hello JF bros n sisz!
watu wengi wamekuwa wakitaka kuagiza magari kwa njia ya mtandao. ni njia rahisi na inayosave muda na gharama nyingine kama nauli nk na unapata gari kwa bei poa. mimi ni...
Sorry wakuu napenda kuuliza Kariakoo naweza pata wapi New brand PS4 either FAT or SLIM 1TB new bwand na ni kwa bei kiasi gani ili niweze kujipanga...
Asanten!!
Wadau... Nahitaji Shamba kwa ajili ya shughuli za kiuchumi. Kwa maeneo ya Njombe naweza pata ekari moja kwa 200,000/=
Ilimradi kuweze kufikika na gari...! Tafadhali Kama ndio usisite kuwasiliana...
Habarini wana JF
Nahitaji kununua pikipiki aina ya boxer number C iliotumika ndan ya mwaka huu, ukaguzi utafanyika kabla ya malipo.
Kama kuna yeyote anauza tuwasiliane kwa number 0656735641
Wakuu mambo vipi
Natafuta kuku wa kienyeji ( Matetea) kuanzia miezi 4,mbka 6 , ambao bado hawajaanza kutaga . nahitaji kumi kwanza, ila baada ya mda mfupi nitachukuwa wengi ..
Ofa yangu ni...
Formworks and scaffolding Hiring
Kodi formworks na scaffolding za kisasa kwa bei nafuu. Matumizi ya slab, beam,Nguzo, plaster, finishing
Dar es salaam, Tanzania.
Cell: +255 719 251 251
Habari za muda huu wana JF,
Samaki wakavu wanapatikana, ni wa maji baridi, aina ya Kitoga kutoka Ifakara. Wamekaushwa kwa moto.
Wapo wa ukubwa tofauti tofauti, Bei ni kuanzia 3000, 4000, 5000...
Laptop bado ni mpya na haina tatizo lolote na risiti yake ipo.
HDD 320 GB
RAM 2 GB
Processor 2.00 GHZ
Slim and portable
Os window 10
Fast charge adapter
More than 3 and half hours in battery
Web...
MASASI FARMING & AGRO BUSINESS
Punguzo la bei katika kufunga mwaka, jipatie uwezo wa kumiliki greenhouse na nethouse kwa gharama nafuu zaidi hizi zitakuwezesha kulima kwa malengo maalum bila...
Nahitaji mfugaji awe ananiuzia mayai ya kisasa yawe size nzuri (sio madogo) bei siwezi kuweka kwa sababu huwa inabadilika ila kama yupo anicheck kwa number 0625 602 775 / 0712 857 446.
Natumai wote ni wazima wa afya na mambo yenu yanakwenda vizuri kabisa.
Napenda kuchukua fursa hii kwa kuwajulisha kua company yetu ya entrebrain inayo jihusisha na masuala ya graphic...
Wakuu habari zenu, Ninanunua ng'ombe wadogo (ndama)dume au jike.
Pia ng'ombe awe wa kisasa na asiyekuwa na magonjwa/kudumaa.
Niko Dar es salaam wasiliana nami 0788 548 673.
Habar wakuu. Nahitaji machine ya kuoshea magari yenye option ya kutumia umeme na kutumia mafuta petrol.
Bei zake kwa anaejua
Sent using Jamii Forums mobile app
Pata ramani za nyumba aina zote kwa bei ya punguzo la sikukuu kwa asilimia 30
Gharama sasa zinaanzia 250,000/=
Wasiliana nami kwa 0712 006246 kwa taarifa zaidi..
Sent using Jamii Forums mobile app
Mashine ya Kutengeneza na Kukausha Chaki za Shuleni ON SALE Tsh 30mil (Milioni 30)
Karibu tufanye biashara. Call 0767 235923.
Sifa za Mashine ya Kutengeneza Chaki:
Inatumia Umeme wa Single...
Habari yako mwana jf; karibu ujipatie ofa ya king'amuzi cha DSTV kwa bei ya shilling elfu 99,000 ambapo utapata ofa ya kifurushi cha #compact mwezi 1 bure #kufungiwa bure #usafiri wa tukuletee ni...
mzigo wa chambuu umeshuka toka uturuki
100 cotton
sio za kufafanan zile za kikinga
size availble s,l xl xxl xxxl xxxl xxxxl xxxxxl.
zipo chache acha kuvaa mipira sasa
bei 15000 reja reja
13000...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.