Tunakuletea huduma ya #Cctvcamera ambayo ni madhubuti kwaajili ya ulinzi, uangalizi wa mali za majumbani, maofisini, kwenye biashara zetu , mitaani, kwenye miji na sehemu kadha wa kadha.
CCTV...
Huu ni mwanzo wa mwaka na mwanzo wa malengo mapya.
Kama bado huna uhakika na biashara yako au hujui uanzishe biashara gani ya uhakika inayolipa zaidi, hofu hiyo ondoa kuanzia sasa.
Gharama ya...
Kimepimwa (surveyed)
400 meters kutoka baharini
3 kilometers kutoka Dege Eco Village
Barabara nzuri inapitika muda wote
Kumeendelea (kumejengeka)
Kiwanja square meters 574
Bei ni Tshs 9,000,000...
Eneo: goba kibululu , km 1 kutoka goba centre
Eneo limepimwa so upatikanaji wa hati ni rahisi sana na pia ni eneo ambalo tayari kuna makazi ya watu pamoja na huduma zote (maji na umeme)...
Natafuta chumba kimoja cha kupanga kiwe self-contained, chenye maji, umeme na kila kitu, usalama pia.
Namba yangu ni 0758713562
Sent using Jamii Forums mobile app
Monitoring system maalumu zinazotumia muunganiko wa camera zenye nguvu zinazokuwezesha kusimamia biashara zote zilizo sehemu yoyote, popote ulipo utaweza kupokea picha za matukio yote katika...
Nina amini kuna watu wana pesa zao nzuri tu...tena nyingi ziko benk,ziko majumbani na sehemu mbalimbali za kutunzia pesa.
Mimi future billionaire nafanya biashara zangu binafsi kwa miaka mitano...
INFINIX HOT 6X
Storage:32GB
Battery *4000 mAh*
Performance *Snapdragon Adreno 308*
Face ID na fingerprint
Clean as new
Colour:Black
Price:280k
LOCATION: Dar-Mbezi
Sent using Jamii...
Habari za sa hizi wakuu..nahitaji contena kwa ajili ya frem...mwenye nalo au anaejua connection za kulipata anichek pm...
Hata kwa anaeweza kutengeneza mobile frem zile za mabati ya geti pia...
Habari za kaz. kwa mwenye uhitaji wa mashamba ya uwekezaji wa miti ya nguzo na mbao iringa, wilaya ya kilolo anicheki kwa namba 0743628883, bei ya shamba kwa ekari shiling laki na hamsini. karibu...
Nauza Airpods na smart Bracelets kwa bei ya January 2020. CHECK ktk list then ufanye chaguzi ili tufanye biashara
Upande wa Airpods Brand zilizopo ni hizi hapa
QCY— QS2, T3 & T5
Bei ni —...
Katika kukabiliana na changamoto ya ufaulu wa masomo ya sayansi nchini, Excellence Tuition Centre inakuletea huduma bora kabsa ya masomo ya ziada kwa wanafunzi wa sekondari kuanzia kidato cha...
Fridge Brand : LG
Bado jipya kabisa
Ni energy server, (Linatumia umeme kidogo, Linajiwasha na kujizima automatically)
Lina Party ya Freezer (kugandisha) na kawaida
Lina warranty ya miaka 10.
Bei...
Tunaweka urembo mbalimbali katika nyumba kama madirisha, nguzo, kona, arch za nyumba, mikanda ya nyumba.Tutakufuata popote ulpo kwa mawasiliano 0712835623
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mnao hakia Dodoma,
Nakipangisha Chumba changu hapa Dodoma mjini karibia na Rainbow/ Malaika Lounge.
Hiki chumba nilikikarabati a kuingia mkatabaa na mwenye nyumba.
Gharama za matengenezo...
Wadau habarini ya jioni, poleni na pilika za dar hii, mshamba nimeingia toka mkoani na nimeambiwa Hotel nzuri ya kiwango changu ni CATE HOTEL je hapa mjini iko upande upi maana nimeahidiwa kwenda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.