Habari za mida wana JF,
Wakuu kama kuna mtu mwenye uhitaji wa site ya kufanyia kazi ya kuzia chips ama chakula kiujumla site ipo maeneo ya Kunduchi imetazamana na chuo cha jeshi kuna pub tayari...
Habari zenu,
Naulizia wapi wanaprint mifuko ya mikate ile ya lailoni nyepesi. Au kama mtu anaprint nina shida naye, nataka kujua na bei yake ipoje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari wakuu
simu tajwa hapo juu inauzwa kwa bei nafuu ya Tsh 220000,iko kwenye hali nzuri kabisa
Niko Mwanza
0764339400
Sent using Jamii Forums mobile app
Gari iko sokon. Haina muda mrefu toka iingie bongo. Ilikua inatumika kwa usafirishaji ila kuna misunderstandings zimetokea btn owner and driver hivyo imeamuliwa kuuzwa.
Gari iko Dar es Salaam...
Habari wana JF, kwa yoyote anayejihusisha na uzalishaji wa viriba/polythene tubes size mbalimbali vya kuwatikia miche, au mwenye connection hiyo, naomba tuwasiliane inbox au kwa 0622 661 196...
Maker: Nissan
Model: Wingroad
Automatic Transimision
Fuel: Petrol
Body type: Station Wagon
Colour: Blue
No accident record
No mechanics problem
Still new condition
Good tyres
Full Documents
Price...
Moja ya changamoto kubwa sana ya kampuni changa (zenye chini ya miaka mi5) ni SEHEMU YA KUPANGA. Ni muhimu sana biashara iwe na ofisi inayotambulika ili wateja waweze kufika, kukuamini na hata...
Kwa wale wanaohitaji alie andaliwa tunakuandalia bure - tunapokea order za pub pia , jumla na rejareja karibun 0653232350,0693552575
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa wale wa kazi wa Tanzania tu nikimaaanisha dar-es-salam Kuku wa kienyeji mitetea,,,jogoo wadogo saizi yakati mzigo unaingia tarehe 5 weka order yako mapema...
sent use Sony Ericsson969
Habari wadau, kuna eneo lenye ukubwa wa ekari moja linauzwa kwa shilingi milion moja na nusu , halipo mbali na barabara , na limeshahakikiwa na surveyor. Karibuni
Kwa biashara/maulizo simu piga...
full ac
3rz ingine
automatic gear changes
mwaka 2005
ipo nyumban tu haitumiki
bei 13m
nipigie 0652472486 kwa mteja serious tuuu
Sent from my iPhone using JamiiForums
Unahitaji MKOPO wa riba, dhamana ni kadi inayosoma jina lako, mkopo riba yake 35% ila gari unabaki nalo, tofauti na wengine piga simu 0692 946600 Kwa dar es salaam tu
Sent using Jamii Forums...
Lenovo mpya kabisa inauzwa kwa bei chee,
Specifications
RAM 4 GB
64 Bit
Hard disk 500GB
Intel(R) Pentium(R) CPU N3540@2.16GHz 2.16 GHs
Bei 350K(laki tatu na Nusu ), Maongezi yapo PM
Location...
Wadau kama kilivyokichwa cha uzi, changamkia hii bidhaa adimu kwa bei chee jumla na rejareja ni tsh 10,000 per piece
Karibuni sana, nipiem kama wahitaji tuwasiliane
Je una laptop iliyovunjika kioo
Nina laptop mbili za Dell inspiron 15
Zote zimeharibika nauza vifaa kwa bei cheee.
Vimebaki vioo viwili vya laptop 15.6" (inch 15.6)
bei ya kioo nitakufaanyia...
Habari wana JF,
hopefull ni wazima wa afya tele.
Nimekuwa nikivitafuta vifaa hivi hasa kwa mikoa ya KILIMANJARO NA ARUSHA bila mafanikio. Vipi naweza kuvipata mkoa gani maana nina shida navyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.