Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Habari ndugu zangu, Mimi ni msanifu kwa lugha ya kiswahili lakini lugha ya mzungu ni Graphics Designer na kwakuwa nafanya aina zote za usanifu wa digital multimedia includes interactive...
0 Reactions
1 Replies
773 Views
Salaam, Kiwanja kinauzwa kipo Tegeta wazo (mji mpya) Kutoka njia panda wazo ni km 6 Kiwanja kipo kwenye mtaa mzuri na uliopangika Ukubwa wa kiwanja ni sqm 1200 Kiwanja kipo full surveyed Bei: 35m...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
  • Closed
wakuu kuna Nyumba Ya kupanga inahitajika
0 Reactions
70 Replies
6K Views
Habari wakuu.Kutokana na kuhamia biashara nyingine ya mkaa mbadala, nauza biashara ya yangu ya utengenezaji sabuni bila kutumia mashine iliyo na makazi mapya hapa Kibaha mjini,kata ya Misugu sugu...
0 Reactions
10 Replies
9K Views
Habarini wapendwa wana JF. Nauza bedsheets /shuka pamoja na foronya zake nne kama inavyoonekana kwenye picha, shuka ni 6 x 6. Kwa bei ya jumla ni 55 elfu na reja reja ni 70,000. Napatikana...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
HNCS(Hadi Nyumbani Car Services) hii ni kubwa kabisa kwa wakazi wa Dar es Salaam na Vitongoji Vyake Inakusogezea Huduma zote za car services kwa ajili ya gari yako kwa kukufuata hadi nyumbani...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Habarini,Wale wanaohitaji pikipiki used made in japan tuwasiliane tuanze na hii ya hapa Chini Type/Model of Motorcycle DT175 Yamaha Fuel used Petrol Engine capacity:171,two stroke Year of...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Ndugu zangu nahitaji vts new model bajeti yangu ni mil 4 Hadi 4.7 mwenye nayo tuwasiliane kwa namba 0712348834 au 0653165134 Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
697 Views
Wakuu Habari za hapa jukwaani. Natafuta chumba cha kupanga maeneo ya karibu na airport (JNIA) kiwe na sifa zifuatazo:- 1. Kiwe ni Master Bedroom. 2. Kiwe chumba kikubwa. 3. Kiwe na LUKU ya...
0 Reactions
34 Replies
6K Views
Natafuta mwanasheria wa kujitegemea atakayeweza kuendesha mashitaka Moshi / Moshi nitafute 0756200028
0 Reactions
2 Replies
839 Views
Nahitaji kupata bidhaa tajwa hapo juu. Naomba kufahamu anayeuza tuwasiliane aniuzie au anayefahamu mahali inapouzwa. NB Nahitaji kiasi kidogo, 1 kg maximum Ntashukuru sana. Heri ya mwaka mpya...
1 Reactions
26 Replies
5K Views
*Toyota Opa* Cc 1790 1zz engine Year 2000 Automatic Fm radio Full Ac Leather seats Sports rims Full document Price : 6.5M Call 0711600998 au 0684311401 Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
969 Views
Natafuta Dada wa kazi za ndani Nipo Shinyanga Mjini. Mawasiliano: 0622512225 au 0762692538
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Wanajamvi Km Heading Inavyojieleza Nnahitaji Kuanzisha Bihashara Ya Kuuza CD Hasa Zilizo Tafsiriwa. Hivyo Nahitaji Kujua Chimbo Hasa La Upatikanaji Wa Mzigo Kwa Bei Ya Jumla.
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Habari wakuu! Kiwanja chenye ukubwa wa square meters 600 kinauzwa Tshs 6,500,000. Kiwanja kimepimwa na Manispaa ya Morogoro na hati ipo hatua za mwishoni kutolewa. Kiwanja kipo Kingolwira karibu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nawasalimuni kwa jina la Mungu, naomba kuuliza juu ya soko la maziwa ya Mbuzi likoje maana nataka kuanzisha huo ufugaji wa hao Mbuzi wa maziwa.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kipo kitungwa$ bear nanenane) nyuma ya like gorofa kubwa linalojengwa pale. Kina hati Square meters 876. 15M. Takribani meter 300 kutoka barabara kuu ya Moro -Dar. Njoiin vo
0 Reactions
9 Replies
1K Views
kwema wakuu, nko dar natafuta gari ya mkononi, bajeti 4-5M, vitz/Glanza/carina......nk..cc900-cc1500.. Sihitaji yenye piston 3, ukinirushia picha DM ntashukuru zaidi.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nahitaji shamba liwe maeneo ya Mkuranga au Kisarawe nahitaji kuanzia hata ekari moja sio mbaya pa kuanzia. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Internal storage Gb 8 Network 4g Used like new haina tatizo lolote wala crack Price 120,000 0654846084 Ukilipia 125,000 nakupa na memorycard ya gb 32 Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
393 Views
Back
Top Bottom