Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Nahitaji toyota harrier new modal( hybrid) offer yangu ni milioni 12 kama unayo tufanye biashara.Vile vile nauza toyota crown yangu kama uko nterested unaweza nicheki.Aksante
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wapendwa poleni na majukumu. Nauza shamba langu linapatikana mkoani Morogoro wilaya ya Kilosa barabara ya mikumi kilosa njiani au barabara ya kilosa mikumi. Mkoa wa Morogoro Wilaya ya...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Hapo vip! Hii ni mitambo inayotengenezwa Marekani ni mitambo Bora na imara kuliko mitambo ambayo umeshawahi kutumia kutoka katika makampuni mbalimbali. sifa ya mitambo hii. -hata jua likiwa...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Kwa wale wapenzi wa dagaa safi waliokaangwa kutoka Mwanza wakati ndo huu sasa wa kuchukua mzigo unaohitaji. Tunapima kulingana na mahitaji ya mteja na mzigo ambao mteja anauhitaji. Wanaohitaji...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Inakaa na chaji siku nzima Unaichaji lisaa 1 tu Nakuletea ikiwa mpya Newfull box yaani saa yenyewe ikiwa na betri moja na USB tayari kwa matumizi Sim Card and Memory Card Unaweza kupiga na...
0 Reactions
3 Replies
854 Views
Habarini nduguzangu natumaini muuwazima kama ilivyo kawaida ukiwa na fani ya ufundi uandishi nampangilio wa maneno hatu fatilii sana. Nisiwe na meneno Mengi sana, Mimi ni kijana kutoka chuo cha...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Za muda huu , Ninazo vanilla kavu naziuza na napatikana Dar es Salaam, survey kwa ambae ana ufahamu juu ya soko naomba nicheki please 0742248055, nipate kuziuza Nimezitoa morogoro Sent using...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Naitaji boxer yenye ipo na hali nzur isizid mwaka na miez 3 , mashine isiwe imefunguliwa location dar bei itaendana na hali ya piki2 ofa inaanzia laki 9 had 1.1M Sent from my iPhone using...
0 Reactions
4 Replies
793 Views
Kama unaitaji fundi umeme basi nipo hapa kwa dar es salaam.nipe kazi yoyote ile wala hatuwezi kushindwana maana bei zangu ni za kawaida sana kulingana na hali ya sasa. Mawaailiano 0652868486 Sent...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
solar charger controllers ; 1. rated current 20A @ 22000 Tsh 2. rated current 10A @ 20000 Tsh solar LED bulb light ; rated power 3W @ 5000 location ; dar - ubungo xternal Sent using Jamii...
0 Reactions
0 Replies
607 Views
Habarini wanaJF, Wale wauzaji na wanunuaji wa viungo vya chakula (ILIKI, KARAFUU,MDALASI NA PILIPILI MANGA) tukutane hapa, tujue soko lake likoje, upatikanaji wake na changamoto zake. Karibuni...
2 Reactions
1 Replies
3K Views
Bei yake ya kuuza ni milion sita na laki tano(6,500,000/)maongezi kidogo yapo.nishawekea plate # mpya za pikipiki,pikipiki sijatumia kabisa hapa tz tangia nitoe denmark Kwa wale serious buyers...
0 Reactions
23 Replies
16K Views
Hello wana wa JF Tunapenda kuwakaribisha wote wenye uhitaji wa vifungashio vya kaki kwa bei ya jumla popote pale ulipo Tanzania tunakutumia kwa uaminifu wa hali ya juu kabisa, tunapatikana Iringa...
2 Reactions
1 Replies
2K Views
Wadau ninauza eneo la shamba lenye ukubwa wa ekari 3 lina mimea ya mikorosho na minazi; limepitiwa na bonde linalotiririsha maji hivyo laweza kutumika kwa kilimo cha umwagiliaji na ufugaji. Eneo...
2 Reactions
9 Replies
3K Views
Make: Subaru Model: Forester Year of manufactures: 2009 Engine capacity:1990cc Milleage: 65,000 km Automatic Transimision Fuel:Petrol Body type: Station Wagon Colour: Black Very clean inside and...
0 Reactions
1 Replies
931 Views
LG HOME THEATER 1000 W inauzwa shida ya haraka itatuliwe ni mpya kabisa nipe 600,000 nipo Mwanza muhitaji nicheki tumalize biashara 0716863406
0 Reactions
27 Replies
41K Views
Ndugu wanabodi salam kwenu Tafadhali sana nimehangaika sana kutafuta mbegu ya ufuta ya Lindi 02 au Naliendele 92 kwa Dar sijafanikiwa mwenye mawasiliano ya kituo cha Naliendele ili niweze kupata...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Kwa anayejua wapi naweza pata Tall Oil Rosin (TOR)/Gum Rosin anijuze kwa hapa Tanzania.
0 Reactions
0 Replies
399 Views
Back
Top Bottom