Naomba ushauri kwa wanajamvi wazoefu kwenye vifaa vya muziki
Nahitaji home theatre music system. Je, ni aina gani nzuri?
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari wanaharakati wenzangu natafuta mtu amabaye ana experience katika masuala ya chakula tufanye kazi pamoja vifaa vyote vipo vya chips, chakula na machine ya juice ya miwa kama upo interested...
Now available at Dar es salaam.
Gadget za kufukuza inzi,mende, panya, sisimizi, nyoka,mijusi, buibui n.k ndani ya nyumba yako. Haitumii kemikali. Check video hindi inavyofanya kazi hapa
Place...
Nina 8 millioni.
Nahitaji Toyota IST
Cc 1290
Namba kuanzia DK na kuendelea
Hali nzuri ya gari...isiwe na mashida shida.
Sihitaji habari za dalali
Majina ya kadi ya gari yafanane na majina ya...
Drive in Lodge iliyo maeneo ya msata pembezoni kidogo mwa barabara ya Bagamoyo inawakaribisha wasafiri wote mnaolekea tanga,Moshi na Arusha hata chalinze na bagamoyo kwa misosi mitamu itayokupa...
Habari Jf,
Mwenye sehemu au taarifa za sehemu ambayo unahitaji mtu kufanya biashara ya chipsi au mgahawa naomba anipm kwani nahitaji sehemu ya biashara
Eneo ni Dar es salaam hususani kuanzia...
Wakuu habari zenu,
Napenda kuwajulisha kuwa shamba lenye ukubwa wa ekari 20 linauzwa hapa manyoni likiwa na miche yake ya korosho lina jumla ya miche 900 na zaid na tayari lina uzao wa kwanza...
Price: TZS 13,000,000
Toyota VOLTZ - DLP
Facilities and specifications
- Km 119,000-Imported with 109,000 KMs (Rarely driven in Tanzania)
-New tyres installed Nov 2019
-music system
-Smart...
Wana JF naomba kujua sehem ambayo naweza pata mteja wa asali kwa hapa dar es salaam awe ni individual au ni company. Nataka kuleta asali kutoka mikoani na kuiuza hapa Dar, ningependa kwa yoyote...
Habari wana Jf!
Kuna wazee wamenifuata nyumbani kuomba ushauri kuhusu swala lao linalohusiana na ardhi ambayo walimuuzia mtu ambaye inasemekana ni mwekezaji miaka saba iliyopita.
Wazee hawa wako...
Ndugu wanagroup poleni na majukumu,
kwa mtu yeyote alioko Mkoa wa Arusha na unaitaji uduma ya kuangulisha mayai karibu sana tumeanza rasmi mwezi huu wa pili.
Kwa mahitaji ya vifaranga pia...
Zamani kwa Tsh. 500 nilikuwa napata 70MB. Lakini sasa leo nimeamka nimekuta haya maajabu kwenye menu ya Tigo
Tsh 500: 300MB
Tsh 1000: 750MB
Tsh 2000: 3GB
Tafadhali sana Tigo, hata kama kuna...
Nauza laini yangu ya uwakala ya tigopesa imeshasajiliwa kwa finger print yangu.Laini iko sawa na inarudisha kamisheni vizuri.Aliye serious anicheki 0714-796778 au whatsapp 0628-615685, bei ni sh...
BMW mpya haijatumika sana,nyaraka halali za umiliki zote zipo.
AINA YA GARI:BMW 116i
LOCATION; Dar es salaam
REG NO; T 676 DME
cc:1590, 4 cylinder
Mwaka:2006
BEI;23.5million
MAWASILIANO...
Natengeneza na kuuza bracelet za Uru kwa bei rafiki ya shs. 125,000 tu. Utawekewa jiwe (gemstone) lolote unalotaka na uzi wa rangi ya chaguo lako.
Vaa bracelet ya kijanja na muonekano maridadi...
USISAHAU MAMBO HAYA.
MWANDISHI. Robert Heriel.
HATIMILIKI@2019
TAIKON PUBLISHER.
Maandishi ya Robert Heriel Kwa Lugha ya Kiswahili.
UTANGULIZI
Kitabu hiki ni zawadi kwa watu wote. Kitabu hiki ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.