Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Simu INFINIX inauzwa hot 8 location songea Internal memory gb 32 Ram 2gb Ina support 4G Camera tatu Simu Ni mpya ina wiki tatu charger ,box ,na risit vipo Bei Ni tsh 165k haishuki Nina shida na...
0 Reactions
9 Replies
38K Views
Wakuu anaeuza TV inayotumia umeme wa sola tuwasiliane mm napatikana njombe
0 Reactions
6 Replies
807 Views
Mimi ni mkazi wa Musoma natafuta wafanyabiashara nitakaofanya nao biashara ya dagaa wa mafuta au waliokaangwa, dagaa waliokaushwa na jua, samaki sangara waliokaangwa na sato waliokaangwa...
1 Reactions
5 Replies
4K Views
Habari wakuu kama nilivyoeleza kuwa natafuta eneo ambalo nitafanya biashara ya chips. Kwa mwenye nalo au uzoefu, ushauri mawasiliano 0688 802 481.
1 Reactions
14 Replies
2K Views
We deal with photocopy, printer, computer, cctv camera and counter money Repair in term of :services :repair :spare parts Location_ dar es salaam For more infmation: call/sms/0687982122
0 Reactions
6 Replies
720 Views
Kiwanja kinauzwa kipo Madale mkoroshini karibu na barabarani kina ukubwa wa square 625 bei million 23 no:0756855563
0 Reactions
2 Replies
769 Views
Display for COMPUTER. 19" size Wide Clean and works Fine Display Only PRICE 85,000/ Serious Buyer CaLL 0682-030046. Dar es Salaam Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
3 Replies
569 Views
Habari!kwa uhitaji wa kufungiwa ELECTRIC FENCE bhasi usisite kuwasiliana nasi 0620384835/0716866626 Tunapatikana Dar Nb:Popote tutakufikia bila shida Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Friji ipo kwenye hali nzuri muonekano mpya haijachezewa sehemu yeyote. Lina milango miwili american doors na freezer -drow mbili kwa chini..Nauza kwasababu nataka kuhama..hivyo napunguza vitu...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Habari wana JF kama kichwa cha habari kinavyo jieleza nina Toyota pick up double cabin new model naikodisha dereva ni Mimi mwenyewe.Napatkana Mwanza Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
6 Replies
3K Views
On sale M-SATA SSD 512GB cleanest Condition Price 250,000// Dar Es salaam CaLL 0682030046 Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
468 Views
Ipo katika Hali nzuri, internal memory ni 32Gb na Ram ni 3Gb, Camera yake ni 16mp yaani inatoa picha clear kabisa, Njoo tufanye biashara tuwasiliane kwa namba hizi 0653277662 Bei ni 260,000 pia...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu nataka nifahamu ni wapi naweza badilisha hii sarafu kwa hapa tanzania Exchange yake ni almost laki sita Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
6 Replies
11K Views
Habari zenu wana JamiiForums, naomba kuuliza bei ya jumla ya kuuzia samaki kwa Arusha ni shillingi ngapi kwa kilo moja au zaidi? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Heshima zenu wakuu Kwa ambaye anajua kampuni ambayo inaweza kusafirisha mzigo kutoka Marekani hasa mji wa Iowa kuja Tanzania kwa njia ya ndege Naomba msaada wa mawasiliano yao Au kama kuna mtu...
2 Reactions
18 Replies
6K Views
TV ilipasuka kioo ni flat alijitolea rafiki yangu apeleke TV kwa fundi. Mwanzo alidai elf 80 lakini havikuepo jana nikamwambia twende tuirudishe nipeleke Dar nashangaa leo anasema vioo vimekuja...
0 Reactions
19 Replies
7K Views
Ni saa Original kabisa warranty ni 1 year Mikanda ni ya lether original Water resistant Free Delivery Whatapp 0658749848 or 0686879011 Mimi napatikana Mbezi mwisho pia sijafungua ofisi bado...
3 Reactions
88 Replies
16K Views
NOKIA LUMIA 950XL Model RM 1116 Laini mbili Mpya kwenye sealed box D'Salaam 250,000/=
0 Reactions
2 Replies
747 Views
Habarini, Ninahitji mashine ya NMB-WAKALA haraka ambayo imesajiliwa kwa jina lolote, mwenye nayo tuwasiliane kwa pm
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu, kama kuna mtu ana mashine ya miwa anaikodisha naomba tuwasiliane.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom