Wapendwa nauza Tv flat Screen LG INCH 43 imetumika miezi nane tu bado ina makaratasi yake..
Bei laki 700,000/= mazungumzo yapo.
Location ni Dodoma.
Mawasiliano-0758291272
Safiri na As Salaam Air kwa Safari za Kutoka Zanzibar-Arusha kwa Tsh 80,000/=
Dar es Salaam-Arusha kwa 100,000/=
Wasiliana nasi kupitia:
[emoji338]+255 757 64 05 61
E-mail...
Shamwa Logistics ni kampuni ya Clearing and Forwarding inayojihusisha na kutoa mizigo bandarini na viwanja vya ndege kwa kufuata taratibu husika za airport, bandarini na mamlaka ya mapato. Hivyo...
Wapendwa wanajamii, ninatafuta nyumba ya kupanga.
-Napendelea iwe inapatikana kati ya Kimara na Ubungo (Inaweza kuwa Kimara, Baruti, Bucha, Kona, au Kibo)
-Iwe ya chumba kimoja na sebule
-Isiwe...
Anza Mwaka Wako na Uhakika wa Umeme Wa Solar Toka Resco T Ltd.
Ubora wa Systems zetu Upo Juu na Tunatumia Technolojia ya Kisasa.
Mawasiliano: 0784232526
Tupo Dar es Salaam, Nyerere Road EAGT...
Gari aina ya Toyota Voltz inahitajika hapa iwe na plate number ya angalau DL na kuendelea.
Niuzie mimi kana unayo au kama unauza. Njoo na offer ya Bei yako then mimi nitajipima uwezo wangu...
Tunauza mbao zenye dawa (treated) kwa Bei ya ofa kwa msimu wa sikukuu.
BEI KWA MBAO ZA FUTI 20
2x4 sh 750 kwa futi
2x4 sh 350 kwa futi
BEI KWA MBAO ZA FUTI 12
2x4 sh 6500 kwa PC
2x2 sh 3500 kwa...
Habari ya uzima wakuu?
Naombeni msaada kwa anaefahamu vijiji bora kwa ulimaji na udharishaji wa maharage hasa ya njano kwa mkoa wa morogoro au mbeya.
Lengo ni mimi kufika kwa...
Natafuta duet, vitz au starlet, bei isizidi 4.5m.
Namba yangu ni 0787069996.
Wenye kukebehi na kubeza, sitishiki na nyie, macho yangu yamesoma kebehi nyingi Sana hapa jamvini.
Kebehi haziui, wala...
Wakuu za mwaka mpya,
Mwenzangu anataka kufanya biashara ya boda boda sasa ameniomba ushauri anunue used 2 au mpya moja na ana 1.8 M. Mimi nimemwambia anipe muda ili nimshauri vizuri, kwa kuwa...
Habari Njema kwa Wamiliki wa Biashara ndogondogo
Hapa ninazungumzia wale wafanya biashara ambao wanafanya biashara na ambao hawana uwezo au ujuzi wa kuwa na kitengo maalum cha fedha na ambao...
pata sweaters kali na za kisasa
Price
Brand :zuNGU
jumla : 16000
rejareja : 18000
contacts : 0756 680 763
picha check me whatsapp
location : Dar es salaam
kuvaa ni kitu ambacho
Hi wanabodi,
Ni msingi wa ghorofa 3, ilidizainiwa kama hotel,
Tunatafuta mtu, Shirika au taasisi ya kuingia Nayo ubia katika ujenzi wa Jengo,
Eneo liko sehemu nzuri sana Morogoro mjini...
Unasumbuliwa na simu yako:
IPHONE
SAMSUNG
TABLETE ...
Fundi niko kariakoo mtaa wa Aggrey na Msimbazi ,
Tuna flash na kutoa lock...
Tuna badilisha vioo yani display pamoja na tach, yani screen...
Naitwa Eliakim Xavery Migayo, Nipo Mwanza Manispaa ya Ilemela Kata ya Buswelu, mtaa Buswelu" A"
*Shughuli yangu ni Mjasiliamali Mtengenezaji wa bidhaa za ngozi hususani Viatu vya wazi(Sandals) na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.