Wakuu habari,
Kwa mwenye kuhitaji tv tajwa hapo juu Tv ni smart 4K brand LG 49" naiuza mambo yango hayo sawa nataka kusawazisha mambo hivo naamua kuiuza
Bei ni laki 9 na nusu(950,000) mzigo upo...
Nipo naanza ujenzi, nataka kutumia formwork za kukodisha ila msaada wa kujua bei zake kabla sijawafuata wahusika ili nisipigwe. Na anayejua wakodishaji.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jenga nyumba yako is a product design to help people of all income level to acquire loan to build house of their dream starting from 29 milions,with repayment period of up to 20 years
Tuwasiliane...
Piki piki used Inauzwa
Aina: Hero Dawn, cc 100
Mzalishaji: India
Bei: Tsh 1,200,000
Mahali: Dar es Salaam
Inatembea na iko katika hali nzuri, Ilikuwa ikitumika kuendea kazini na kurudi na Haina...
Make : Toyota
Model : RACTIS
Year : 2006
Engine Model : vvti
Push to start
Capacity : 1290cc
Location : kijitonyama
Full AC
Full Documents
Price : 9.7M
Call : 0717436363
Sent using Jamii...
wana JF naitw john napatikana Kibaha pwani nauza Mapapai ya kisasa makubwa kwa madogo karibuni sana kwa mawasiliano 0686301689 pamoja sana bei za shamba
Kwa wale Wafanyabiashara wakubwa, wakati na wadogo tunayofuraha kuwatangazia upatikanaji wa dagaa safi kutoka Mwanza.
Sifa za dagaa ni
Wasafi hawana mchanga
Siyo wachachu kama uliyowazoea...
Gari ipo Japan na inachukua siku 30 kufika pindi unapo agizia na hiyo gharma ni GHARAMA KAMILI PAKA GARI LINAKUFIKIA MKONONI IKIWA NA KILA KITU KASORO BIMA na pia hamna gharama zozote zitakazo...
Jenga Nyumba Nzuri kwa Ramani Za Kisasa ,Jipatie Ramani za nyumba za Kuishi Na Ofisi Kwa Bei Nafuu
CONTACT:+255 718295182
""""""""""""""""""""""""
Tunapokea na kutangaza bure matangazo ya...
TUNAKUFATA, KUFANYA KAZI POPOTE ULIPO, MBELE YA MACHO YAKO*
Bei tumeshusha Kwa 30%
TUNABADILISHA VIOO ORIGINAL VYA IPHONE ZA AINA ZOTE
KWA GHARAMA NAFUU KWA KUTUMIA MITAMBO MAALUM TOKA BELGIUM...
Karibuni kwa wale wote wanaohitaji printing services kwa haraka zaidi
Tunaprint bussiness cards,invoice books,Delivery note,Orderbook,Vipeperushi,Vitabu,Stickers nk.
Tupo mikocheni kwa Mwalimu na...
Mpya linauzwa 480,000/=
Nimelitumia miezi 5
Nakuuzia kwa 300,000/=
Maongezi yanaruhusiwa
Pia kitanda 6×5 tsh 150,000/=
Sofa la watu watatu..90,000/=
Lengo la kuuza ni kutokana na kwamba nahama...
Habar wana JF, kama kichwa cha tangazo kinavyojieleza, ninahitaji pikipiki kwa ajili ya matumizi binafsi na biashara pia.....iwe na masharti na vgezo vifuatavyo:
(1) iwe imetumika ndani ya mwaka...
Wana JF,
Kwenye viambatanisho, ni Suzuki Escudo 3 Doors inauzwa
Hii ni gari yangu mwenyewe, mini sio dalali, mmiliki mmoja (mimi mwenyewe) imported from Japan Sept 2012.
Nimenunua kwenye...
Jipatie ramani nzuri za nyumba pamoja na B.O.Q kutoka JM construction company
MAWASILIANO:0758294772(Engineer)
MAWASILIANO:0657855955(Engineer)
tunapatikana Dar es salaam izo ni baadhi ya kazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.