Laptop inauzwa Lenovo bado Mpya
Specifications
RAM 8 GB
64 Bit
Hard disk 1 Terabyte (1,000 GB)
Processor intel core i5 4200U CPU I.60GHz 2.30 GHz
Bei 550,000(550K) laki tano na Nusu,
Location...
PC inauzwa
Specifications
RAM 8 GB
64 Bit
Hard disk 1 Terabyte (1,000 GB)
Processor intel core i5 4200U CPU I.60GHz 2.30 GHz
Bei 430K maelewano yapo.
Location Dodoma town inatumwa popote...
Hajj's_ifix
TUNAKUFATA, KUFANYA KAZI POPOTE ULIPO, MBELE YA MACHO YAKO*
Bei tumeshusha Kwa 30%
TUNABADILISHA VIOO ORIGINAL VYA IPHONE ZA AINA ZOTE
KWA GHARAMA NAFUU KWA KUTUMIA...
Sehemu: Magomeni Kagera (kinatazamana na Morogoro Rd)
Ukubwa: 347 sqm
Bei: Milioni mia moja na kumi tu (110,000,000) tu
Kina Leseni ya Makazi
Contact: 0655888268
Niliwai kuandika hii Post, kama unataka kutekeleza hili huu ndio muda sahihi imebaki mwezi mmoja tu kufanikisha.
Uzuri tarehe 12 naenda Dodoma.
Pitia huu uzi wa chini kuna maelezo yote...
kichwa cha habari kimejieleza vizuri nahitaji bus aina ya rosa yenye vigezo vifuatavyo;
Iwe ni box board..iwe ni spring juu yaani spring zinakamatia juu kama canter...engine isiwe na turbo yaani...
Nyumba kuukuu (iliyo katika kiwanja chenye nafasi ya kujenga nyumba nyingine (mita 25 kwa mita 70),inauzwa Kimara mwisho,mita 700 toka Morogoro Road,pembeni ya barabara iendayo Bonyokwa,eneo...
Wakuu habari zenu, natafuta mabati Used au yale reject kwa ajili ya kuezekea,nimeafiki hayo kwa sababu ya uwezo wangu wa kifedha unavyo niruhusu. Nipo Mlandizi
0655112023
Sent using Jamii...
Habari wana jamvi... naomba nisaidiwe mahali wanapouza vioo vya bafuni (bath cub) kwa dar nataka vioo vitupu bila tray ya chini...shukran
Kama hivyo hapo chini[emoji116]
Sent using Jamii Forums...
Tunauza vifaa vya simu (accessories)
Kama
Flash disc memory card, charger za kawaida na fast charger, earphones, batteries, Screen protector no
Flash sandisc 8Gb 11500, 16Gb 12500
Memory card...
Waweza kuwasiliana na Amani Pmassam 0744993819 au kufika ofisi kwetu mkabala na nmb bank ferry Kigamboni . Waweza jipatia pia sendo za ngozi kwa bei nzuri.
Fursa,fursa mpya yaingia bongo tangu mwezi Wa 6_2016.Ni network marketing shirika lina itwa helping hands international (h2i), wadhamini wake ni Hyundai motors,diamond trust bank,lenovo laptop,HP...
WAPI NITAPATA CHIMBO LA VITU HIVI VIFUATAVYO
-Earphone za bei chee
-Charger
-usb za urefu mpk mita tano imara za bei chee
Vinote book na daftar pen kwa bei jumlaa
Kalamu kwa bei jumlaa...
Habari wadau,
Nina shida ya kupata mashine ya kukata nyama na Samaki kwaajili ya butcher yangu. Mashine inaweza kuwa used or mpya itanifaa tu. Anayeuza tafadhali anijuze ili tufanye biashara.
Asanteni
Habari za saa hizi wana Jamii. Nina eneo langu nakodisha kwa ajili ya biashara ya Samaki awe wakukaanga au wa wabichi lakini kutokana na uzoefu nilikuona nao wakukaanga ndio wanatoka zaidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.