Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Mahali: Madale Mwisho (Kwa mzungu) Ukubwa: 20 * 30 (Sqm 600) Bei: 7,500,000. Status: Kimepimwa na kina hati, Umbali wa kilometer moja toka Madale Stand. NB: Malipo ya awamu mbili kwa kuanza na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu nauza maharage Yale ya njano pamoja na soya. Bei ya jumla ni 2200 per kg. Nina zaidi ya gunia 10 za kilo mia mia. Nimepata dharura ya kiuchumi naomba MTU anayeweza kununua kwa bei ya...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari za muda huu wana Jf, Napenda kutumia jukwaa hili kuwaletea habari njema kuhusu simu za Vivo Ile kampuni maarufu duniani ya utengenezaji wa simu bora kabisa kwa technologia ya hali ya juu...
3 Reactions
95 Replies
12K Views
Make: Land Rover Model: Range Rover Year of manufactures: 2003 Engine capacity: 2926 Engine type : TD6 Milleage: 115,000kms Automatic & Manual Fuel: Diesel Colour: Green No accident record No...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Make : Toyota Model : Land Cruiser Prado TX Diamond Engine Model : 3RZ Capacity : 2690cc Fuel : Petrol Location : Kawe Price : 45M Call : 0717436363 Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
757 Views
Make : Toyota Model : IST Year : 2003 Engine Model : vvti Capacity : 1290cc Location : Sinza Full AC Full Documents Price : 7.6M Call : 0717436363 Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
795 Views
Habari mwana Jf ! Tafadhari husika na kichwa cha Habari hapo juu. Kama Wewe ni Mwana Blog Au website Na unahitaji Kutengeneza App yako itakayobeba Kazi zako Basi uzi huu unakuhusu...
0 Reactions
31 Replies
8K Views
Habari wazee, kuna majiko fulani yalikua maarufu sana miaka ya 2008 mwenyewe nilishawahi tumia home,nimejaribu kutafuta sahivi nimekosa, kwa mwenye kujua wapi naweza pata kwa Dar naomba anijulishe...
1 Reactions
31 Replies
8K Views
Natafuta hiyo gari aina ya Toyota Harrier new model namba kuanzia DJ. Mwenye nayo au kama unayo taarifa naomba tusaidiane. Nataka ya kununua bajeti yangu Milioni 16-17.5 itategemeana na ubora wa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Za wakati huu wana JamiiForums, Maisha yapo tofauti wakati mwingine na wakati mwingine huna. Hata Kimara sawa tu ila tu kisiwe mbali na kituo cha bus. Cha muhimu kuwe na magari yanayopita...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu, habari za muda huu? Tunapokea oda za kushona sare za shule kwa gharama nafuu sana. SHULE ZA AWALI: Kaptura 1 - 3500 Shati 1 - 3500 Sketi 1 - 3500 Gauni 1 - 4000 Kaptura za michezo 1 -...
2 Reactions
5 Replies
4K Views
Nahitaj frame au eneo maeneo ya Dar, kwa ajili ya biashara ya chakula Kariakoo, Mbagala, Mombasa,Gongo la Mboto, Mwenge na kwingine kwenye interactions zaidi. Natanguliza shukrani.
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Shamba heka 22 naziuza zipo km 8 kutoka barabarani iendayo mtwara na km 100 kutoka mbagala , lipo Mkuranga kijiji cha miteza , Shamba halijawahi kulimwa. Maji yapo karibu. Lina hati ya kijiji...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Hallow wapendwa, Sorry naomba kuuluzia kama yoyote anayewafahamu Mawakala wa kiwanda cha rangi kinachoitwa plascon. Naomba mnijuze wapendwa Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Brand : Subaru 2008 Model : Legacy Gt Version : Turbo Engine Power : 150 kW (200 PS - 197 hp) Cylinders : 4 cylinders (Flat configuration) Volume : 1994 cm3 Fuel supply system : 16 valves Turbo...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Friji hii imetumika kidogo sana Bei ni 280,000/= Ipo Mbagala, Dar es salaam Nipigie: 0784112347 Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Za wakati huu wanajamii forum Maisha yapo tofauti wakati mwingine na wakati mwingine huna. Naombeni anayefahamu chumba kinapangishwa maeneo hayo ya M Cityity, Savei, Mwenge, Ubungo, Sinza...
1 Reactions
20 Replies
4K Views
Samahan ndugu naomba kuuliza kiwanda cha madumu ya plastic kama litter 3 ,5 na 10 kama mnafaham kilipo plz me nipo Arusha
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Nauliza vyuma vya kutengenezea jukwaa kuweka wakati wa kupiga plaster. Navipata wapi na Sh ngapi. Mfano kama huu chini:
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Iwe maeneo ya kariakoo, ilala au mnazi mmoja 2BEDROOMS, SITINGROOM,TOILET NA KITCHEN BEI LAKI2.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom