Nauza Airpods na smart Bracelets kwa bei ya January 2020. CHECK katika list then ufanye chaguzi ili tufanye biashara
Upande wa Airpods Brand zilizopo ni hizi hapa
QCY— QS2, T3 & T5
Bei ni —...
Zipo mkoani Tabora desktop computer 2 hdd 500GB ram 4GB I CORE 3, monitor nch 22 aina ya Dell used ya ulaya bado haijatumika kwa hapa bongo
Bei kwa zote ni Tsh .730,000/= ukitaka moja pia utapata...
Huduma hizo hapo juu zinapatikana kwa gharama nafuu kabisa. Pia ukihitaji kufundishwa ili ufanye mwenyewe njoo kwa mtaalam wa CAD, over 5 years of experience. Napatikana Tabata. Kwa mawasiliano...
Habari!
Ninauza dinner set yenye viti vinne iko katika hali ya kawaida kwa bei ya tshs 140000/= inapatikana Mwanza.
Pia ninauza kitanda cha mninga futi 4×6 kiko kwenye hali ya kawaida kwa tshs...
Kwa wale wanaopenda utali na kusafiri tunawaandali uluguru hiking ambayo itafanyika tarehe 28 mpaka 29 march kwa yule anahitaji kujiunga nasi anaweza tembelea tovuti yetu ya www.safari56.com au...
For sale(SOLD)
MI NOTE 7
Display 6.3"
Corning Gorilla Glass 5
Ram 4g
Rom 64gb
Dual Camera 48mp/12mp
Selfie 13mp
Fingerprint
Android 9
Used like new
Bei 270000
Sent using Jamii Forums mobile...
Mimi ni dereva natafuta gari aina ya Noah kwa ajili ya biashara.
Gari iwe kwenye hali nzuri na iwe na Ac, kadi ya gari yoyote iwe private au commercial nitaichukua
Hesabu kwa wiki ni 150,000...
PLOT FOR SALE
▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃ ▃
Kiwanja kinauzwa kipo maeneo ya Goba - kilometers 2 kutoka njia nne na 1 kilometer kutoka barabara ya lami ya kwenda Madale.
Kiwanja kina ukubwa wa 625 square...
ram 2gb
rom 32gb
triple camera 13mp
front camera 8mp
android 9
waterdrop diaplay
battery 3500mha
haijawahi ku stuck
6.2inches display
ina risiti yake kabisa
haina tatizo lolote zaidi ya crack...
Wadau,
Poleni na kazi za kutafuta mkate wa kila leo.
Baada ya kukosa Toyota Noah ya kukodi nimeamua kujimwambafy kwa kutafuta ya kununua. Nahitaji Toyota Noah SR 40 ambayo haina zaidi ya miezi...
Taarifa hapo juu, ni mkulima ambae nimeamua kuungana na kauli ya Rais ya Tanzania ya viwanda hivyo nami nimeamua kujikita ktk kilimo cha karanga nimepata changamoto ya soko hivyo wadau mpo msaada...
WADAU SALAAM!
NATAFUTA JIKO/SEHEMU YA KUKODI KWAAJIRI YA KUWEKA MGAHAWA/BAR KWA HAPA DAR ES SALAAMU, NAITAJI SEHEMY YENYE MZUNGUKO MKUBWA WA WATU.
NI PM KWA MAZUNGUMZO ZAIDI
TOPTRUST HELP DESC (A standby force) “ 0693354479 “
Baada ya kupitia nyuzi nyingi humu nilipata wazo!
nikachukua hatua ya kukusanya taarifa zote muhimu za jiji la DAR ES SALAAM kuhusu...
Natafuta Dada mwenye umri miaka 18-20 Kwa ajili ya kazi za ndani. Eneo nililopo ni njombe mjin
Mawasiliano ni +255656934942
Sent using Jamii Forums mobile app
Naenda moja kwa moja
Kitanda futi 5 kwa 6 kinauzwa.
Condition: Used
Location: Maeneo ya Uwanja wa Taifa.
Bei: 150,000/=
Mawasiliano : 0654001917
Karibuni
Sent using Jamii Forums mobile app
IHUMWA-EL SHADAI
vimebaki viwanja nane tu ambavyo vina 600-602SQM
Bei ya kila kiwanja ni milioni 11 Tu
Viwanja vilivyobaki ni vyenye doti nyeusi katika ramani hapa chini
MTUMBA
kimebaki...
CAMERA YENYE UWEZO KULIKO 5D mark iii
*Canon EOS 6D Mark II Digital SLR Camera with 24-105mm Lens*
*Body tupu ni 3,200,000/=*
*Ikiwa na lens ya 24-105mm ni 3,700,000/=*
Call 0752527054 or...
Tunafuga na kuuza samaki aina ya Sato watamu kabisa kwa wateja wote wa jumla na rejareja. Njoo uchague mwenyewe samaki unaowataka moja kwa moja wakiwa ndani ya maji. Bei zetu ni nzuri kabisa na za...
Habari wana Jf,
Gari nzuri Sana Haina tatizo lolote inauzwa inahitajika pesa ya matibabu India.
Gari ni Toyota Porte No.DEE
YEAR. 2004
CC 1490
FULL AC yakuganda
Full document
Full vibar
Price 7.4...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.