Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Habari wana Jf na wakazi wa Dodoma.! Ninauza Maziwa ya ngombe wa kisasa, Tsh. 2000/= @ 1 litre Monthly Bills na Discount Kwa Maziwa mengi inapatikana. LOCATION: Dodoma Mjini Info; PM Natanguliza...
0 Reactions
0 Replies
847 Views
Sifa *'Awe amesma kompyuta walau kwa kipind Cha miezi si chini ya mitatu *Awe na umri wa miaka 18 had 25 *Awe mtanzania * Awe tayari kufanya kaz kijijini *Jinsia yoyote lkn wasichana watapewa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari! Nafahamu kuna Sintofahamu bado kuhusu issue ya Korosho... Kwa wale wanaojua hivi kwa sasa Serikali imeruhusu ku export Korosho zilizobanguliwa? Kuna Oda ya Tani 500 ya Korosho...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Zimewasili Dar mashine nzuri za kisasa za Kumenya Viazi, pia kwa wajasiriamali wanaotaka kufanya biashara za Kumenya Viazi na Kuingiza kipato Safi, mashine ndogo manual za kukata viazi pia ZIPO...
1 Reactions
5 Replies
7K Views
Toyota passo Year: 2005 C.C. 1290 Mileage 43,000 Price 7 m Contact 0719444553 Ni yamwanadiplomasia. Fully duty paid (ndo mana inaplate number ya njano) amepata post nje ya nchi ndo mana inauzwa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wadau mnaofanya biashara ya nondo na cement naomba mnifahamishe bei ya nondo ya jumla yaan kwa tani pia bei ya cement ya jumla
0 Reactions
17 Replies
25K Views
Nahitaji kununua gari bajeti yang ni kati ya shs Milion8 hadi milion 11 Napendelea gari mojawapo kati ya Ipsum au Wish Plate number ianzie DQ na kuendelea Au yeyote mwenyew Utaalamu wa kuagiza...
0 Reactions
0 Replies
610 Views
Nahitaji Fiat tajwa hapo juu,mwenye nalo au kufaham mahali inapatikana tuwasiliane please
0 Reactions
2 Replies
553 Views
Jamani kutoka na kizazi cha mbu kukithiri naomba muongozo nitapataje dawa ya DDT ili niue mbu jamani tunakuta kwa mbu.
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Hata kazi tofauti na hizo, nichek Nadesign pekeake.... siprint. Kazi yako nitakupatia kama document usisite nichek 0625773039 sample za kazi zangu
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu nauliza anayeifahamu system ( software na hardware ) zinazotumika kumonitor mauzo na mzigo uliopo dukani au supermarket kama ile ya mlimani city na malls zingine , hasa ile ambayo kila...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
iPhone Xs Max 64Gb: 2M 256Gb: 2.5M Call/whatsapp: 0715767420 Delivery uhakika Mikoa yote ndani ya saa 24
0 Reactions
0 Replies
799 Views
FULL PACKAGE BEI 450000 SINGLE MACHINE 275000 FULL PACKAGE INAKUJA NA: 1.MASHINE 2 3.CHARGER 4.USB 5.CHUPA ZA KUSAFISHIA SIMU 2 6.SPIKA 7.PEPA. 8. GLOFSI 9.Aromatherapy CHUPA 2
0 Reactions
5 Replies
3K Views
habari zenu wakuu! Mimi nipo zanzibar nataka kuanzisha biashara ya viatu vya mtumba tena vile classic vya kike ila sijajua wapi ntapata mabero ya viatu . Wenye uzoefu tafadhali tujulishane.
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wakuu, kheri ya Krismas. Nina uhitaji wa mabegi ya shule kwa watoto wa nursery, jumla yake ni zaidi ya Mia mbili, viatu na mashati. Kama Kuna mtu humu naweza fanya naye biashara hiyo...
0 Reactions
3 Replies
836 Views
Habari nauza laptop HP yenye sifa hizi: Operating system Windows 10 op 64bit Memory 8 GB DDR4-2133 SDRAM (1 x 8 GB) Memory and storage 8 GB memory; 1 TB HDD storage Processor family 7th...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Tunauza simu aina ya vivo kuanzia tsh 549,000 hadi 269,000/= Tupo duka la splash city mall - Dar es Salaam mkoani tunatuma kwa uaminifu mkubwa Service center ipo china plaza Sent using Jamii...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Lipo katika Kijiji Cha Ikang'asi ktk tarafa ya Lupembe mkoani Njombe. Aina ya miti iliyopandwa ni pine Ukubwa wa shamba ni heka 30 Shamba lina hati Bei ni tsh milioni 20 Miti ina miaka minne toka...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Karibu be forward upate bizaaa mbalimbali kwa punguzo kubwa pale unapo tumia BFS ID 326720 hii itakupa punguzo hadi 80%
1 Reactions
63 Replies
10K Views
Hp 8440p used . Ipo Dar - Tabata . Battery inakaa na chaji zaidi ya saa 1 . Michubuko midogo midogo kwa mbali ipo . Njoo DM tuyajenge uje ukague mashine ujibebee Sent from my iPhone using...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Back
Top Bottom