Fremu inaangalia soko la mihogo na matunda, ina ukubwa wa 9,11 ft. Nilikua naipangisha kwa 100,000/= kwa mwezi. Kama unahitaji tuwasiliane kwa 0624074570
Nauza King'amuzi Startimes cha bati cha antena bei sh 30000 tu hakina tatizo local chanel bule kipo dar mwenye uhitaji anicheki 0715992666
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari Wakuu,
Binafsi kwenye swala la kubadilisha fedha za kigeni lilikua lina nichanganyaga kujua Zile Rates zina ku-affect vp. Sell rate inatumika muda gani na Buy Rate inatumika muda gani. Ila...
Wakuu kwema? Naombeni msaada wenu katika hili.
Mimi ni dereva Uber nimejichanga nimefikisha 6 million nataka kumiliki gari yangu kwa ajili ya biashara nikiisimamia mwenyewe.
Kaka zangu na dada...
Habar wana JF,
natafuta eneo la kufugia nyuki maeneo ya kanda ya ziwa na kanda ya kati lenye miti na maua ya kutosha na chanzo cha maji jirani liwe la kukodisha au la kununua.
Habari wakuu,
Nauz gari aina ya MITSUBISHI ROSA mayai. Iliharibika mashine nikaipaki gereji mpaka leo nimeshindwa kuikarabati kwa hiyo naona bora niisukume tu.
Makorokoro yake mengine yapo...
Nauza screen protector machine inayoweka screen protector kwenye sim za smartphone zote.
Ni mashine inayotumia technology mpya kufanya kioo cha simu yako kiwe imara mara dufu hata unaweza kugonga...
Ndugu zangu kama kuna mtu anajua wapi hapa Dar napata tags za kuweka ktk masikio ya ngómbe for identification na kile kifaa chemyewe cha kuwekea hiyo tag ktk sikio. natanguliza shukrani tena.
Kama kichwa cha habari kinavyosema. Suzuki swift nauza kwa bei ya sh mil saba na laki tano tu. Karibuni unaweza kupiga namba hii kwa mawasiliano zaidi 0718476238
Kitanda cha mtoto, stand ya kuwekea viatu ya chuma na kin'gamuzi cha startimes
Kitanda cha mtoto ni kipya bei ni 250,000
Stand ya kuwekea viatu ni kubwa unaweza hata kuitumia kibiashara bei ni...
Nauza laptop aina ya dell
Inter core i3 RAM GB 4
Internal storage GB 300
Generation ya 3
Charge masaa 4
Bei 350,000
Nipo Magomeni Kagera
Karibu kwa mawasiliano piga 0715796040 au follow WhatsApp
habari tunapenda kuwajulisha kuwa tunaprint majina,namba pamoja na udhamini katika jezi
za michezo aina zote
kwa gharama ya ths 4,500 kwa jina
pia tunatoa huduma ya kuprint picha katika tshirt za...
Hello Team magari mwenye gari tajwa hapo juu inahitajika ,budget yake 5 to 6 million .IWE ARUSHA ,KILIMANJARO NA MANYARA, inbox please.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni laptop inayochez games zote Kali current,ina invidia 2gb 930MX ,Ina 1tb ,Ina processor 2.7 GHz bei yak n 800000/= ukihiitaj nitafute kwa 0675979150
Sent using Jamii Forums mobile app
Gari iko fine, full AC
Naitupa kwa 2.5 m
Haina dalali mimi ni mwenye gari.
Ipo Gongo la mboto
Mawasiliano 0625466634
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.