Habari! Ni matumaini yangu mpo salama.
Niende kwenye topic.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, ninatoa/tunatoa huduma ya Structural Design (Buildings Design) kwa wasioelewa hapa ni kwamba...
Nyumba ina vyumba vitatu vya kulala (kimoja ni 'master'), jiko, dining place iliyoungana na living room, pamoja na choo cha umma.
Ina ukuta na geti zuri. Fimbo za kisasa za mapazia utazikuta...
Niaje. Kwa wale wapenzi wa Infinix na simu za masafa yaani ikijaa imejaa kwa masaa kutokana na matumizi. Nauza Infinix Hot 6x.
Specifications:
Infinix Hot 6x
Internal 32gb
Ram 3Gb
Battery 4000mAh...
Habari za uzima poleni na majukumu ya hapa na pale,
Kama kichwa cha habari kinavyoeleza, anahitajika system developer mwenye uwezo wa kututengenezea Website kwa ajili ya matumizi yetu
Kwa...
Ninayo mafuta ya alizeti lita zaidi ya 100, ninauza jumla na rejareja, lita moja Ni tsh 3000, mashudu meupe kilo tsh 70, Mawasiliano 0754,350,882, karibuni
Google (huawei) Nexus 6p
Ram 3 Gb
Rom 32 Gb
Camera nzuri sana 12 mp
Android 8
3450 mAh strong battery
Second hand mkorea
Bei 270,000
Nipo Sinza
0682521021
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunapenda kukufahamisha kuwa tuna MBAO na NGUZO ZA PLASTIKI (zilizotengenezwa kwa mabaki ya plastiki 100%) zilizo katika urefu na saizi tofauti, imara na madhubuti kwa ajili ya ujenzi wa uzio wa...
Naombwa kujua tatizo ni nini hasa, nina gari gari chaser hasa asubuhi ukitaka toka ukiweka D au R
inachukua kama dk 5 ndio inaanza kuondoka, nimebadilisha ATF lakini bdo tatizo linaendellea...
HB, Aluminum & Glasswork ni mafundi wa kutengeneza Madirisha, Milango, petition za maofisini, showcase, kabati za nguo nk.
Bei zetu ni nafuu sana. Tupo Mwanza ila popote ulipo tunafika.
Karibuni...
Wauzaji wekeni namba na location zenu pia na bei muda sio mlefu utatafutwa kwa biashara pia Dalali utakula cha juu kwa kutoa taarifa za machimbo ya wafugaji.
Serious people only, pia mkataba...
Kwa wale wanaojua Google Adwords nadhani hii inawafaa, Nauza Akaunti za Google Adwords Ikiwa na Billing Threshold ya $500 kwa wale wasiojua maana ya Google Adwords hii ni website ambayo unaweza...
Habari zenu wadau, naomba mwenye kujua wapi naweza kupata viti vya massage naomba anijuze bei na wapinaweza kuvipata.
Asanteni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kampuni ya Sumtech Company Limited ina tengeneza website ambazo zina security, user friendly, high speed and good catching design.
Tunatengeneza website kwa watu tofauti base on religious...
WAKUU SALAAM...
TUNAUZA DAGAA NYAMA (DAGAA MCHELE) WALIOANDALIWA KATIKA MAZINGIRA MAZUZRI KUTOKA VISIWA VYA ZANZIBAR NA MAFIA BEI KILO 7500-
-TUPO DAR ES SALAAM
-UNALETEWA MPAKA NYUMBANI
-MIKOANI...
Nauza page ya fb ina followera 23500 ipo active kinomaa
Sababu za kuuza:Nauzia shida tu ndugu zangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Update:,imefikisha watu 24000
Simu second hand imported from korea
No accesories .
Motorola z2 force specs;
Ram-4 Gb
Rom-64 Gb na unaweza weka memory card
Front facing fingerprint(ina gestures hapo hapo mfano kurudi back...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.