Nanunua simu mbovu aina zote haijalishi imekufa kabisa au ni vipi, usitupe tena simu iliyombovu niwekee tufanye biashara.... mimi nipo dsm call me on 0654388979
Habari ndugu zangu
Nahitaji eneo la kujenga sheli liwe karibu na bandari ya Dsm yani liwe labda 5-7KM kutoka bandarini na liwe na ukubwa wa eka 5
Namba zangu za simu ni 0658107756
Sent using...
HABARI za muda huu wana JF
Leo niko hapa China bar tegeta nakula bata, Kama Uko karibu Njoo tujumuike na kula bata, I. e Kunywa bia, kucheze music na totoz zilizopo hapa China bar, Maana naona...
Wakuu, habari?
Naomba kama kuna mtu anamfahamu au ni mhusika wa uwakala wa Oryx gas anaisaidie. Nataka kufanya biashara ya uwakala wa gas mkoani Njombe, Ludewa.
METATRON LIFT CO. LTD, Tunakuletea Stabilizer nzuri na zenye viwango vya hali ya juu toka nchini UTURUKI , Tunazo kwa ukubwa tofauti kutokana na matumizi yako. Zipo za Single Phase (STATIC VOLTAGE...
Wakuu naomba estimate price ya side mirror, nimevunja ya kulia baada ya kupigwa pasi na coaster.
Kama kuna mahali naweza pata bila longo longo naomba maelekezo, nipo dsm!
Sent using Jamii Forums...
Nauza EHDD za aina mbali mbali
Zipo Transcend, Toshiba, Samsung.
Bei ni Tsh.
160,000/= kwa 1 Terabytes
100,000/= kwa 500 Gigabytes
Mawasiliano 0652673861.
Tupo sinza Lion opposite na Sinza T...
Nitakua safarini kutoka Arusha kwenda Dar Es Salaam kesho jumatano tarehe 8/1/2020 mwenyewe kwa usafiri/gari binafsi. Nahitaji kampani ya kusafiri nayo (kampani utachangia mchango wa mafuta)...
Habri wana jf
Jipatie GARI AINA YA Toyota CROWN ROYAL
BEI 14 m
Plate no.DMC
Cc:3000
6gear
Mwaka 2006
Note.gari haijawahi kuguswa Wala kubadilishwa chochote.haina hata shida moja NI kuwasha na...
Processor core i3 fourth generation@1.90GHZ
Ram 4GB, HDD 500GB
Intel hd graphic 1.7gb
13 inches display
Iko vzuri Haina shida kabisa,ikikusumbua ndani ya siku tatu unanirudishia.
Bei 420,000Tsh...
Gari aina ya Toyota rav4 milango 5 linauzwa limetembea km 185000 gari ni Autamatic bei ya kuuza ni milion 8 tu
Gari lipo kwenye hali nzuri na limetunzwa vizuri sana.
Geri linapatikana Banana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.