Kama kuna kitu kinaturudisha watu wengi nyuma ni kusubiria mpaka vitu vyote vikae sawa ndio tuanze kufanya kitu fulan. Ngoja hiki kiwe hivi ndio nifanye hivi zimekuwa nyingi sana.
Siri ni kuanza...
Habari zenu wakuu poleni na mihangaiko ya kila siku naombeni msaada wenu, hivi karibuni natarajia kuanza kufuga nguruwe nimeshafanya utafiti wa kujiridhisha na pia nimepitia threads nyingi humu...
NYUMBA INAUZWA
DETAILS
Ni nyumba ya vyumba vitano(1 master)
Pia ina;
-sitting
-Dinning
-kitchen
-store
-public toilet
-parking
-Tiles
-Gypusm
-slidewidows
HUDUMA ZA KIJAMII
-maji
-umeme...
Fursa!!! Fursa!!! Fursa!!!
MoonAfrican light inawaandalia SEMINA maalumu ya mafunzo ya ujasiliamali,yatakayokuwezesha kujikomboa na umaskin Na kujipatia njia Bora Na za kisasa za kutengeneza...
habari kama kichwa kinavyojieleza hapo juu
nauza iphone 6 plus haina tatizo lolote simu bado mpya
storage 16 gb
bettry health 100%
colour ni gold
location DoDoma
simu +255710277123
Sent using...
Tutakua tunatoa elimu ya Bima kwenye ukurasa huu wetu.
Na kuanzia 23 January tuta anza na bima ya maisha.
Tupe maoni yako njia bora ya kuwasilisha elimu hii ya Bima.
Pia tutapokea na kujibu...
KARIBU KATIKA FURSA YA KUMILIKI ARDHI KWA AJILI UWEKEZAJI WA VIWANDA NA BIASHARA MKOA WA MOROGORO
Eneo la uwekezaji kwa ajili ya Viwanda na biashara linauzwa wilaya ya Morogoro Mkoa wa Morogoro...
Nauza tray za mayai za karatasi bundle 1 ( tray 100 ) kwa tsh elfu 30000. Napatikana ilala bungoni opposite na club ya wazee, kwa mhitaji 0625602775.
Biashara itakuwa ya cash, sitaki mikopo au...
Habari wakubwa zangu. Mimi natafuta watu nitakao kua nawauzia bidhaa za forever living na malipo ni baada ya week moja mpaka mwezi.
Napokea orders kutoka kwenye pharmacy na maduka mbalimbali...
Jipatie tablet ya vodafone vfd 1100 iko katika hali nzuri mno,haina shida yeyote ni nzima kabisa kama unavyoiona kwenye picha,
inakwenda kwa bei ya 100,000 mazungumzo yapo.
Napatikana Mbeya...
Kwa watu wanao deal na product za kampuni ya FOREVER..... Kuna dawa nimeambiwa yapatikana kwao.[ FOREVER FREEDOM] yatakiwa mwenye ku deal nayo anicheki
Hello!
NANE NANE ndio hii,
Una subiri nini??
Kwa mahitaji ya huduma ya graphic designing kama vile kupata
[emoji843]Mabango ya kisasa
[emoji843]Kuprint T-shirts
[emoji843]Kutengeneza posters...
Habari wadau, niagize mchele kutoka mbeya nakuletea ulipo, agiza kuanzia nusu tan na lipa nusu....
Iliyobaki utamalizia mzigo ukifika.
Mchele kwa sasa kilo 20 ni 48,000(pamoja na usafiri)...
Hi,
I have come accross this fantastic business directory, bizyciti.com, it seems has many important features for my business growth. Can any one help how to use it especially to put a booking...
Nahitaji gari ya kununua kwa mtu.
Iwe Toyota Allex, Runx au IST.
Namba D, reasonable mileage.
IST itapewa kipaumbele.
Sihitaji dalali kwa sababu sina pesa ya kumlipa.
Aliye na gari anitumie...
Natafuta noah ya kukodi, iwe dar es salaam. Itafanya kazi ya kubeba wanafunzi tu wa chekechea tu asubuhi na Mchana.
Itafanya kazi siku 5 tu za wiki na wikiendi inakuwa free.
Mkataba wa malipo...
Kwa niaba ya JF natoa program za kutizama channels bure kwa wote ktk Android na nitakua na update hii page:
tuanze :
kwa niaba ya
(♚ Woяld ѕρσят ♚)
Group leo tunakuletea best application...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.