Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Je Unahitaji msaada katika kuanzisha biashara yako? KASI wanatoa huduma za uanzishaji wa Biashara ambazo zitakuwezesha kuanzisha biashara yako kitaalamu na kupata huduma ya mentorship katika...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
HOUSE FOR RENT LOCATION: SINZA "A" NEAR CATALUNYA ALONG SAM NUJOMA ROAD, DAR ES SALAAM. DESCRIPTION: SUITABLE FOR OFFICE ONLY, STAND ALONE, THREE LARGE BEDROOMS ONE IS MASTER BEDROOM, SITTING...
0 Reactions
0 Replies
779 Views
Kuku broiler wenye uzito wa kutosha wanapatikana kiluvya madukani kwa bei ya tsh 6000 tuu,karina kwa mawasilano ni 0758918144 Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
677 Views
Simu hii SAMSUNG GALAXY A10 Iko sokoni ina siku 4 tangu niinunue wadau, nimepatwa na tatizo ghafla mkoani. Bei 280k Iko dar Simu 0755102030
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Nimejikita katika kukuza uchumi kwa kuwekeza kwenye nyuki. Nina asali nahitaji soko.
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Bei ni sawa na bure njoo uchukue simu yako full boxed ikiwa charger na earphone original ndani yake. Simu ni dual(laini mbili) Nyembamba na ina uwezo mkubwa wa camera Memory ni 32 GB unaweza...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
JIPATIE MINI FRIDGE,HII NI FRIJI NDOGO INATUMIA AC,DC NA SOLAR YN UMEME WA KAWAIDA NA UMEME WA KWENYE GARI,UNAWEZA ITUMIA KTK GARI YAKO AU PIA UKAWEKA CHUMBANI KWA MATUMIZI YAKO,PIA UNAWEZA KWENDA...
0 Reactions
5 Replies
5K Views
INAUZWA Samsung A10 (2019) Simu mpya kasoro box Bei 250000 /-
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wauzaji wa simu Mwanza nahitaji simu Samsung A10, bajeti yangu ni 250k. Namba zangu ya simu ni 0714263983
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Stendi ya viatu ya chuma inauzwa Ni kubwa sana. Bei ni 70,000/= Dar, kunduchi Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Wadau habari, Anayeweza akafahamu pale ninapoweza kupata financial calculator kama hii na bei yake (hapa Mwanza /Dar) . Inahitajika haraka sana. Nashukuru sana kwa msaada wenu. Sent using...
1 Reactions
6 Replies
993 Views
Fanya biashara yako kijanja na kisasa zaidi. Tuna Software ya: 1. Shule: kuanzia nursery hadi Chuo. Ina vipengele vinne Academic, Library, Account na Payroll Taarifa za usajili wa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
wakuu kwa mwenye kujua wapi nawezakupata soko la uhakika la mmea ambao hutumika kama tiba na viungo vya nyama na mapishi mbali mbali unaotambulika kama ROSEMARY PLANT....natanguliza shukran
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Nauza kiwanja Kiluvya njiapanda ya kwa Sumaye. Kiwanja kinaukubwa wa nusu heka, kimewekwa mawe bado hati tu. Kipo karibu na miundombinu yote barabara na umeme Bei ni milioni 13 Kwa mawasiliano...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Hii ndio habari ya mjini KIBAHA Hoteli Glacier White Park Hotel ina Swimming kubwa hii ni bahari ndani ya mji wa Kibaha hongera wamiliki kutuletea kitu roho inapenda. Inapatikana karibu na Ofisi...
2 Reactions
77 Replies
9K Views
Habari zenu wapendwa? Naunza infinix hot 8 mpya ina wiki 1 tu nakupa na box lake, chaji, ear phone, pamoja na risiti yenye garantee mwaka 1, nimeiwekea glass protector original haina shida yoyote...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari zenu... Nilikuwa naomba mtu anayeweza kuandaa busness plan nzuri ya stationary kama kuna yoyote anayefahamu kuandaa naomba anitext private kuhusu malipo tutakubaliana. Nahitaji mtu...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
kama kichwa kinavyosema hapo juu nahitaji kreti za bia kama 200 na za soda mia mbili zikiwa na chupa zake, kama unazo weka offer yako hapa ... Napatikana Dar es Salaam
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Nahitaji dalali wa nyumba ambae yuko maeneo ya majohe.au pugu ..maaana ndiko nyumba ilipo ...0738408866 whatsapp
0 Reactions
3 Replies
932 Views
Habari zenu, Naomba kuuliza kuna yoyote anayeuza mini bike au anayejua wanapouza hizo mini bike. Nataraji majibu kutoka kwenu ndugu. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
425 Views
Back
Top Bottom