Kama kichwa kinavyoeleza,
Mimi ni mjasiriamali mdogo, Nataka kuanzisha biashara hvyo nahitaj friji la mtumba {mtumba wa nje ndiyo bora zaidi} kwa ajili ya kufanya biashara.
Lisiwe limechonolewa...
Kwa wanaohitaji huduma ya Kuprint
-T-shirt
-Bussiness cards,
-Bronchure
-Delivery books
-Orderbook
-Mifuko
Kwa Haraka pia Tunafanya Graphics Designing
Tuwasiliane kwa number 0688121308
Ofisi...
Je unajenga au unahitaji kuweka aluminium kwenye yako.
Tunatengeneza na kufunga aluminium kwa bei nafuu.
Unaweza kutuita tukakupigia gharama za vifaa ukanunua vifaa tukakutengenezea hapo hapo site...
Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia inatangaza nafasi za kujiunga katika Vyuo vya Maendeleo ya Wananchi (FDC) kwa mwaka 2020.
Sifa za Mwombaji ni mwananchi yeyote mwenye nia ya kupata ujuzi na...
Nahitaji its old model au Nissan March mwaka 2003+,Cc 990 au 1290, namba iwe kuanzia D, offer yangu ni milioni 5.0 hadi 5.3 Tsh. Muuzaji awe mmilili asiwe Dalali.
Contact 0744 735852
Nimevutiwa na aina hii ya bajaji inaitwa maxima Z kwamba inaweza beba abiria mpaka sita
Nataka kujua zinapatikana wapi ,na je ubora wake ukoje pamoja na bei zake.
Sent using Jamii Forums...
Ikiwa unatafuta fomu safi za pdf za kielectronic (e-forms) ambazo unaweza kujaza na zinazoweza kuhaririwa ili kukidhi mahitaji yako mengi, ni wakati sahihi sasa kujipatia. Kufanya fomu ya...
Motor nyingi za visima vya maji zimekuwa zikifanya kazi chini ya kiwango chake kutokana na kupokea umeme mdogo kutoka katika mfumo wa umeme.
Kwa asilimia kubwa visima vingi hasa virefu...
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mjini NALA BP. Karbu na chuo kabisa.
Ni Kiwanja cha Makazi kina ukubwa wa 569 Square mita. Huduma zote zipo maji na umeme. Kipo Barabarani. Kimepimwa na HATI. BEI 5.5M...
Kitabu cha bs kwa ajili ya advance level biology kinahitajika kwa bei nafuu kiwe used aw kipyaa nipo Dar es Saalam.
Mwenye nacho tuwasiliane kwa namba 0656-548919
Ni matumain yangu mu-wazima wa afya!
Natarajia kuvuna viazi mviringo mwanzo wa mwezi March, yeyote ajuaye soko zuri au kusaidia kupata taarifa ya soko zuri anisaidie/tuwasiliane.
Nimelimia njombe...
Wadau,
Nawasalim...
Leo naomba tuongelee madirisha.
New trend in Europe ni utumiaji wa madirisha ya plastic a.k.a plastic windows or PVC windows. Katika nchi hizi madirisha haya yana manufaa...
Heshima kwenu wakuu,kama heading inavyojieleza hapo juu, tunachora ramani za nyumba za kisasa za aina zote,na pia tunatoa ushauri juu ya ujenzi bora kwa gharama nafuu. kwa mawasiliano piga...
Anayehitaji chumba cha kupanga maeneo ya Tegeta Kibo Complex kwa nyuma anicheki
Kuna chumba kikubwa Kiko ghorofani, kina:
Gypsum
Ceiling fan (Panasonic)
Tiles
Dirisha la aluminium
Choo kiko Cha...
Habari Kiringeni.
Mimi ni mkulima wa mazao na mifugo tofauti tofauti. Nina mpango msimu huu kuanzisha kilimo cha migomba katika eneo la ekari 2.5. Nahitaji kufanya kilimo hiki kisasa (4th...
Kichwa cha uzi kiko wazi!
Nimepata teteleko la kimaisha upande wa uchumi. Naombeni mnitajie Nyumba za kulala wageni kwa pesa kiasi cha shilingi elfu nne au chini ya hapo kwa hapa Dar!
Asanteni...
Kufuatia kuwepo kwa corona china...hata utoaji wa bidhaa umefifia..
Ni soko gani linafanya kazi nje ya china lenye bidhaa za kueleweka?
NB masoko ya E.A siyataki
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.