Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Jamani naomba msaada napoweza kupata hivi vitu
1 Reactions
12 Replies
4K Views
Habari? Wanajamvi,nimenunua mashine ya kutotolesha vifaranga hivyo napata changamoto ya malighafi yaan MAYAI. Hivyo nanunua mayai YA KIENYEJI yawe yanatokana na kuku halisi wa KIENYEJI. Mwenye...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari wakuu Kuna mizigo nataka ninunue alibaba sasa muuzaji kanambia anahitaji shipping agent aliyeko china anisaidie kutuma ije huku sasa nisaidieni ni agents gani wa kuaminika wa tz au kampuni...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Nyumba inauzwa. Location-Mbezi beach goig(nearby bagamoyo road and nearby massana hospital) plot size-sqrm 401 PRICE-150m Nyumba inahitaji marekebisho,japokuwa ipo eneo zuri. Kwa atakaekuwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Pre/Order:-MASHINE YAKUKANDIA UNGA.⁣ Hii ni mashine yakukandia unga wa ngano kwaajili ya kazi mbalimbali kama vile keki,mikate,maandazi nk⁣ Zipo size tofauti tofauti na bei ziko tofauti tofauti...
0 Reactions
0 Replies
9K Views
Huawei gx8 Internal : 32gb Ram : 3gb Price 200,000/= Tel : 0788315655 Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Pressure washer pamoja na Tank la maji kwa ajili ya car wash vinauzwa. Mashine iko poa, ina pressure 2800PSI. Tank la maji ni lita 1000. Ukitaka vyote jumla bei ni 850,000. Au mashine pekee ni...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
wakuu habari zenu Kama uzi unavyo jieleza apo juu kwa yoyote anae hitaji shamba yapo mawili sehemu moja ila yametenganishwa tu na barabara moja Ni ekari 300 na lingine ni ekari 200 kwa Kila eka...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wakuu, Nahitaji simu original kabisa haraka sana iwezekanavyo, budget iliyopo ni pesa ya Kitanzania shilingi laki moja (100,000) Napatikana Dar es salaam Aina ya simu inayohitajika ni...
0 Reactions
31 Replies
5K Views
Gari nzima kabisa, Engine haijaguswa,tairi 2 mpya kabisa. Bei 11 Million. Tuwasiliane kwa 0621 095 722. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kutana na mafundi ujenzi mahiri kwa bei nafuu.Okoa muda kwa kuwatumia mafundi vijana wasiolaza kazi.tunapatikana Dar es salaam kwa namba ya simu 0658904648.bei zetu ni nafuu sana na rafik kwa muda...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Get more than just insurance with Pan oceanic insurance brokers Ltd. Introducing Pan oceanic Loyalty Program - Spend less on your leisure and corporate affairs with discounted prices on...
0 Reactions
0 Replies
413 Views
Habari wadau nauza mashine ya kufua upepo (compressor) kubwa unaweza kutumika kwa ajili ya mining and construction projects. Details zake ni Engine ya Ford Piston 4 kubwa Kinu chake ni cha...
0 Reactions
2 Replies
982 Views
Tunasambaza kokoto,Mchanga na Mawe sehemu mbalimbali Dar es salaam kulingana na mahitaji yako....Kama unahitaji wasiliana nasi kwa 0687 732666 Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
788 Views
Hellow ,karibuni sana organic chia seed kutoka karagwe ni safi haina mchanga hata kidogo Tumezingatia ubora kuanzia kulima mpka kuvuna Karibuni sana mzigo upo wa kutosha jumla na reja reja hapa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Tanzania Elite Center (TEC) Je, wewe ni mhitimu wa kidato cha nne , na una ndoto ya kusoma PCM, Au PCB ??, karibu kwenye kituo chetu usome masomo ya Physics , Chemistry , Biology na Maths...
1 Reactions
0 Replies
433 Views
Kiwanja kimepimwa..ni kwaajili ya shule (nursery) kina ukubwa wa square meter 2786. Bei ni 6000@square meter 1 (maongezi yapo) kwa yoyote alokua interested anicheki watsap no 0755322896
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari za jioni kama ambavyo kichwa cha habari hapo juu kinasomeka nahitaji gari ndogo ya kukodi naendesha mwenyewe gari iwe nzima na tair nzima maana ni kwa ajili ya masafa ya mikoani wewe mwenye...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Nilipeleka kwa fundi kwa ajili ya kubadilishwa IC ya sound bahati mbaya ikawa imepigwa short. Mwenye nayo au anayeweza kujua zinapopatika anijuze maana Mwanza nilizunguka mji mzima sikupata...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Ina fence na geti la kisasa . Ina vyumba vitatu (3) kimoja ni Master bedroom . Inside public toilet na outside public toilet (choo cha mlinzi) . Stoo, Parking kubwa ya paving, Sebule, Dining na...
5 Reactions
57 Replies
7K Views
Back
Top Bottom