani Nipigie simu nikuhudumie kwa Sasa nipo daresalam, ila kokote...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Kuelekea kusherehekea siku ya wapendanao Februari 14, kampuni ya simu za mkononi TECNO, imeandaa mambo makubwa ambayo yatatimiza ndoto za wateja wake wengi watakaonunua simu za TECNO SPARK4, CAMON...
1 Reactions
36 Replies
4K Views
Back
Top Bottom