Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Updates: Wakuu, Nashukuru sana kwa ushirikiano wenu. Hatimaye nimepata Noah na kuilipia. ~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~ Wakuu, Changamkeni deal hilo hapo...
0 Reactions
4 Replies
807 Views
Ninatarajia kufuga mbuzi wa maziwa wapatao kama 10 hivi kwa ajili ya matumizi ya maziwa ya Familia. Ninaomba ushauri ni wapi naweza kupata mbuzi majike 9 na dume 1 wa kisasa kwa ajili ya maziwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Napenda kuja mbele yenu, wadau na wapenzi wa masuluhisho ya changamoto za kijamii kwa kutumia mifumo ya kidigitali, sasa nimewaletea Application inayoitwa SafariPoa. Application hii inakuwezesha...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu habari, Ninauza kiwanja mkoa wa mtwara. Mahali: ziwani/mtawanya Bei: 1,500,0000 Ukubwa ni nusu eka. Kipo katikati ya makazi ya watu siyo shamba. Pia kuna minazi, migomba na maji yako karibu...
0 Reactions
5 Replies
832 Views
Bei ni 250,000/= Imetumika. Ni nzima lakini Kioo cha juu kimepasuka. Tofauti na kioo haina tatizo zaidi. Picha:Sijaweza kuambatanisha picha kwa kuwa ninatumia des. comp. Mnunuzi tuwasiliane kwa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Bajaji ipo katika hali nzuri kabisa, imetunzwa. Injini ipo Moto, hajaguzwa Ipo barabarani inafanya kazi Vibali vyote halali vipo Bei Tsh 3.4 Million Maongezi yapo Ipo Korogwe -Tanga Piga...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Naomba kufahamishwa bei gani naeza pata trailer kichanja zile used ambazo imported au zile kutoka kwa mtu hapa bongo zile za kichanja. Je, kwa bajeti ya milion 15 naeza pata trailer nzuri kabisa...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Nsombo and Company limited. Wanauza Godown lililopo mitaa ya forest barabara ya kwenda hospitali ya mkoa karibu na MSD. Kwa njia ya mnada wa hadhara siku ya jumamosi tarehe 14.12.2019 saa 4...
1 Reactions
1 Replies
964 Views
Ninauza kiwanja Million 10 nafungua majadiliano kwenye bei. Kiwanja ni kikubwa kipo Kisesa eneo la Mwandulu. Urefu 42 na upana 36. Kiwanja ni changu kimepimwa, upimaji shirikishi. Kiwanja...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Brand - Archos Model - 80 Cesium Battery - 4000 mAh Processor - 1.8GHz Quad core Internal storage - 16GB Expendable storage Software - 8.1 Windows Wifi ✅ Bluetooth ✅ Display - 8.00 inch Price...
0 Reactions
0 Replies
827 Views
Guys mambo vipi Mimi nauliza wapi wanatengenza chupa za plastic aina zote na gharama zake
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mileage: 92,516 km Engine: 2,360.cc Manufacture: 2006 BEI=mil 30,263,190 Gari kali kutoka Japan Tupigie: 0784112347 / 0737881888
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nahitaji induction motor. 30hp three phase, 1470rpm Budget 800,000tsh iwe katika Hali nzuri, nipo dsm 0715034565
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Tunauza mifuko ya Non woven materials GSM 70. Size tulizo nazo kwa sasa ni kama ifuatavyo 1. 35 x 45 Tsh 180@pc 2. 35 x 35 Tsh 170@pc 3. 25 x 35 Tsh 100 Pc 4. 26 x 40 Tsh 110@pc 5. 25 x 55 Tsh...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Kumekuwa na changamoto kubwa mbili kwa watu wanaogiza vitu kwenye mitandao hii nguli ya Kichina. Bei ya mali kuwa rahisi lakini usafiri kuwa bei kubwa. Wengine njia za kufanya malipo kushindwa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari wadau. Natafuta gari ya kuendesha uber kwa mkataba,tutakubaliana mahesabu ya siku Kama kawaida. Kwa yoyote anayehitaji driver tafadhali.
0 Reactions
0 Replies
780 Views
Habarini wadau, Kwa mara nyingine tena nauza computer, ni used na inafaa zaidi kwa matumizi ya studio. Aina: Lenovo Thinkstation s20 HD: 1TB RAM: 8GB /6 Slots 3 fans Vga, Nvidia NVS 31 Bei...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wadau, Ninauza unga wa lishe kwa bei nafuu kabisa,ni unga mzuri naamini ukiutumia Utafuraia,rejareja ni tshs 5000 kwa 1kg,kwa anayetaka kwa jumla tuwasiliane PM au unaweza piga simu...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
ANATAFUTWA
0 Reactions
0 Replies
498 Views
Hallo wadau kuna viwanja wiwili kwa Msuguli km.2 kutoka Morogoro road. Ni viwanja viwili vimeungana, kila kimoja mill 15 ila kwa anayetaka kuchukua vyote viwili anapata discount. Barabara ya mtaa...
1 Reactions
3 Replies
920 Views
Back
Top Bottom