Habari wadau!
Hope mko poa kabisa, na kwa neema za Mungu tunatumai atatuvusha mwaka salama, kwa wale ambao ni wagonjwa na wenye shida mbalimbali, basi ni maombi yangu kwa Mungu wa Mbinguni...
Nahitaji kitanda cha 5×6 pamoja na godoro lake nina 140k only...
Godoro kama una godoro tupu used nichek pia nataka liwe la 5×6
Kitanda kitupu bila godoro pia cha 5×6 nicheki
Nipo dar ubungo...
Kama kichwa cha habari kinavyoeleza hapo juu.
Nauza kuku wa mayai wapo 540 (mia tano arobaini), bado wiki mbili waanze kutaga. Nawauza kwa bei ya jumla sh.MILLION 3.
SABABU:
Hii ni baada ya...
Wadau nauza Kiwanja changu, kipo wilaya mpya ya Kigamboni, Kimepakana na viwanja vya Kisota. Kiwanja kinaangalia barabara ya kutoka Ugindoni kuelekea Kisota. Kipo sehemu tambarale hakuna maji...
Habari Wana Jamii.. Mageti Yanauzwa yako makubwa mawili kama kwneye picha jeupe na jeusi na mdogo yako 11.Mageti yote ni mazima na yalikua yakitumika kwenye frame zangu za nyumbani. Niko sinza...
Maisha yetu kwa kiasi kikubwa, yamezungukwa na Matangazo (Advertisements) ya bidhaa au biashara mbalimbali. Tushikapo magazeti asubuhi, tusikilizapo vipindi vya redio, tuangaliapo vipindi vya TVs...
Habari ya alasiri wadau na poleni na mihangaiko ya siku nzima. Natumaini mko poa. Nisiwachoshe niende kwenye hitaji langu. Wadau ninatafuta shamba la kukodi preferably maeneo ya Ruvu kwa ajili ya...
IPhone XR 64GB
Imetumika wiki mbili.
Bei Nzuri kabisa.
Naiuza Nipeleke dogo shule Januari hio wakuu.
Bei 1.4M pekee.
Tuwasiliane 0757497175
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari zenu wakuu!! Naomba niende Moja Kwa Moja kwenye point ili nisiwachoshe,
Kwa mahitaji ya NYUMBA, VYUMBA, VIWANJA, VITU VYA NDANI VILIVYOTUMIKA NA NK. ndani ya mji wa Morogoro mjini dalali...
OFFER OFFER OFFER
Samsung galaxy s6
Brand new full boxed
All accesories available
All colors
32gb
16mp camera
4g lte
Only 320000tsh
Free delivery in Dsm
Call 0716119347
Salaam wakuu,
Rejea kichwa cha habari hapo juu, natafuta boda boda ya mkataba au kwa siku, maongezi zaidi nipo hapa kujibu, nipo Dar es Salaam. Tufanye biashara.
Mwenye kuhitaji nyumba ya kisasa vyumba 3 ,viwili ni master.
Ipo madale mwisho, Barabara ya mbopo.
Imeisha rasmishwa(pandiwa beacon/ na process za hati miliki zinaendelea.)
Mawasiliano kwa...
Wakuu kwema nyumba ya kukodishwa inahitajika maeneo ya boko isizidi mbele ya boko chama. Bila shaka humu tuna ma landlord.
Iwe ndani ya fence.
Vyumba viwe viwili kimoja master.
Umeme na maji...
Je unahitaji samaki wa urembo?
Je unahitaji kasha la kuhifadhi samaki wa urembo (aquarium)?
Je unahitaji vyote viwili, yaani samaki wa urembo na kasha la kuwahifadhi?
Wasiliana nasi kwa namba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.