Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Salam wakuu, Ni aina ipi ya mzani yenye ubora wa juu kwa ajili ya kupimia vitu kwenye duka la reja reja? Nazungumzia mzani mdogo wa kilo 20 kushuka au 15 kushuka chini.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari waheshimiwa. Nilikuwa nataka kujua anayejua pampu za mgongoni za kumwagilia dawa shambani kwa bei ya Dar es salaam maana mimi nipo Dar es salaam, alafu nimepanda viazi mviringo Mbeya sasa...
0 Reactions
9 Replies
7K Views
Tafadhali rejea kichwa cha habari mim n muhitimu wa chuo kikuu mahafali ya chuo yameshapita but familia inahitaji kufanya sherehe ya mahafali kam kuna mtu anakodisha majoho kwa wahitimu wa chuo...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Ofisi zinapangishwa jengo la Bahari House. 60sqm office ni usd 1200 kwa mwezi na 80sqm ni usd 1600 kwa mwezi. maelezo zaidi piga 0755092734
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Tafadhali rejea kichwa cha habari mim n muhitimu wa chuo kikuu mahafali ya chuo yameshapita but familia inahitaji kufanya sherehe ya mahafali kama kuna mtu anakodisha majoho kwa wahitimu wa Chuo...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Salaam wakuu wa JF. Nimepata safari fulani ya majuu kwa takriban wiki 3. Ninakoenda naambiwa kwa sasa hali ni baridi kali inasoma -2 mpaka 3 centrigate. Nahitaji kupata majaketi yenye manyoya...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Hallow wanajumuiya ya jamii forum, naomba mnisaidie niwapi au niyupi yupo tayari tufanye biashara ya mayai ya kienyeji. minipo Dsm. Tabata segerea.
1 Reactions
14 Replies
4K Views
Habari wana Jf. Hongereni na poleni kwa maandalizi ya hizi "siku kuu" zinazo kuja. Naomba nitambulishe kwenu biashara ninayoifanya. Ninatoa huduma za kupiga picha kwenye mikutano mbalimbali...
3 Reactions
4 Replies
2K Views
Nanunua landrover TDI za zamani hata Namba A ,Burget yangu Tshs 1.5 - 4 milion integemeana na hali ya gari husika ,iwe tu inatembea mengine INBOX Asante
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Ndugu wana jamvi, nauza dagaa safi waliokaangwa kutoka Mwanza debe elfu 55,000. mzigo utakufikia popote ulipo. ukihitaji karibu PM.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Inahitajika receiver ya Sony DAV-DZ350 1000W yangu imezingua inawaka kitaa cheupe ktk screen tu na amna kitu inafanya baada ya apo au mwenye ujuzi ktk hili basi tuwasiliane kwa +255657900003. Niko...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Hello Team. Naomba kuuliza nina mpango wa kununua home theater ya nyumbani mwezi huu ,na budget ni 700000.mwenye kujua ni company ipi wanatengeneza kitu Og please , let's me know.
2 Reactions
9 Replies
3K Views
Naitaji leo Call 0692141994
0 Reactions
1 Replies
644 Views
Nauza vifaranga vya sato 250 kila kimoja.mbegu ya mwanza .ukuaji wake wa haraka.npo bagamoyo.maelezo zaidi pm
2 Reactions
197 Replies
41K Views
Nahitaji kubadili frame ya headphone maana headphone nilizo nazo frame yake imevunjika kama kuna uwezekano wa kupata nichek pm tuzungumze bei
0 Reactions
0 Replies
673 Views
Kiwanja kina ukubwa wa 20*20. Location- Boko kibaha, hatua chache toka Hospital ya Tumbi. Kipo karibu na kituo cha daladala zinazotoka Mbezi mwisho Dar. Huduma za maji na umeme zipo maeneo hayo...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Taa Zipo mbili 200k kila moja Tairi 4 za land cruiser 275/70/R16, Tsh. 250k Fan guide ya landa cruiser tsh 70k Spares za engine ya 1G FE, BEAMS2000
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mwenye scientific calculator anaiuza na yupo Dar amcheki bwa'mdogo +255 786 067 946 J.Limo Kikubwa iwe katika hali nzuri.
1 Reactions
5 Replies
792 Views
AGIZA GARI NASI KUTOKA JAPAN GHARAMA YA GARI NI 12,651,600 Tshs. MALIPO NI KWA AWAMU MBILI | Anza na 7,135,680 Tshs | Malizia 5,515,953 Tshs. SIFA ZA GARI. JINA: TOYOTA RAUM TOLEO: 2008 INJINI...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Nauza corolla yangu mimi ndie mmiliki, ina engine ya 4e, 1331cc ya mwaka 1998 na imetembea km 168,000. Tairi zote mpya na betri mpya, gari haina tatizo ni kuwasha na kuondoka. Kwa mawasiliano...
2 Reactions
45 Replies
7K Views
Back
Top Bottom