Ninauza hard disk 2000GB/2TB Sata ya desktop.
Ninapatikana Tegeta Dar es salaam. HDD bado mpya. Bei 120000 maongezi yapo. Kwa anayehitaji anipigie 0789 609 310.
Nahitaji laptop yenye bei ndogo budget laki 7 au 6 au 5 yenye uwezo mzuri wa games (level za gta 5), graphics and architecture.
Mnilelekeze hata anayeuza yuko wapi au account yake social media ni...
Wasalaam.
Tangazo kwa wamiliki wa Radio/podcast & tv.
Nina offer packages za matangazo ya sauti Pamoja na motion.
1.RADIO PACKAGES
Includes Main Radio jingles,Programs jingles, segments...
Kwa yeyote anayeuza gari aina ya Crown Royal salon, usajili si chini ya DJ, Bei isiyozidi 10M kama unalo au unamjua aliyenalo tuzungumze DM.
Asante sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizi ni korosho safi kutoka kusini mwa Tanzania, Mtwara. Kama kijana niliyeamua kujiajiri nawaletea bidhaa mzuri sana ya korosho mzuri na tamu pia.
Napatikana Dar es salaam lakini na mikoani pia...
Eneo liwe katikati ya mjini hapo Dodoma, kwa ajili ya kujenga supermarket na maofic
Eneo liwe kuanzia 1000sqm na kuendelea
Ofa tunasikiliza kwa muuzaji
Kwa maelezo zaidi wasiliana nami kwa...
Habari,
Kwa Wafugaji Nyuki Kibiashara, sasa unaweza kujipatia Mizinga ya Kufugia Nyuki Kibiashara (Commercial Langstroth Hives)kwa bei RAFIKI ya Tshs 170,000/=, ambapo kupitia kwayo utaweza...
TOYOTA COASTER SAFI SANA
Bei: 16,500,000
Mwaka: 1992
Aina ya Mafuta: DIESEL
Umbali: km 141,121
Injini (cc): 4100
Transmission: manual (vibali vimeisha mwaka huu mwezi 11)
kituo simu elf...
Dotem Insurance Tunatoa bima aina zote kama zifuatazo:
- Bima za maisha
- Bima ya gari, bajaji, lori, scaveta
- Bima za mashine
- Bima za ofisi
- Bima ya kikundi (kikoba au taasisi)
- Bima za...
Mitsubishi Pajero
model ya 2004.
Registered in 2014.
Iko katika hali nzuri
Inamilikiwa na kampuni binafsi.
Gari inashida kidogo na gear box ila inatembea vizuri.
Nipigie 0754847678 au watsapp...
Biashara ya utalii ni moja kati ya biashara nzuri lakini zenye changamoto nyingi. Kwa wazoefu, biashara hizi ni kama Mgodi kama ukipatia namna bora ya kuziendesha. Leo nataka tuzungumzie biashara...
Salaam wana jukwaa,
Husika na kichwa cha habari hapo juu, Kiwanja kinapatikana maeneo ya Geita-Katoro maeneo ya Mombasa Raha, Kina ukubwa wa -urefu ni 30 upana ni 28.
Bei ya kiwanja ni million...
Sofa Ya Watu Wawili Na Mito Yake Hiyo Hapo, Imetumika kwa Miezi 6
Bei: Tsh.220,000
Niko Dar Kigamboni, Sitaki Nikihama nibebe Vitu vyote Vya Ndani
Mob:+255 718 295 182...
Habari, nauza mayai ya kienyeji kwa jumla na rejareja bei 14,000, tunapatikana ubungo riverside. Naondoa usumbufu nakuketea ulipo 0678160139
Sent using Jamii Forums mobile app
Jipatie mashine ya kichujia maji ambayo haitumii umeme ni rahis kutumia na ni salama kwa asilimia 100 kwa maana ina kipenyo cha micrometer cha 0.2 ambacho hakiruhusu bacteria wala uchafu wa...
Habari wadau,
Kuna viwanja Kibaha kata ya Kongowe Kitongoji Cha Kigelo
Viwanja vilipo ni umbali wa Kilometer 2 kutokea Morogoro Road
Huduma za maji na umeme zote zipo
Bei ya kiwanja ni TZS...
Wakati ukiwa umesave pesa mwaka mzima kwa ajili ya ujenzi basi sisi tupo kwa ajili ya kukusaidia kutimiza ndoto yako
Hapo ni muonekano wa nyumba ya vyumba 4 all self , jiko, dinning, sebule...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.