Habari wakuu karibuni website yetu eyesproperties.co.tz ujenzi bora na wa garama nafuu kabisa
Kwa shiling mil 32 tutakujengea nyumba ya Vyumba viwili, masta bedroom moja cha kawaida kimoja...
Habari wadau,
Nauza laptop aina ya HP ProBook 6460.
SPECIFICATIONS: hard disc gb 500, RAM GB 4, Core i3, Processor 2.3ghz, Webcam
Bei 370000/=
Mawasiliano 0753858259
Scientific Calculator used zikiwa katika hali nzuri kabisa zinauzwa...!!
Moja ina mfuniko kwa 20k na Nyingine haina kwa 15K.
Karibuni kwa huduma ya faster nichek 0738294674 wahi faster nipo Dar
Elfu 22 kwa kilo
Napatikana Dar Es Salaam.
Usafiri mpaka Dar juu yangu.
Ndani ya Dar unaletewa ulipo.
Mikoani natuma.
Karibuni PM
0658895785
0693215343
Nahitaji mashize zifuatazo ziwe used from UK or anywhere, Kama mtu anazo naomba ani PM prices ili tunegotiate
1. Air Compressor 200Litres or above, iwe umeme au petrol au both
2. Tyre Changer...
Camera aina ya Pentax, nzuri, inauzwa.
Bei: Tsh. 300,000 tu, inapiga picha za kawaida na kuchukuwa video.
Ni nzuri mno.
Mawasiliano: Piga au sms 0624213741
Habari
Natafuta shamba la angalau ekari 3 katika eneo popote kuanzia bunju mwisho hadi bagamoyo upande wa kulia km unaenda bagamoyo. Natafuta shamba ndani ya upande huo nilioutaja hapo juu. Kama...
Iko Mtwara sehemu inaitwa Naumbu,,zipo ekari tano,zote jumla milioni 60,,kwa uekazaji, kujenga hotel, apartments n.k
Karibuni,wateja na madalali(real estate agents).kwa mawasiliano zaidi...
Nahitaji kwenda Zanzibar kununua simu na laptop used kutoka nje nasikia kule ni bei rahisi. Mliowahi kwenda kule naomba mwongozo.
Naomba nijue maeneo wanapouza hivyo vitu kwa jumla pia naomba...
Jipatie original Microsoft Windows 10 Pro kwa bei nafuu kabisa sawa na bure ya Tsh. 30,000
Wasiliana nami kupitia Whatsapp 0768444224
***Tunatuma popote ulipo***
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.