Wakuu,
Mimi ni academician. Natoa msaada wa kufundisha uandishi wa proposals, concept note, thesis, dissertation, final.reports kwa undergraduate na postgraduate.
Pia guidance ya kufanya data...
Samsung Flat TV
Inch 24
Condtion New
USB☑️
Flash☑️
Unapewa na full accessories
Price 250,000
Phone 0675 053 168
WhatsApp 0747 765 944
Delivery kwa dar
Mkoani tunatuma.
Nyumba ipo maji ya chai Arusha, ina eneo la 15*15 ipo hatua 20 kutoka barabara kuu ya Moshi-Arusha. Haijamaliziwa ipo kwenye plasta. Bei ya kutupa nina shida na pesa kwa sasa. Serias buyer njoo...
Nauza PC Games za kila aina in different categories, zipo za Sports,RPG, Shoot Em up nakadhalika. Ukinunua unapata Setup folder utakayiwez kui run kwebye windows PC yako yoyote.
Price ...
Simu imetimiza mwaka sasa na warranty yake inaisha mwezi huu. Risiti na box lenye serial number na IMEI lipo kuthibitisha.
Screen yake ina crack kidogo kwa upande wa juu
Wasiliana nasi kama unahitaji njegere nzuri za kiwango cha juu.
Zitakufikia Popote ulipo Tanzania kwa wingi na kwa bei rahisi.
Kwa mazungumzo wasiliana nami kupitia namba hii: 0715531232
Kama kichwa cha habari kinavyosema, nahitaji housing ya EVERNAL feni ya ukutani vikiwa kwenye hali nzuri, kwa yoyote atakayekuwa navyo tuwasiliane 0659-358-599
Habari zenu,
Nauza mashuka ya mtumba ni mazuri mno. Kwa Tsh 20,000 unapata shuka moja na foronya zake mbili, pia kwa jumla ni Tshs 15,000 kuanzia shuka 5 karibu sana.
Mawasiliano: 0783358788
nahitaji gearbox,
yangu inachelewa kubadili gear na nimeweka oil mpya lakini bado tatizo liko palepale, nimeshauriwe ninunue grear box nyingine, msaada tafadhali
ni pajero jr II
Kwema Wakuu,
Nina PC Imekaa Store Kwa Muda Almost Mwaka.
Nzima Na Inafanya Kazi
Specification Zake Hizi Hapa.
TOSHIBA C850
RAM 2GB
HDD 320 (Not Included Kama Utahitaji Utaongeza Elfu 30)
Wifi...
Nahitaji pesa ya haraka nauza gari yangu Namba C.
Model:Nissan Skyline,Saloon Closed top
YoM:2004
Rangi ya gari: Pearl White
Hali ya Gari:Nzuri inatembea
Bei: Milion Tano na Laki 2 (5,200,000=/=)...
Nahitaji Diagnosis ya kucheki matatizo ya gari japo used kwa aliokua nayo ama anweza kunisaidia upatikanaji wake anijulishe bei itaendana na aina ya mashine iliopatikana
Asante.
nataka kufungua duka la nguo za kiume zile za dukani za kinyamwezi za mabishoo na mabrazameni.naombeni chimbo ambalo naweza kuagiza mzigo kwa bei nafuu na ikiwezekana mchanganuo wa biashara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.